Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,297
Kweli mapenzi upofu!
Nonsense
Kweli mapenzi upofu!
Wewe endelea kushangilia ujinga ,utakuja kujua kwamba MBOWE anaongea UPUMBAVU ukijikuta uko nchi ya jirani kwenye kambi ya WAKIMBIZI
tunaomba ushaidi wa slaa zidi ya fisadi papa ndo uje kuleta ushaidi vyombo hivyo unacheza wewe fanya moyoyo zako lakini likinuka najua utakimbia mapema bali unawajaza ujinga wajione bora kama alivyowaanashangiliwa leo mwanza anajiona yuko sahihi ,akili ndogo bwana,
uchaguzi wa amani upi mbowe anamtishia kiongozi mkuu wa jeshi,unajua miiko ya siasa au unachangia ujinga tu ,wote tunayaitaji ila uhai kwenza na amani ya taifa,
Nahic mbowe anataka kuvuka miiko ya siasa, asidanganywe na umati wa watu, ajue kuwa kama kunachombo ambacho hakiingiliwi utendaji wake ni jeshi .... sasa asijifanye kuwa anahuruma sana wakati b10 zinampelekesha... yy afanye siasa na taalm awaachie wenye taaluma
Hawa wamejisahau sana wananchi wamewachoka wao wanataka kutuchagulia Raisi kwa kutumia jeshi wakati jeshi ni la wananchi wote#HakiHuinuaTaifa hilo Naona wamesahau sasa ivi ni mfumo wa vyama vingi. Jk na kauli zake asije akawa kama Bagbo.
Wasilete upuuzi wao, hata sisi tunajua jinsi ya kucheza na IT,mbaya zaidi wakileta ujinga wao I can hack hiyo infrastructure yao ya uchaguzi washindwe kufanya kazi.
Ww unaogopa jeshi wakt walipwa mishahala kwa kodi zetu km kuingiliwa hata bunge na mahakama haviimgiliw vile vile anaambiwa amri jeshi itakuwa vp asiambiwe mkuu wa majeshi?km anakwenda mrama je?safr hii icc itahuka na tz
​Acha longolongo na acha kabisa kumtanguliza kamanda Mbowe maana kikinuka hata kumi hawatakuwa nyuma yake!
MBOWE hana uhakika na akisemacho!,Kama unakumbuka ALIROPOKA mengi kuhusu RICHMOND mwisho wa siku kaishia KUKIUZA chama cha wanaharakati kwa mafisadi.....
hilo liko wazi ukawa hawatakubali matokeo ya uchaguzi kamwe,ni bora vyombo vya usalama vianze kuwamonitor kungali mapema.
kila decision maker wa ukawa awe monitored,kuanzia yeye na family zao.
wale masela wanajiita redbrigade kila mmoja taarifa zao ziwepo ili hata wakiingia msituni,tunakamata mama yake na kuambia yeye,"unatoka msituni ama......"
Naona TEAMLUMUMBA mnaanza matisho.
kwa hiyo mnataka kukinukisha?
Kama kweli mbowe kasema hiyo atakua amehemka na wingi wa watu maana wanasema .........Huwezi kutapika kitu ambacho hujakila,atoae majibu ya kipuuzi ni mpuuzi,kijinga ni mjinga,uongo ni mwongo na ukweli ni mkweli. kwa hili amepotoka.
binafsi nimeshangazwa sana na kauli ya hovyo sana ya jk. hajalitendea haki taifa letu kwa kauli yake ile.
Mwenyekiti wa chadema leo hapa mwanza amemuonya vikali mkuu wa majeshi CDF DAVIS MWAMUNYANGE juu ya hatua yake ya kutoa askari jeshi kadhaa na kuwapeleka TUME YA UCHAGUZI.
Amesema tayari wanao ushahidi wa kutosha na wakiutaka watauwasilisha.
Vile vile wamemuonya mwenyekiti TUME ya uchaguzi juu ya hatua yake ya kukubali kuwapokea hao wanajeshi ambao ni wataalamu wa IT, imeelezwa kuwa wataalamu hao wameambiwa wavae kiraia na wasijitambulishe kama wanajeshi.
Source: Mimi mwenyewe leo hapa Furahisha Mwanza.
na wewe unachangia ujinga unazani mtoto wa mbowe atakuwepo? au lowasa jidanganye na vitisho vyenu vya kijinga ukizani umejificha sana,na mpaka awe bagbo wewe utakuwa wapi?
tafakari kabla ya kulingania amani na dhahama,
Wewe kama maisha umeyashiba nenda mwenyewe ukapambane na jeshi.wewe ni nani uwasemee 4,499,999.uliza waganda, huo ni moto wa gesi