paradiso
JF-Expert Member
- May 18, 2012
- 1,021
- 356
Hongera SANA Mheshimiwa Mbowe kwa msimamo dhabiti na wenye tija kwa taifa letu.
DEDICATION:
Sugu - Hakuna Matata | Muziki.net
DEDICATION:
Sugu - Hakuna Matata | Muziki.net
tatizo wameshakupumulia sana mpaka akili imeyeyuka..Mbowe alianza utapeli tangu akiwa karani wa benki na ndiyo sababu ya kufukuzwa uhudumu pale benk
afadhali chama cha kifamilia kuliko chama cha kifisadi! Cuf wameanza kujitambua!Aendelee na utapeli wa chadema kama alivyozoea naona cuf nao wamesogezwa kwenye chama cha familia twende kazi.
waliobaki bungeni ni wawakilishi wa mafisadi, ukitaka kujua watanzania wameerevuka kisiasa subiri mwaka 2015, ccm mtasaga meno na kulia...Utapel wanao CDM,kwan waliobak bungen sio watanzania?achen kutetea ujinga na utoto,Mbowe na cruw yake hawajaiva kisiasa,waachen waendelee hvo hvo CCM inajiimarsha zaidi,2015 aangukie pua na chama cha mkwe wake atangaze maandamano na fujo nchi nzima,poor mbowe
Utapel wanao CDM,kwan waliobak bungen sio watanzania?achen kutetea ujinga na utoto,Mbowe na cruw yake hawajaiva kisiasa,waachen waendelee hvo hvo CCM inajiimarsha zaidi,2015 aangukie pua na chama cha mkwe wake atangaze maandamano na fujo nchi nzima,poor mbowe
Mbowe alianza utapeli tangu akiwa karani wa benki na ndiyo sababu ya kufukuzwa uhudumu pale benk
Utapel wanao CDM,kwan waliobak bungen sio watanzania?achen kutetea ujinga na utoto,Mbowe na cruw yake hawajaiva kisiasa,waachen waendelee hvo hvo CCM inajiimarsha zaidi,2015 aangukie pua na chama cha mkwe wake atangaze maandamano na fujo nchi nzima,poor mbowe
CDM huu ni mwanzo nzuri wa kushirikiana na vyama vyote kuunda upinzani wenye nguvu dhidi ya CCM ndani ya bunge,tumeona jinsi gani tulivyokuwa pamoja katika kuipigania haki ya kupata katiba mpya,inavyoeleweka kwa waafrika vyama vilivyopo madarakani hasa vile vilivyopigania UHURU vinaogopa sana mabadiliko,wanavyofana CCM nilitarajia na bado tutashuudia mengi cha muhimu CHADEMA.CUF,NCCR-MAGEUZI na UDP,TLT vyisahau viungane ndani ya BUNGE kuimarisha nguvu,naamini MH MBOWE umeliona hili
Mbowe alianza utapeli tangu akiwa karani wa benki na ndiyo sababu ya kufukuzwa uhudumu pale benk
ccm haezi shindana na nguvu ya watu/raia..itachukua muda ila watatoka tu.
mlioachiwa bloodgroup znye chembechembe mfu za kijani{ccm} cd4 zenu zimeshuka, na mnaelekea ku..... Ila mvnt 4 chnge tuna strong ant-body snc now.
katka pita pita zangu vijiweni nilimskia mtu fulani akisema
ukitaka watu wajing.a na wapu.mb.vu nenda ccm huko utakuta wengi sana....nilicheka sana
ccm ni mambulula sana lkn siku zao zinahesabikakwenye suala la katiba, wananchi wote (tukiwaondoa dhulumati ccm), ni lazima tuungane dhidi ya ufedhuli wa ccm. Hao ccm ni sehemu ndogo sana ya watanzania, tusikubali wendawazimu wachache wa ccm watuharibie nchi kwa kututengenezea katiba ya kututawala. Hiyo katiba waitengeneze kwaajili ya chama chao. Kama wananchi hawakushiriki kwa uwingi wao, katiba hatutaikubali na hatutaitambua.
Vyama vya siasa, mashirika ya dini, taasisi za kiraia, waungane na kuwa kitu kimoja chini ya mwavuli wa kamati ya katiba kwaajili ya kutetea katiba ya watanzania.
katiba ni mkataba kati ya mtawala na mtawaliwa sasa ccm wanaingiliaje mambo ya wananchihivi kundi lote hili linalilia jambo ambalo mpaka sasa ccm wajiona wao wako right, wakati ni kundi moja lenye msimamo mmoja tena wa kichama kimoja , hawawezi kushangaa vyama vyote vinaona kuna tatizo tena vyama vyenyewe vina itikadi tofauti za kisera lakini wameona hapana hapa kuna kuchakachuliwa . Kweli ccm hamuezi hata kufikiri hilo , nina imani hata humo ccm kuna walio liona hilo lakini kwa itikadi za chama inabidi wawe wapole , halafu una piga kauli mbiu ya amani , ambayo amani hiyo unaichafua, kuivuruga ili mambo yako yaende , kesho ccm atasema si wabunge wenu walibariki mswada tatizo liko wapi . Yaaani ccm acheni ujanja wa mtu kujikaanga na mafuta yake mwenyewe sasa, mmenowa