Mbowe: Hatuwezi kushiriki utapeli wa Chama cha Mapinduzi

Mbowe: Hatuwezi kushiriki utapeli wa Chama cha Mapinduzi

nawapeni hongera sana chadema kwa uzalendo wenu usio na shaka kwa watanzania! Siku nyingine mkifanyiwa ujinga kama huo, mpeni kichapo ndugai, tumechoka kuona bunge likiongozwa kama tawi la ccm badala ya wananchi...
hakuna chenye mwanzo kisicho na mwisho
 
Akizungumza na waandishi wa habari leo mjini dodoma amesema hawawezi kushiriki ktk uchakachuaji wa mswada wa sheria ambao umekiuka haki za watanzania na wazanzibari,naye mh mbatia amemwomba rais kikwete kuwacha kuburuzwa na ccm ambayo imekua ikiona kama wao ni miungu watu na mawazo yao ndio sahihi kuliko ya watanzania.naye mbunge wa cuf amesema awana budi kushirikiana na chadema kwakua wameona ni jinsi gani wanzanzibar wamedharauliwa na kutoshirikishwa ktk muswada wa sheria.

Je?hiki kinachoendelea bungeni ni sahihi kwa kuwanyima watanzania haki yao ya msingi ya kupata katiba ambayo aijachakachuliwa.tafakari na chukua hatua mtanzania .

CHADEMA si walisema CUF ni chama cha ZANZIBAR , wamekubaliana na hilo? Mbowe mnafiki kama walilijua hilo alifuata nini bungeni?
 
dj m.b.o.we katoa beet mc sugu kachana mistari.
track inaitwa "unataka kuleta zako zipi".
 
dj m.b.o.we katoa beet mc sugu kachana mistari.
track inaitwa "unataka kuleta zako zipi".
Siwezi kusema kwamba hauna akili timamu ama makuzi bora bahati mbaya kabisa mimi sio wewe.
 
mbona kama mtoa mada amenichanganya kidogo kuhusu Zanzibar kushilikishwa kwenye katiba,maana juzi niliona hapa theas inasema kuwa makamu wa Zz kasema kuwa wazanzibar wote wameshilikishwa kwenye suala zimaa la katiba????
 
Siwezi kusema kwamba hauna akili timamu ama makuzi bora bahati mbaya kabisa mimi sio wewe.

jiweke wazi unamaanisha nini?
akili timamu unaipimaje?

au kurukaruka bungeni kama nyoka alie mwagiwa mafuta ya taa ndio akili.
 
mbona kama mtoa mada amenichanganya kidogo kuhusu Zanzibar kushilikishwa kwenye katiba,maana juzi niliona hapa theas inasema kuwa makamu wa Zz kasema kuwa wazanzibar wote wameshilikishwa kwenye suala zimaa la katiba????

watu wanakurupuka bila evidence.mambo yalisha wekwa wazi na watu wote wamekubali kwamba wazanzibar walishilikishwa,
na ndio mana kuna baadhi ya watu huwezi kuwaona wanachangia huu uzi
 
Kwa haya yanayotokea bungeni kama Watz watashindwa tena kupatta sababu ya msingi ya kuikataa ccm basi hata aje Yesu kwa mara ya pili kuwafundisha hawataamini
 
Back
Top Bottom