Mbowe: Hatuwezi kushiriki utapeli wa Chama cha Mapinduzi

Mbowe: Hatuwezi kushiriki utapeli wa Chama cha Mapinduzi

si sahihi kabisa kaka, ni upungwani kutumia wingi wa wabunge wa ccm ili kupitisha uozo. Wamesahau kwamba sio kila linalokubalika na wengi linafaa! Lazma wafike sehemu waweke standards, sio kuamua kwa kupiga kura za ndio, upuuzi!

siku zao zinahesabika
 
Kuliko kuchagua ccm niafadhali kupigwa virungu na ffu
 
Akizungumza na waandishi wa habari leo mjini dodoma amesema hawawezi kushiriki ktk uchakachuaji wa mswada wa sheria ambao umekiuka haki za watanzania na wazanzibari,naye mh mbatia amemwomba rais kikwete kuwacha kuburuzwa na ccm ambayo imekua ikiona kama wao ni miungu watu na mawazo yao ndio sahihi kuliko ya watanzania.naye mbunge wa cuf amesema awana budi kushirikiana na chadema kwakua wameona ni jinsi gani wanzanzibar wamedharauliwa na kutoshirikishwa ktk muswada wa sheria. Je?hiki kinachoendelea bungeni ni sahihi kwa kuwanyima watanzania haki yao ya msingi ya kupata katiba ambayo aijachakachuliwa.tafakari na chukua hatua mtanzania .
miaka yote mwizi akiibiwa hutangaza kila sehem ila akiiba yeye mambo mswano, hicho ndichokilichompata nduguyetu mzee wa baa
 
Back
Top Bottom