haki na usawa
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 485
- 138
Na ccm wasidhani majeshi yetu ni yao kwani kila askari anajua moyoni upande anaousimamia!
Furahia maneno ya uchonganishi na uvurugaji wa amani lakini kikiwaka hutamwona Mbowe akimbie na wew mwenzako anauwezo wa kuruka kwenda kuishi kokote je wew bodaboda,kijana wa kijiwen,mchaga muuza genge,mpare fundi cherehani na mpiga debe utakimbilia wapi? Fedha yenyewe ya akiba huna tafadhali acheni ushabiki kwa kauli za kichochezi kwa majeshi yetu! Ongeeni siasa zenu msiliingize jeshi kwa kujifanya mnajua wayafanyayo ndani ya kambi zao maana hata madaktari wa jeshi wanasaidia hospitali za raia!! Kwann msiwakatae mahospitalini? Mbowe aangalie kauli zake zisije leta shida na matatizo kwa wanyonge wasio na uwezo wa kuvuka mpaka kama yeye mama wanyonyeshao,maana kuna watoto,mama wajawazito,vilema na wengi wasiojiweza kuhimili vurugu.