Mbowe: JWTZ imepeleka Wataalamu wa IT NEC

Mbowe: JWTZ imepeleka Wataalamu wa IT NEC

Status
Not open for further replies.
Wewe kama maisha umeyashiba nenda mwenyewe ukapambane na jeshi.wewe ni nani uwasemee 4,499,999.uliza waganda, huo ni moto wa gesi

Waganda pia waliwaua sana Watanzania na Kama si kuwakuta Mseveni na Tito Okelo ambao walikuwa wameasi Jeshi la Uganda Tanzania isingeshinda ile vita ule Uasi wa Tito Okelo uliwapa Afueni na njia za kupita wakashinda kwa msaada wa waasi. Usifananishe maisha ya 1979 na sasa 2015 ambapo Watanzania wameamka hawataki kuburuzwa.
 
----- ww sa mkuu wa majeshi c cheo km mkuu wa mtaa tu!!sa ye nani asiambiwe?sa bila cc raia yy mkuu wa majeshi atukuwa anakaz gan?ya kulinda miti!!?ndoroooobo ww unaropoka tu km umejinyea
Hatujakuelewa mjomba sijui ulikuwa unataka kuandika nini? rudia tena tukuelewe.
 
inakaa kama mbowe ataenda msituni,huku lowasa akipaa zake londoni na kuwa paymaster wa kuendesha harakati.
nadhani mpaka sasa security wanatakiwa wawe wamepiga kambi kule londoni karibu na ile nyumba yake aliyoinunua kwa pesa za kifisadi

haa haa mbona ccm mnalia sana na vyombo vya dola? hivi ni vyombo vya umma na sio chama. nyinyi tumieni green guard kama mnataka.
 
sasa hivi hawa jamaa wa chadema hawaaminiki tena.

hawachelewi kula matapishi yap kama walivyokula ya eddo.

hao wanajeshi wanaozushiwa tuhuma hizi za kimbea wakimrusha kichura dakika 4 jamaa atasema hana ushahidi. sitaki tena kuwaamini hawa matapeli na makuwadi wa demokrasia

Hawana mamlaka hayo wao kazi yao ni kulinda Nchi na mipaka, Tambua kuwa Nusu ya jwtz wanatii ukawa wanawapa taarifa zote hata wakipanga kuwadhuru ukawa watapata taarifa tu.
 
Kwahiyo nifilie kwenda kkupambana na jeshi. ?kisa nimeambiwa na mbowe wewe Akili yako sio zuri . mwambie alete watoto wake ndoo awatangulize nbele
 
Nahic mbowe anataka kuvuka miiko ya siasa, asidanganywe na umati wa watu, ajue kuwa kama kunachombo ambacho hakiingiliwi utendaji wake ni jeshi .... sasa asijifanye kuwa anahuruma sana wakati b10 zinampelekesha... yy afanye siasa na taalm awaachie wenye taaluma

haaha kama jeshi haliingiliwi katika mamboyake. iweje liingilie mamboya kisiasa?wajiepushe na hili.
 
kwani aliyetamka kauli ya ushindi ni lazima alikuwa ni mbowe? wewe hujitambui. pole sana. ujinga unaofanywa na ccm utalisambaratisha taifa.eti ushindi ni lazima hata kwa gharama yoyote.

kila upande unadai ushindi lazima,kwanini iwe sawa kwa chagadema na isiwe kwa ccm?.
hizo si ni kaulimbiu tu?
 
Wewe ndo mjinga kwa kuishi na kukesha jf kuandika pumba kwa vile ni chama chako kiko madarakani inategemea kishinde kwa kupendelewa na majeshi baada ya kuona nguvu ya umma. Ua totally wrong unatumia amani kisingizio ili muendeleze madudu yenu yenu eeeh. Tafta kazi halali mana unahofia mirija itakatwa.
Ni jidaganye na nini wananchi wamewakataa mnakimbilia jeshi. Ashupazaye shingo huvunjika mumepaniki sana eeh,hakuna marefu yasiyo na ncha jiandaeni kisaikolojia.

asanteee mama.
 
JWTZ halihitaji malumbano na wanasiasa Uchwara. Heshima ni kitu cha bure.
Wao ni wadau wakubwa kwa kuwa nao pia ni Watanzania. Nchi nyingine wametumia majeshi yao kuwa chanzo cha umwagaji wa damu. We must address the issue if we want the prevailing peace to be sustainable.
 
Sasa unafkiri akili zinakuja kwa kupiga music club Kama Mbowe? Lazima uende shule

Shule zipi? Wasomi wapi? Hawa hawa akina profesa kapuya? Lipumba? au slaa? Wasomi gani wanarubuniwa na Nape form 4 wanaingia line na kupokea pesa Haramu za Marehemu Gadafi sasa wanajutia maana Ukawa inapaa zaidi badala ya kudidimia Kama walivyotarajia.
 
Hawana mamlaka hayo wao kazi yao ni kulinda Nchi na mipaka, Tambua kuwa Nusu ya jwtz wanatii ukawa wanawapa taarifa zote hata wakipanga kuwadhuru ukawa watapata taarifa tu.

kama nusu ya wanajeshi wanatii amiri jeshi wa kuchonga mbowe,maana yake kumbe kuna maasi.
which means hata mshinde hampewi nchi.itakula kwenu
 
Kweli mbowe anaweza kusababisha vita hivihivi maana ana akili ndogo sana.ni juzi tu hapa msemaji wa jwtz ametoa onyo kwa wanasiasa kuacha kutoa habari za uongo kwa wananchi.kama amezoea kuwadanganya hao nyumbu wanaomfuata asituvurugie amani ya nchi yetu.tena akome kabisa.nyambaaf

hapa tanzania vita haiwezi kusababishwa na kina mbowe kamwe. bali inaweza kusababishwa na ccm kwa kutaka kutumia vyombo vya dola ili kuendelea kubaki madarakani..
 
uchaguzi wa amani upi mbowe anamtishia kiongozi mkuu wa jeshi,unajua miiko ya siasa au unachangia ujinga tu ,wote tunayaitaji ila uhai kwenza na amani ya taifa,


vipi kauli ya jk kwamba ushindi ni lazima kwa gharama yoyote?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom