Mbowe katika Clouds FM, afafanua juu ya suala la Shibuda

Mbowe katika Clouds FM, afafanua juu ya suala la Shibuda

Mh...mhh...! hao mabishoronga c ndo wanawarusha watu ktk club yake ya Billz au nimekosea..?
 
kawaambia wasiwe wanatangaza tuu ccm! Wawe wanatangaza mambo ya chadema
 
Mbowe anaomba CUF washariki mkutano wa Chadema Jangwani...sasa hapo nashindwa kumuelewa Mbowe CUF si CCM B sasa unawaomba wa nini?
We Jamaa na hili li Avatar lako mtu anaweza akadhani ni mjasiri, lakini kumbe una roho ya hofu sana.
 
MAZUNGUMZO YA UGOMBEAJI KITI CHA URAIS NCHINI MIAKA KADHAA HATA KABLA HATUJAFIKA 2015 INA MAANA WANA-CCM WAKIWEMO MZEE WASIRA NA SHIBUDA WANAO SIRI YA KUMBEKI RAIS KIKWETE KATIKA UONGOZI WA NCHI??

Kwenu enyi mnaokesha mkiwazia mafanikio makubwa nchini hadi hivi sasa kote nchini, nasikitika kwamba kile kinachowaumizeni vichwa huko kwenye BOARD-ROOMS za UFISADI juu ya CDM nchini kwetu sie huku waaaaaaaala haina hata usumbufu wowote kwetu.

Wala sio siri kwamba katika mfumo wa vyama vingi kote kwingi Vyama Tawala hupendelea kuona Mgombea DHAIFU akipanda jukwani kwa upande wa chama cha upinzani chenye nguvu ya Simba kama CHADEMA.

Lakini ni bahati mbaya sana hivi sasa hatuko kwenye mchakato wa kumtafuta mgombe urais maana hakuna Uchaguzi wa Kiti cha Urais kwa sasa labda CCM wenyewe wawe na siri kwamba wanatarajia kumuondoa Rais Kikwete hata kabla ya 2015 kama Mbeki kule Afrika ya Kusini.

CHADEMA hatuna tatizo na swala la 'Nani kuwa Mgombea wetu Kiti Cha Urais' bali swala zito kwetu ni kwamba je huyu mbuyu wa Ufisadi nchini CCM tutaungoweje 2015 bila hata mzizi moja kubakia ardhini?

Hilo ndiolo swala zito kwetu na wala si eti nani akagombee nini, waaaaaaaaaala!!!
 
Kupenda kubaya.....mnampakazia maneno ambayo sidhani kama ni ya mheshimiwa!!!
 
wewe ni mwendawazimu,unafikiri redio unamiliki peke yako?
toka mwaka 47 karibu kila mtanzania alikuwa anasikiliza radio.
amesema kulikuwa na mtazamo kuwa clouds ilikuwa kama iko against chadema.
na mkurugenzi anatoa maoni na anasema hawako kinyume na chama chochote kila chama kiko sawa kwa clouds.
na jmosi wanashusha mashine jangwani.
 
nauliza tu hivi alirudisha vx serikalini au alikuwa anatupiga changa la macho? hili hapa kwenye picha KUB. WANAOJUA WATUJUZE KAMA ALIRUDISHA KWELI KAMA SIO IMEKUWAJE ANALO WKT TUNAJUA ALIRUDISHA? peopleeezzz power
n
1.jpg

Hata hauelewi ushenzi unaofanyika chini ya CCM.
Mbowe alipewa shangingi kwa nafasi yake ya Uenyekiti wa Kambi ya Upinzani Bungeni, na alipewa la Ubunge pia, Mangapi hayo? ya nini yote hayo kama sio ujuha? Mtoto wenu wa Mkurima anayo yote la uwaziri mkuu, na la ubunge, Nina hasira sana na nyie, wajinga wakubwa nyie
 
Mbowe hasemi ukweli anaposema kuwa CHADEMA ndio "custodians" na initiators wa hoja ya Katiba, amesahau CUF ndio waliobuni hoja hiyo na ndio walioandika mpaka rasimu ya katiba yao miaka mingi sana kabla ya chadema hata kufikiria.

Mambo mengine jamani mwambieni huyu Mwenyekiti wa magwanda awe anauliza kabla hajakurupuka.

Acha UNAFIKI wewe!!!!???

Hivi siku ile pale Bungeni waliotoka nje ya Bunge kupinga Katiba iliyomweka Kiwete madarakani walikuwa kina nani???Jibu ni CHADEMA. Walitoka nje kupinga MFUMO ULIOMWEKA RAIS MADARAKANI ambayo ndiyo KATIBA yenyewe! Uamzi huo wa CDM ndiyo ulipelekea vuguvugu la Katiba Mpya. Hatukuona CUF wala mwana CCM akiwaunga mkono CHADEMA!

Kwa hiyo Mbowe is right kusema kwamba CHADEMA ndo custodian wa Katiba Mpya. Ni ukweli ambao hakuna mtu anaweza kuufuta na hii ipo kwenye Hansard za Bunge.
 
Ameionya Clouds kutokufanya kazi ka gazeti la Uhuru kwani lile ni la propaganda la CCM.

Mkuu wangu hata kama wewe ni Chadema damu usipotoshe wote tumemsikia Mbowe alichosema.

Mbowe kasema anaomba radhi na kukiri kuwa Clouds ni Radio ya vyama vyote tofauti na alivyokuwa anavyofikilia hapo mwanzo.

Akaendelea kusema Clouds vyama vyote ni wateja wake CCM, Chadema, Cuf. Ebu tuambie wapi kaionya Clouds?
 
Wewe nadhani ndio muongo mbona Mbowe kalitolea ufafanuzi suala la Shibuda, kasema hakuna tatizo wala kosa alichofanya Shibuda ni haki yake ya kikatiba.

meeeee unavyojikanyanga umdshapost kuwa umesikiaa maneno mawili ya kiujanja mbona unaongeza mengine au ndo meeee!
 
Back
Top Bottom