Mbowe atolewa nje ya bunge

Mbowe atolewa nje ya bunge

Bunge kama chombo muhimu katika taifa limeshindwa kusimamia haki na uswa, badala yake limegeuka bunge la Kibabe,Jiulize wanatoka nje wanakwenda wapi lazima mtu mwenye akili timamu ajiulize,Wanaoshangilia wezao kutolewa nje kwa kusimamia haki hawana akili hata kidogo, siwatukana ila ndio ukweli hawajui wanalolifanya hata kidogo,wamelifanya bunge kuwa sehemu ya kubumzika na kulala na wabunge hao ndio wanaohusiswa na uuzaji wa madawa ya kulevye, Naweza kusema huu ni udikitete mkubwa ndani ya bunge, ni dali za kuonyesha utawala dhaifu kuanguka'
'
Deputy-Speaker-Job-Ndugai.jpg

 
😛eace:
Hapo ndipo ninapotembea kifua mbele kwamba mimi ni CHADEMA, maana kazi yao si mchezo... Kwa tunaoelewa hali halisi, tunaungana na madai ya CHADEMA
 
ndugai mjanja ana draw attention wa watanzania ili kusau madawa ya kulevya na majina yaliyotajwa
 
kwa mara nyingine kiti cha spika kinazidi kudhihirisha ubabe na ukandamizaji wa serikali ya ccm dhidi ya WAPINZANI.

kumtoa Mbowe bungeni Ndugai na CCM kwa ujumla watajuta.

nb;
Ndugai ameshanza kujuta kwa kumuomba Mbowe arudi bungeni saa 11.
 
Askari kama mmeshindwa kumtoa nje,mtu achie wenyewe(wabunge ccm).Nimeipenda hio kauli ya moja ya wabunge waliowasha maiki na kusema hayo.Naona hii itakuwa mfano na fundisho kwa wabunge woote wasio na adabu.
huyo nafikiri atakuwa nkamia -- mchumia tumbo ha ha ha
 
Ni bora kuwa na wahamiajh haramu nchin kama wanyarwanda,warund, wakongo etc kuliko kuwa na watu wa aina ya ndugai afu wanajiita watz.
Ndugai mpuuz kwel
 
Mbowe anastahili kuchukuliwa hatua za nidhamu kwa utovu wa nidhamu aliouonesha
]
Na wewe unatakiwa kupuuzwa kutokana na upuuzi unaoujaza hapa!!hivi jf haina utaratibu wa probation period kwa member wapya?ingepunguza utitiri wa wajinga wanaojazana humu kila kukicha.
Ni utovu upi aliouonyesha Mbowe?au kudai haki yake ya kusikilizwa ndiyo utovu?uko darasa la ngapi?
 
Kuna wapumbavu na wajinga ndani ya ccm lakini -------gai na makiinda plus migulu chemba ni the best in a class of fools.
 
Iwonder huyu mrema anaongea nini..kapiga kula ya sio mswada usitolewe bungeni sa hvi anasema tulekebishe katiba ya zamani ituvushe kwenye uchaguzi 2013..hawa viongozi vipi?
fadhila za kutibiwa india hizo...
 
Ilishangaza sana kelele zilizokuwa zinapigwa na wabunge wa CCM wakati wale wa upinzani walipokuwa wanatoka nje. Unajiuliza, 'Hivi kweli wanaelewa umuhimu wa katiba au wako pale kuifurahisha Serikali' ambayo kimsingi wanatakiwa waibane? Halafu baada ya kutoka wakaishia kuwajadili tena kwa kutumia maneno ya kipuuzi. Where ate we heading to? Jamani, ufike wakati hawa wabunge wetu wawe wanaulizwa na wawakilishi wao kile kinachowapeleka bungeni.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom