Mbowe: Hatuwezi kushiriki utapeli wa Chama cha Mapinduzi

olevaroya

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2012
Posts
1,224
Reaction score
512
Akizungumza na waandishi wa habari leo mjini dodoma amesema hawawezi kushiriki ktk uchakachuaji wa mswada wa sheria ambao umekiuka haki za watanzania na wazanzibari,naye mh mbatia amemwomba rais kikwete kuwacha kuburuzwa na ccm ambayo imekua ikiona kama wao ni miungu watu na mawazo yao ndio sahihi kuliko ya watanzania.naye mbunge wa cuf amesema awana budi kushirikiana na chadema kwakua wameona ni jinsi gani wanzanzibar wamedharauliwa na kutoshirikishwa ktk muswada wa sheria.

Je?hiki kinachoendelea bungeni ni sahihi kwa kuwanyima watanzania haki yao ya msingi ya kupata katiba ambayo aijachakachuliwa.tafakari na chukua hatua mtanzania .
 
........
None sense ngonjera.........
 
wana haki ya kutupigania na wapongeza sana makamanda na Mungu atawasimamia kwa haki na kweli ni muda mfupi umebaki mtaichukua nchi na mtakuwa viongozi wazuri sana tunawaombea
 
Ndugai analipwa bei gani na lumumba? Chadema na wapinzani wote pambaneni
 
Akizungumza na waandishi wa habari leo mjini dodoma amesema hawawezi kushiriki ktk uchakachuaji wa mswada wa sheria ambao umekiuka haki za watanzania na wazanzibari,naye mh mbatia amemwomba rais kikwete kuwacha kuburuzwa na ccm ambayo imekua ikiona kama wao ni miungu watu na mawazo yao ndio sahihi kuliko ya watanzania.naye mbunge wa cuf amesema awana budi kushirikiana na chadema kwakua wameona ni jinsi gani wanzanzibar wamedharauliwa na kutoshirikishwa ktk muswada wa sheria.

Je?hiki kinachoendelea bungeni ni sahihi kwa kuwanyima watanzania haki yao ya msingi ya kupata katiba ambayo aijachakachuliwa.tafakari na chukua hatua mtanzania .
Aendelee na utapeli wa chadema kama alivyozoea naona cuf nao wamesogezwa kwenye chama cha familia twende kazi.
 
Mbowe alianza utapeli tangu akiwa karani wa benki na ndiyo sababu ya kufukuzwa uhudumu pale benk
 
CDM huu ni mwanzo nzuri wa kushirikiana na vyama vyote kuunda upinzani wenye nguvu dhidi ya CCM ndani ya bunge,tumeona jinsi gani tulivyokuwa pamoja katika kuipigania haki ya kupata katiba mpya,inavyoeleweka kwa waafrika vyama vilivyopo madarakani hasa vile vilivyopigania UHURU vinaogopa sana mabadiliko,wanavyofana CCM nilitarajia na bado tutashuudia mengi cha muhimu CHADEMA.CUF,NCCR-MAGEUZI na UDP,TLT vyisahau viungane ndani ya BUNGE kuimarisha nguvu,naamini MH MBOWE umeliona hili
 
Nahakika Mbatia atajutia sana hili maana kaingia ktk mtego asioujua
 
Ndugai namchukia mpaka bas.Ila siku zako znahesabika.
 
Utapel wanao CDM,kwan waliobak bungen sio watanzania?achen kutetea ujinga na utoto,Mbowe na cruw yake hawajaiva kisiasa,waachen waendelee hvo hvo CCM inajiimarsha zaidi,2015 aangukie pua na chama cha mkwe wake atangaze maandamano na fujo nchi nzima,poor mbowe
 
CHADEMA kazeni buti muda wa KUONGEA kwa KUTETEMEKA hakuna; Mwaga mambo HADHARANI washirikisheni WAPINZANI wenye NIA THABITI katika MUSWADA huu... Kitaeleweka.
 
Hakuna haki duniani kwa sasa.

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Mbowe alianza utapeli tangu akiwa karani wa benki na ndiyo sababu ya kufukuzwa uhudumu pale benk

unafikiri mbowe alikuwa masikini na mbumbumbu kama wewe. badala ya kuchangia mada una bwabwaja mavi..
 
Back
Top Bottom