Mbowe atolewa nje ya bunge

Hatuna jinsi zaidi ya kuhamasisha watu kwa wingi waikatae CCM basi...ngoja niendi kijijini kwetu nianze kazi leo hii
 
Mbowe ni mhuni wa kawaida tu yule. Safi sana mh job ndugai.
 
Usichokijua ni kuwa Mbowe ni Kiongozi wa Kambi rasmi ya upinzani ana pewa nafasi kubwa kutoa mawazo yake kuliko wabunge wengine. Mbona huhoji Lukuvi kuongea mara kwa mara? Kawaulize wanaojua wakupe ufafanuzi zaidi.
 
Mkuu, CHADEMA leo wamedhihirisha kuwa hawana uwezo wa kujenga hoja bali uwezo wao umeishia kwenye fujo. hata humu JF wafuasi wa CHADEMA utawajua tu kwa post zao
 
Mbowe alidhani hupo kwenye kampen ambapo huwa anaropoka hadi mishipa ya shingo inamsimama kama kakabwa na vibaka.toa nje kilaza huyo kanuni za bunge lazima ziheshimiwe asilete udj wake
tatizo la kutumia miguu kufikiri then ukadhani wewe ni mjanja ndiyo haya.
 
Hatuna jinsi zaidi ya kuhamasisha watu kwa wingi waikatae CCM basi...ngoja niendi kijijini kwetu nianze kazi leo hii

mtasema yote mwaka huu lakini siku ya mwisho ccm itazidi kuaminiwa na watz kama kawaida yake.
 
Tuliza munkali brother!
 
OBAMA alipokuwa dar aliulizwa swali kuhusu mzozo wa Misri na yeye alijibu kuwa DEMOKRASIA HAINA MAANA KUWA WALIO WENGI(MAJORITY CCM) HAWANATAKIWA KUWASIKILIZA WALIO WACHACHE(CHADEMA CUF NNCCR) sasa huyu naibu spika nayekataa kumsikiliza kiongozi wa kambi ya upinzani awekwe kundi gani?hivi kama angekuwepo mh Pinda ndio anataka kuzungumza angemgomea?FIKIRI TOFAUTIcopy to JK Anne Makinda
 
Mkuu, CHADEMA leo wamedhihirisha kuwa hawana uwezo wa kujenga hoja bali uwezo wao umeishia kwenye fujo. hata humu JF wafuasi wa CHADEMA utawajua tu kwa post zao

............4-0
 
Usichokijua ni kuwa Mbowe ni Kiongozi wa Kambi rasmi ya upinzani ana pewa nafasi kubwa kutoa mawazo yake kuliko wabunge wengine. Mbona huhoji Lukuvi kuongea mara kwa mara? Kawaulize wanaojua wakupe ufafanuzi zaidi.

Mkuu, inabidi bunge lirekebishe kanuni zake ili kutoa sifa za ziada kwa kiongozi wa kambi ya upinzani. nadhani mbowe kinachomsumbua ni uelewa na kiwango chake cha elimu. sitegemei kama anaweza kujenga hoja za maana. yeye amezoea kukariri tu maswali kwa waziri mkuu
 
Mh j mungai anashindwa kuelewa hawa wapinzani wengine kama lema na mbowe ni mfano wa mtoto. Anachezeshwa ngoma naye anaicheza bila kujua.
 
Mbowe siyo wa kuchekea tena walipaswa polisi wampige sana anataka kufanya hii nchi iwe ya vurugu kila kukicha wangemvunja hata mkono au umguu iwe fundisho ili asirudie tena.
 
Usichokijua ni kuwa Mbowe ni Kiongozi wa Kambi rasmi ya upinzani ana pewa nafasi kubwa kutoa mawazo yake kuliko wabunge wengine. Mbona huhoji Lukuvi kuongea mara kwa mara? Kawaulize wanaojua wakupe ufafanuzi zaidi.

Hawezi kuelewa huyo!
Akili imeishia hapo.
 
Hivi Ndugai familia ya Ndugai inaficha wapi nyusa zao. Maana anatia sana aibu haka kazee. Hivi mkewe si anapata shida sana.!!

[]Kiongozi mzuri husikiliza hoja na kutoa maamuzi. Alichofanya Ndugai hata mzee wa kijijini asiye na elimu hatafanya. Aibu yake na hata kwa Taifa.[/QUOTE]
 
Mkuu, CHADEMA leo wamedhihirisha kuwa hawana uwezo wa kujenga hoja bali uwezo wao umeishia kwenye fujo. hata humu JF wafuasi wa CHADEMA utawajua tu kwa post zao

machadema ni genge la wahuni
 
Ndungai anapenda sana mipasho na ubabe wakati hana sera amefulia kifikra hadi kimwili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…