Mbowe atolewa nje ya bunge

Mbowe atolewa nje ya bunge

Ndugai ni janga la Taifa, tuombe Mungu sana lasivyo litatuangamiza.
 
Naskia star times wameondoa channel zote muhimu ili tusiweze kuona bunge.
 
Hatua ya kwanza , nalaani vikali tukio hili kama limetokea , ni fedheha kubwa sana , nitafuatilia ukweli wa taarifa hizi punde....au ndio maana Ndugai kajifanya kuwa kasamehe au !
 
Tatizo la kuweka watu wasio na busara kwenye nafasi nyeti za maamuzi. Ikiwa mtu hana akili ya kutosha mara nyingi hukimbilia kutumia nguvu na vitisho. Baada ya kuona anazidiwa na hoja njia pekee ya kufanya ni kuresort kwenye nguvu na nguvu za ziada. Tusijidanganye, suala la Katiba linahitaji busara za hali ya juu sana na maelewano kuliko nguvu, tusipotumia busara tutakuja juta. Tuache unafiki, ushabiki tuende na haki na ukweli.
 
Siasa ni ubishi na mivutano ya kihoja isiyokoma.Hiyo ndiyo asili ya siasa; Hivyo ndivyo siasa ilivyo.Bungeni ni sehemu yenye mlundikano wa wanasiasa.Katika mazingira hayo ni lazma mivutano mikali iwe inajitokeza.Kazi ya spika ni ku "moderate" tu; hata hivyo kazi hiyo inahitaji umakini mkubwa.Spika anapo moderate kwa kufuata kanuni na hoja; anaevuta makini ya watanzania ni yule mwenye hoja nzito. Spika anapotumia mabavu ;anaevuta makini ya watanzania ni yule anaepiga au anaepigwa. Ona sasa spika alivyovuta makini ya wananchi wengi bila sababu ya msingi. There are currently 4754 users browsing this thread. (273 members and 4481 guests)
 
zIMENI taaa zichapweee....... There are currently 4883 users browsing this thread. (268 members and 4615 guests)
 
Nalaani hiki kitendo, kama bunge limefikia hapa tunapokwenda sio kwenyewe.
Chadema, cuf na nccr mageuzi,
unganeni 2015 kulitokomeza hili lidudu ccm.
 
tanzania kwa sasa maadui wapo 5 namba 1 ni UJINGA 2 Maradhi 3 umaskini 4 CCM 5 Job Ndugai kama naibu spika
 
Kichwa cha mbowe hata cha ray-c hana kitu kabisa kichwani kweli hai walichagua tigiti maji jamani hata ustarabu unamshinda japo ni mtu mzima sas.

Punguza Hasira, tulia mpewe dawa, enzi za vibaraka wenu akina Lyatonga zimepita. Sasa ni mtiti tu!
 
Siasa ni ubishi na mivutano ya kihoja isiyokoma.Hiyo ndiyo asili ya siasa; Hivyo ndivyo siasa ilivyo.Bungeni ni sehemu yenye mlundikano wa wanasiasa.Katika mazingira hayo ni lazma mivutano mikali iwe inajitokeza.Kazi ya spika ni ku "moderate" tu; hata hivyo kazi hiyo inahitaji umakini mkubwa.Spika anapo moderate kwa kufuata kanuni na hoja; anaevuta makini ya watanzania ni yule mwenye hoja nzito. Spika anapotumia mabavu ;anaevuta makini ya watanzania ni yule anaepiga au anaepigwa. Ona sasa spika alivyovuta makini ya wananchi wengi bila sababu ya msingi. There are currently 4754 users browsing this thread. (273 members and 4481 guests)

si kila anayeangalia humu anafurahia ujinga wa mbowe
 
Mbowe ni miongoni mwa viongozi mambumbumbu tulionao tanzania.
 
Kutoka kuongoza disco mpaka mkuu wa kambi ya upinzani bungeni ni jambo ambalo majibu yake yapo wazi sana.

mtu alikuwa anaongoza mziki leo aongoze watu tena bungeni ajenge hoja na kueleweka si jambo dogo,

manyango anyofanya mbowe lazima yawe ni matokeo ya kupeleka bungeni mtu mwenye kichwa kimejaa mziki na dance staili kwa nini asiwe alivyo hakuna jipya hapo mungu anapaswa kumlaza mahara pema kwa kuwa ametenda dhambi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom