- Thread starter
- #101
chadema siku zote ni kama mbwa kichaa. Hata umtendee mema kiasi gani mwisho wa siku ataishia kukuuma tu. Licha ya kupata fursa ya kunywa chai ikulu, akili zao zimeyeyuka
non sense ujitambui lkn tutakufanyia maombi
chadema siku zote ni kama mbwa kichaa. Hata umtendee mema kiasi gani mwisho wa siku ataishia kukuuma tu. Licha ya kupata fursa ya kunywa chai ikulu, akili zao zimeyeyuka
buku zako saba zinakuhusu lumumba kwa baba riz
non sense ujitambui lkn tutakufanyia maombi
siwezi kufanyiwa maombi na wachungaji wa nguruwe
tutaakikisha ndugai harudi bungeni 2015
Mbona ccm balaa, Tunahitaji kijipanga kweli.
Ukweli unaujua lakini huwezi kuusema kwani ndio sera ya Chama Cha Mateja,hii ni wazi kama huna jina kubwa la ukoo kwenye Chama Cha Mateja huwezi pata uongozi wa juu pale zaidi utaishia kwa wanafiki kama nyie wenye kazi ya kupiga kelele kula wanakula wengine,ni nani asiyejua kuwa hata mheshimiwa kajaza ndugu zake kwenye posti zote muhimu,huku kwa afande kuna shemeji yake,kwenye makatibu wakuu wasaidizi kuna mtoto wa kaka yake,kwenye wauza unga yuko mwanae,kule mjengoni kaweka goma lake linaloimba nyimbo,bado hujajua tu nani ni chama cha ndugu,shame on you.Wanachama wote wa Chama Cha Mateja wame:shut-mouth: kusema ukweli,2015 mateja :wave:.Aendelee na utapeli wa chadema kama alivyozoea naona cuf nao wamesogezwa kwenye chama cha familia twende kazi.