Andersy
JF-Expert Member
- Oct 8, 2014
- 586
- 143
Mwenyekiti wa chadema leo hapa mwanza amemuonya vikali mkuu wa majeshi CDF DAVIS MWAMUNYANGE juu ya hatua yake ya kutoa askari jeshi kadhaa na kuwapeleka TUME YA UCHAGUZI.
Amesema tayari wanao ushahidi wa kutosha na wakiutaka watauwasilisha.
Vile vile wamemuonya mwenyekiti TUME ya uchaguzi juu ya hatua yake ya kukubali kuwapokea hao wanajeshi ambao ni wataalamu wa IT, imeelezwa kuwa wataalamu hao wameambiwa wavae kiraia na wasijitambulishe kama wanajeshi.
Source: Mimi mwenyewe leo hapa Furahisha Mwanza.
Ni uzushi mtupu,
Hii ni kwasababu cdm hawana sera za kuuza kwa wananchi zaidi ya kubunibuni mambo wanayotegemea wananchi wawaonee huruma na waichukie serikali.
Mbowe weka sera zenu hapa zikiuze chama,,,, siyo kila kukicha malalamiko ya kizushi.