Poor CCM, ndio umejiishia hivyoKuna mbunge mmoja wa ccm jioni hi namsikiliza anasema kwani mkipata hiyo katiba mpya baiskeli ndo hazita pata pancha?mkipata katiba mpya barabara ndo zitajijenga? Anasema katiba mpya haina umuhimu wowote tusidanganyane hapa...huyo ndo mbunge wa CCM!
kwann atolewe nje? mwachen aseme anachotaka nyie vp hatok mtu hapa
Kuna taarifa kwamba alianza kukumwagia wewe ndio maana unazijua?!
Hujajibu swali nililouliza mkuu!!!!!Tatizo la Mbowe hajui kanuni za bunge na mvivu wa kuzisoma anafikiri kuomba muongozo ni kama kubadilisha santuri?