Mbowe atolewa nje ya bunge

Kiongozi mzuri husikiliza hoja na kutoa maamuzi. Alichofanya Ndugai hata mzee wa kijijini asiye na elimu hatafanya. Aibu yake na hata kwa Taifa.
Huyu dogo ana akili sana kuliko lile likichwa kama tikiti maji la ndungai..

cc mkuu concord nh
 
Last edited by a moderator:
. kama ameongea bilaa ruhusa kwanini asitimuliwa kama anakaidi !
 

Video hio hapo.
 
Last edited by a moderator:
ndiyo mazao ya mipasho ya ndugai hayo. Badala ya kuendesha bunge ktk misingi inayofaa, analeta mipasho. Naunga mkono mbowe kutokubali kutoka.
Hivi jana kilichowatoa ni nini na leo wanang'ang'ania nini au wameona wataambulia mabua. hivi navyo vichekesho.
 
Labda kwao itakuwa ni kama ya Ndugai, Lukuvi au Pindi Chana!
Ha ha ha!
Uongozi ni aina flani ya kipaji na wala haihusiani na idadi ya vyeti vya kitaaluma ulivyojaza kwenye frame zako sebleni na ndio maana kuna wasomi wengi tu tena waliobobea kwenye taaluma zao lakini wameshindwa kuongoza hata familia zao.
 
There are currently 5034 users browsing this thread. (280 members and 4754 guests)
 

watu kama mbowe na genge lake ni wa kuchapwa viboko tu.
 
Naona ustahimilivu wa uongozi mbovu bungeni unazidi kupotea. siku ya wabunge kupigana ngumi na viatu kama wale wa Asia naona haiko mbali sana. naomba Mungu anipe uhai niweze kuishuhudia hiyo siku.
 
asante mkuu kwa update zako
nimeamini kuna watu utafikiri CCM ikifa na wao watakufa kweli CCM inauawa na wanaccm wenyewe wanairahisishia CDM kazi 2015
NDUGAI??????
 
Kweli wabunge wa CCM wanaipeleka hii Nchi pabaya jamani! Ni aiabu kwao na wajue kuna siku watajutia uamuzi wa kipuuzi waliofikia!

Kwani wabunge wa CCM ndio waliomtuma kilaza Mbowe asimame na kupinga amri ya kiti?
 
Bibi kiroboto ana akili kuliko huyo nduga
daaah we noma mkuu hahhahaahahha bora kiroboto kuliko Ndugai
 
Hivi jana kilichowatoa ni nini na leo wanang'ang'ania nini au wameona wataambulia mabua. hivi navyo vichekesho.

Chadema ni sawa na mwanamke mwenye gubu jambo dogo amesusa na kurudi kwao halafu kesho anajirudisha
 
ccm na serikali yake wataendelea kutuhakikishia kwamba hawana busara tena ya kuongoza nchi hii, hivyo 2015 tunawaondoa kilaini na kama watangangania kwa nguvu Tanganyika itageuka kuwa Siria
 
>Huyu naibu spika ukimwangalia kwenye hii picha utajua ni mtu wa namna gani! Haihitaji elimu ya juu!
 
aisee ni aibu sana, tunakokwenda ni kubaya, wananchi hatuna wawakilishi tena bungeni bali tuna watu wanaopata posho wakati hali za wananchi zinakuwa mbaya zaidi. vita badala ya mijadala yenye tija itaisha lini?
 
Yaani nimejizuia sana nimeshindwa huyu Ndungai hafai tena hafai kuliongoza bunge kila awapo bungeni lazima alete tafrani nahisi kichwani kwake hayupo sawa kwakweli..... mtu ambaye hajui ana watoto wangapi ataweza kuliongoza bunge... shame on you ndungai unalitia taifa letu aibu @#$%^^?><@&^##%)()#)# :A S-fire1:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…