pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 19,030
- 15,232
Kweli wabunge wa CCM wanaipeleka hii Nchi pabaya jamani! Ni aiabu kwao na wajue kuna siku watajutia uamuzi wa kipuuzi waliofikia!
Na wewe Kagame wako full uuaji,unyanyasaji wa wapinzani wake na wizi wa madini Kongo.Duh kumbe Vita inaanzia humu humu ndani afu mnasingizia Rwanda ona Bunge lenu Full aibu
Kama ulitazama Bunge TBC hukuona chochote zaidi ya kumwona Ndugai akiwa mbele bila kuona kilichokuwa kinaendelea wakati wa vurumai husika.Hii habari ni uzushi haina ukweli wowote mimi nilitizama bunge karibia lote nilichokiona ni huo ujinga wa mbowe na mwanae Sugu ila hili hapana hebu leta ushahidi wa kueleweka.
Nalaani hiki kitendo, kama bunge limefikia hapa tunapokwenda sio kwenyewe.
Chadema, cuf na nccr mageuzi,
unganeni 2015 kulitokomeza hili lidudu ccm.
Mkuu mbowe ni zaidi ya mbumbu fuatilia matendo yake utakumbuka kauri yangu.
nimetoka kusema , narudia tena watu kama wewe wanamagovii ya akili bila kutahiriwa ni kazi kuuona na kuujua ukweli....ni mburula alieshindikana, ni mjinga wa kiwango cha juuKwa wewe na mbowe unatofauti gani kama unaongea ubwabwa kama huu utakuwa na kipya,
mkiambiwa rudieni fani zenu za muziki mnakataa na kukomaa kwenye mambo yanayohitaji akilina nyie akili hamnazo.
Ulimsikia akisema Askari jiandaeni kwa dakika tano? Ali waambie wajiandae kufanya nini? Picha za video zitaweza kutuumbua maana zipo.Heheheheh good observation! Nimeangalia bunge sijasikia ndugai akisema " askari mvue hijabu huyo Mh Moza"
Mbowe ni miongoni mwa viongozi mambumbumbu tulionao tanzania.
Ni kweli Mhe.Moza Abeid , Mbunge wa Viti maalum CUF kutoka Kondoa, amevuliwa Hijab yake kwa nguvu na Askari kana kwamba sio sehemu ya vazi rasmi la Bunge , Mbunge huyu amedhalilishwa sana na dini ya Mwenyezi Mungu imedhalilishwa na Bunge kwa maelekezo ya Ndugai na Askari wake ambao hawajali vazi rasmi la mwanamke wa Kiislamu, au isemwe kama hairuhusiwi kwa wanawake wa Kiislamu Kujisetiri ili ijulikane .
Mkuu mbowe ni zaidi ya mbumbu fuatilia matendo yake utakumbuka kauri yangu.
Umeangalia bunge au umecomment kwa kusoma jukwaani? Angejengea hoja wapi na kakataliwa kuzungumza?
kakojoe ulale wewe akili kama ya mkuu-ndugai wako!!magamba woooote hampo sawa upstairs...hii ni aibu jamani, sasa KUB kutotii maagizo ya kiongozi wake weledi uko wapi, hawa ndio wanaotaka kutuongoza wenyewe hawafuati taratibu nchi itaingia shimoni hii
Ndungi, hana uwezo huo.
Mbowe ni miongoni mwa viongozi mambumbumbu tulionao tanzania.[/QUO
kama mbowe mbumbumbu jk atakuwa nani?acha matusi kwa rais wewe gamba!!!
Mbowe ni miongoni mwa viongozi mambumbumbu tulionao tanzania.
Shule kubwa ikoje ndugu?tatizo la mbowe ni shule ndogo