- Thread starter
- #21
hakuna haki duniani kwa sasa.
Sent from my blackberry 9900 using jamiiforums
mungu akiwa upande wetu hakuna wa kututenga na upendo wa kristo yesu
hakuna haki duniani kwa sasa.
Sent from my blackberry 9900 using jamiiforums
chadema kazeni buti muda wa kuongea kwa kutetemeka hakuna; mwaga mambo hadharani washirikisheni wapinzani wenye nia thabiti katika muswada huu... Kitaeleweka.
utapel wanao cdm,kwan waliobak bungen sio watanzania?achen kutetea ujinga na utoto,mbowe na cruw yake hawajaiva kisiasa,waachen waendelee hvo hvo ccm inajiimarsha zaidi,2015 aangukie pua na chama cha mkwe wake atangaze maandamano na fujo nchi nzima,poor mbowe
ndugai namchukia mpaka bas.ila siku zako znahesabika.
nahakika mbatia atajutia sana hili maana kaingia ktk mtego asioujua
haki ya mtu haipotei bali ucheleweshwa tu!cdm huu ni mwanzo nzuri wa kushirikiana na vyama vyote kuunda upinzani wenye nguvu dhidi ya ccm ndani ya bunge,tumeona jinsi gani tulivyokuwa pamoja katika kuipigania haki ya kupata katiba mpya,inavyoeleweka kwa waafrika vyama vilivyopo madarakani hasa vile vilivyopigania uhuru vinaogopa sana mabadiliko,wanavyofana ccm nilitarajia na bado tutashuudia mengi cha muhimu chadema.cuf,nccr-mageuzi na udp,tlt vyisahau viungane ndani ya bunge kuimarisha nguvu,naamini mh mbowe umeliona hili
nyani ona kundule,ccm ndo chama cha ukoo
mbowe alianza utapeli tangu akiwa karani wa benki na ndiyo sababu ya kufukuzwa uhudumu pale benk
kitaeleweka kwenye box 2015
unafikiri mbowe alikuwa masikini na mbumbumbu kama wewe. Badala ya kuchangia mada una bwabwaja mavi..
amani ya tanzania iko mikononi mwa cdm .
tutaakikisha ndugai harudi bungeni 2015ndugai analipwa bei gani na lumumba? Chadema na wapinzani wote pambaneni
wana haki ya kutupigania na wapongeza sana makamanda na mungu atawasimamia kwa haki na kweli ni muda mfupi umebaki mtaichukua nchi na mtakuwa viongozi wazuri sana tunawaombea
Mbowe alianza utapeli tangu akiwa karani wa benki na ndiyo sababu ya kufukuzwa uhudumu pale benk
Utapel wanao CDM,kwan waliobak bungen sio watanzania?achen kutetea ujinga na utoto,Mbowe na cruw yake hawajaiva kisiasa,waachen waendelee hvo hvo CCM inajiimarsha zaidi,2015 aangukie pua na chama cha mkwe wake atangaze maandamano na fujo nchi nzima,poor mbowe
Cdm na cuf wote ni liberal parties!!!
tutawaonyeshea misuli kwenye box la kura