ungonella wa ukweli
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 4,210
- 556
Kwa ndugai siwezi kushangaa, maana yeye hafuati kanuni bali ni jazba na chuki kwa kwenda mbele! Allah amwangazie yale yanayostahili!
huo ndio muda mzuri wa kuiba lile rungu la dhahabu....
Miongozo ya dini haina nafasi bungeni mkuu. Mle wenyewe walijitungia kanuni, ingawa ndugai hawezi kuzitafsiri.
yule mkuu wa wilaya ya Igunga hakuvuliwa hijabu na wala hakuwa akivaa hilo vazi la heshima ila alikuwa akijifunga ka kitambaa kichwani.Hata hivyo hakakuvuliwa ila alikadondosha alipofumaniwa akifanya vikao haramu.Haya mengine tena, msinikumbushe yale ya igunga....
Shule kubwa ikoje ndugu?
Nadhani ni ishara ya wazi ya tatizo la uongozi wa Naibu Spika Huyo kwa kushindwa kusimamia na kujibu hoja chokochoko za Upinzani ambazo zipo katika mabunge yote Duniani yenye vyama vingi!
Sidhani kama Mh huyu anajua kuwa ni kipimo kibaya kinachomshusha hadhi yake?
Mkuu, huwezi kumpa hadhi mtu ambaye hana akili timamu. CHADEMA walikosea sana kumchagua mbowe kuwa mwenyekiti wa chama chao
tanzania kwa sasa maadui wapo 5 namba 1 ni UJINGA 2 Maradhi 3 umaskini 4 CCM 5 Job Ndugai kama naibu spika
Hata kama mtu hajui sheria lakini hata ile aibu ya kibinadamu ya kuiita 1+1=22 haoni shida, aibu kweli!Huyu spika anaendesha bunge kibabe hajui sheria huyu hongera mh mboe kumdindia polisi njaaa hao na huyo gamba
Naskia star times wameondoa channel zote muhimu ili tusiweze kuona bunge.
Hakuna mwenye haki ya kudhalilisha dini ya Mwenyezi Mungu..Si mliipigia debe ccm mpaka misikitini, haya ndiyo madhara yake, mapigo yanaanza kuonekana hapahapa duniani.
Bunge la Tanzania limegeuka Kichen Party.
acha uvivu soma kuanzia juu kila kitu kinaelewekaNdugu leta habar kamil basi