kula kwa tindo
JF-Expert Member
- Nov 14, 2011
- 1,330
- 324
Kwani wabunge wa CCM ndio waliomtuma kilaza Mbowe asimame na kupinga amri ya kiti?
Uko pande gani wewe?
Kwani wabunge wa CCM ndio waliomtuma kilaza Mbowe asimame na kupinga amri ya kiti?
Hivi bungeni kama kila mbunge akijiona hana haki na kuamua kusimama kuongea na akiambiwa aache na Spika agome............kweli kutakuwa na Bunge?
Siku tegemea mtu kama Mbowe anaweza kufanya aliyofanya
Kuna haja ya CDM kuangalia upya strategies zao za kisiasa................hizi siasa zenye elements za ubabe na vurugu itafikia mahali wataonekana kama kundi la vurugu
Chadema ni sawa na mwanamke mwenye gubu jambo dogo amesusa na kurudi kwao halafu kesho anajirudisha
Kwani pinda nimwehu kama mbowe na lini pinda umeona akilazimisha kusimama hata sehemu ambayo haistahili n vema akil yako ungeiweka mbele kulikomkuicha nyuma ukaweka ujinga mbele.>Hiv kwa akili yako ndogo wapi umeona akisimama pinda akaachwa kupewa nafasi? Sembuse pinda hata Lukuvi mbona akisimama tu anapewa nafasi? Hujui nafasi ya Mbowe kwenye bunge wewe kaa kimya!
Na wewe unakuwa kama Mbowe bhana gagamala mtoto wa kiume sasa unataka mods akusaidie nini?Mods ,kauli hii ni ya kuudhi... Haivumiliki kabisa!!😕
Mrema dume la mbegu anawachamba macdm na cuf yao funguka baba
Kichwa cha mbowe hata cha ray-c hana kitu kabisa kichwani kweli hai walichagua tigiti maji jamani hata ustarabu unamshinda japo ni mtu mzima sas.
Kitambaa cha kufunika nywele.]Kwani hijabu ni ile kanzu au ni kile kitambaa cha kichwani hadi shingoni au ni vyote kwa pamoja?[/COLOR] In that regard, amevuliwa nini? Sikuwa na nafasi ya kuangalia vipindi vya bunge. Naona leo nimemiss kweli kweli. Kuanzia KUB kuondolewa bungeni hadi wengine kuvulia hijabu!!! Mmh!
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
Nafiri Watz wameshaelewa kuwa tuna watunga sheria (Wabunge) wa aina gani. Ni juu yetu sasa kuchukua hatua. Kati ya haya mojawapo linawezekana. Either
i. Kuipinga kwa kura Katiba ya CCM na Serikali yake, AU
ii. Waendelee na mambo yao ya kutengeneza sheria za kuhujumu katiba ya wananchi na Baadae Tuje tuanze mchakato upya wa kudai katiba ya wananchi wa Tanzania chini ya serikali itakayo kubali kutengeneza katiba huru
Tusikubali huu upuuuzi wa wabunge wa CCM na watawala wao
hili ndio tatizo kuwa na viongozi wajinga,mkuu wa kambi ya upinzani kaudhalilisha upinzani bungeni,badala ya kujenga hoja ikaeleweka na kuwashawishi wabunge yeye ameona njia pekee ni utovu wa nidhamu na dharau kwa mh.spika.
Mbaya zaidi wabunge wanafanya haya baada ya kuwa wameshachukuwa posho,kwanini wasisusie vikao na kususia posho ili tuwaone kuwa ni wazalendo kamili wa nchi?
Dr.slaa enzi zake alipata umaarufu tanzania kwa kujenga hoja tuu,hakufanya siasa za matukio za kuletafujo bungeni ili aandikwe kwenye magazeti,kweli ya misri yananukia tanzania maana hata kama chadema itashinda naamini itashindwa kutawala maana wananchi wanaaminishwa makubwa ambayo ni ngumu kuyapata kwa aina ya viongozi wa chadema ,hivyo wananchi wataandamana na kuitoa serikali kwa nguvu na kwa jinsi walivyo madictator hawatakubali na hivyo wataua sana waandamanaji na mwisho taifa litaongozwa kijeshi kama ilivyo misri ya leo.
Kweli chadema ni janga la taifa tushirikiane kulitokomeza.
Harafu watu wengi sana humu ndani wanaongea, Ndugai hajielewi, hajielewi, inamaana hamjuai kama jamaa hajielewi mpaka mnapoteza mda wenu kuhoji Kama Ndugai anajielewa.
Kama mtu anashindwa kujua idadi ya watoto wake, huyo anajielewa kweli? msinitanie.
Yaani nimejizuia sana nimeshindwa huyu Ndungai hafai tena hafai kuliongoza bunge kila awapo bungeni lazima alete tafrani nahisi kichwani kwake hayupo sawa kwakweli..... mtu ambaye hajui ana watoto wangapi ataweza kuliongoza bunge... shame on you ndungai unalitia taifa letu aibu @#$%^^?><@&^##%)()#)# :A S-fire1:
Za wapi????Kitambaa cha kufunika nywele.
Za Werema.Za wapi????