tofyo
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 2,759
- 768
Kwa haya yanayotokea bungeni kama Watz watashindwa tena kupatta sababu ya msingi ya kuikataa ccm basi hata aje Yesu kwa mara ya pili kuwafundisha hawataamini
mimi nilichojifunza ni kuchimba andaki la kujificha 2015 wakati bavicha wanavunjwa miguu.