Tatizo la watu wenye upeo mdogo kama Ndugai ni kudhani kumtoa Mbowe bungeni ni kumkomoa,-- ni sawa na mwalimu kilaza anayechukia mwanafunzi anayeuliza maswali ya udadisi darasani na kuamua kumtoa nje kwamba anasumbua wengine.
Mtu wa namna hii ni dhaifu kichwani.
Mtu wa namna hii ni dhaifu kichwani.