Mr.Junior
JF-Expert Member
- Sep 8, 2013
- 13,100
- 12,119
Kama anadanganya, kwanini msimshitaki au kumwambia athibitishe madai yake?
Siku hizi siri zenu zimekuwa kama mtu anayehifadhi maji kwenye pakacha!
Endeleni kudanganyana.
Kama anadanganya, kwanini msimshitaki au kumwambia athibitishe madai yake?
Siku hizi siri zenu zimekuwa kama mtu anayehifadhi maji kwenye pakacha!
Wenye kusema bao la mkono wapo mtani
ukweli ni kuwa hata chadema wakishindwa kihalali hawatakubali.
watasema mbona walikua wanajaza watu,kiufupi vyombo vya usalama vikae vikijua kuwa vujo ipo na vijiandae haswa kudeal na hali hiyo.
mimi wanangu nimeshawapeleka dubai,tayari nimebaki mimi tu,
hawa watu wameachiwa mda mrefu hadi wanajiona wanaweza fanya chochote watakacho.
We ndo hawezi kumuunga. Fuatilia kauli Jk jana akiwaaga wafanyakazi wa UJENZI alisema rais lazima awe Magufuli. Kwanini atumie neno LAZIMA!!??
Endeleni kudanganyana.
Hakuna wa kumbabaisha mbowe.Watu mil.45 tupo nae nchi itawaka moto.
bao la mkono ilikuwa ni metaphor, msi - exaggerate
Wangeanza na Nape kwanza na kauli yake ya goli la mkono.
mtu mwenyewe alikua mpiga miziki kwenye kumbi za babake baada ya kuzungusha form four,eti nae anaota atakuwa waziri mkuu,ha ha ha ha.
bora akarudi katika fani yake ya mziki.
nasikia kina dj bushdocor ndo walimfundisha kazi ya udj na akaimudu vzuri tu na ni mzuri sana katika kuruka majoka
Hakuna wa kumbabaisha mbowe.Watu mil.45 tupo nae nchi itawaka moto.
Mm nadhani haina haja ya kujibizana, tumeambiwa upande 1 unasema unauthibitisho,the upande 2 ukanushe,hoja kwa hoja tu
Hizi NI details ...,Ila hali Ilivyo Askari WENGI wa chini wa Majeshi yote NA a hata wa vyeo vya Kati ...wanaunga mkono mageuzi ( ushahidi wa awali NI matokeo ya Urais maeneo yenye makambi Mwaka 2010 NA serikali za mitaa 2014)
Kikwete baada ya kuona ameshaharibu Chama NA hakiwezi kuleta ushindi ....ameanza kupiga ndogondogo za jeshi kumsaidia Kama watashindwa ...Ili magufuli apishwe ...hili Suala limeshaleak KWENYE mashirika yote makubwa ya kijasusi ....NA juzi tayari mahakama ya ICC imetuma wapelelezi wake NA mawakala wao nchini kuanza kuchukua ushahidi....wameaza NA KAUli tata hasa za rais.
Kwa Sasa SIO Siri KUWA ccm hawana Tena Matandao wa ushindi ...kwa Mara ya kwanza toka uhuru .....
Mimi sitaki kuhitimisha maoni yangu ...LAKINI KAUli za jk kutumia jeshi SIO Mara ya kwanza ...KWENYE bunge la Katiba ..alitoa hiyo KAUli NA pia ashawahi kuirudia vikao vya NDANI
Jeshi letu linasifika kwa nidhamu .....naomba Sana rais asiwaingize KWENYE Hizi siasa Zake .....Kama Kauwa Chama ...atafute mganga wa kufufua HUKU ccm ...leave millitary alone ...HUo mpasuko wake alioleta ccm asiulete jeshini ...kwani atawapoanza makamanda NA kutuharibia nchi ....hawa Askari vijana ...NA Watu wa Makam ...wanna nidhamu LAKINI hatujui impact ya kuwachokoza ....
Kikwete umevunja ccm ...usituvunjie nchi tafadhali.....Urais usitutoe KWENYE utamaduni Wetu..
Kwani Mbowe ni nani mpaka ampe mkuu wa majeshi amri! Naomba Mbowe asilewe na wingi wa watu akajua watu wote yuko naye! Na ache mara moja!!