Mbowe atolewa nje ya bunge

Mbowe atolewa nje ya bunge

Kwa wale wenye kusahau huyu Mbowe ndie Mwenye-KITI wa chama cha siasa kinachojihita "CHADEMA" sasa ndio utapata picha hiki chama kinaongoza na mtu wa kaliba gani? na anaowaongoza ni watu wa aina gani? Chadema ni bure kabisa tena cha hovyo.
sibure ndio maana unajiita tambala ukukosea
 
Hili ndio tatizo kuwa na viongozi wajinga,mkuu wa kambi ya upinzani kaudhalilisha upinzani bungeni,badala ya kujenga hoja ikaeleweka na kuwashawishi wabunge yeye ameona njia pekee ni utovu wa nidhamu na dharau kwa mh.spika.
Mbaya zaidi wabunge wanafanya haya baada ya kuwa wameshachukuwa posho,kwanini wasisusie vikao na kususia posho ili tuwaone kuwa ni wazalendo kamili wa nchi?
Dr.slaa enzi zake alipata umaarufu Tanzania kwa kujenga hoja tuu,hakufanya siasa za matukio za kuletafujo bungeni ili aandikwe kwenye magazeti,kweli ya MISRI yananukia Tanzania maana hata kama chadema itashinda naamini itashindwa kutawala maana wananchi wanaaminishwa makubwa ambayo ni ngumu kuyapata kwa aina ya viongozi wa chadema ,hivyo wananchi wataandamana na kuitoa serikali kwa nguvu na kwa jinsi walivyo madictator hawatakubali na hivyo wataua sana waandamanaji na mwisho taifa litaongozwa kijeshi kama ilivyo misri ya leo.
kweli chadema ni janga la taifa tushirikiane kulitokomeza.
 
Mnh? sio Mwigulu kweli, aah kumbe ni wa CUF, nilidhani ni lile Tambara analojiviringishia shingoni ndio linaitwa hijab!
 
ni wakati sasa wa kuwa na spika na manaibu wake wasiotokana na chama chochote kile,hii itasaidia kuondoa maamuzi yaliyojaa ukada,ukandamizi na ya kukomoana
 
Leo kulikuwa na tafrani bungeni baada ya naibu spika wa bunge kuita askari kuingia ndani ya ukumbi wa bunge kumtoa kiongozi wa upinzani kwa nguvu jambo lilozua fujo na kusababisha mbunge wa cuf moza abeid kuvuliwa hijab yake kinyume kabisa na miongozo ya dini ya kiislam. Je huu ni uungwana?
Fafanua vizuri Naibu Spika Ndungi ndiyo kasema mbunge avuliwe hijabu?
 
CCM wana shule ya kutosha kama Prof. Maji Marefu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! na wengine wengi tu. Ndiyo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Walio karibu na tv angalieni citizen TV kuna debate kali ndani ya bunge la kenya juu ya ku-pull out. from the ICC.
 
Hili ndio tatizo kuwa na viongozi wajinga,mkuu wa kambi ya upinzani kaudhalilisha upinzani bungeni,badala ya kujenga hoja ikaeleweka na kuwashawishi wabunge yeye ameona njia pekee ni utovu wa nidhamu na dharau kwa mh.spika.
Mbaya zaidi wabunge wanafanya haya baada ya kuwa wameshachukuwa posho,kwanini wasisusie vikao na kususia posho ili tuwaone kuwa ni wazalendo kamili wa nchi?
Dr.slaa enzi zake alipata umaarufu Tanzania kwa kujenga hoja tuu,hakufanya siasa za matukio za kuletafujo bungeni ili aandikwe kwenye magazeti,kweli ya MISRI yananukia Tanzania maana hata kama chadema itashinda naamini itashindwa kutawala maana wananchi wanaaminishwa makubwa ambayo ni ngumu kuyapata kwa aina ya viongozi wa chadema ,hivyo wananchi wataandamana na kuitoa serikali kwa nguvu na kwa jinsi walivyo madictator hawatakubali na hivyo wataua sana waandamanaji na mwisho taifa litaongozwa kijeshi kama ilivyo misri ya leo.
kweli chadema ni janga la taifa tushirikiane kulitokomeza.

we kilaza kweli
utajengaje hoja kama hupewi nafasi?
hivi unaweza kuonyesha uhodari wa kujenga nyumba kama hujapewa hata nyumba yenyewe kuijenga?
amesimama atoe hoja,anaambiwa kaa chini na kutolewa nje,angejengaje hoja huku anatolewa nje? ulitaka apayuke wakati anatolewa nje ili kuonyesha kuwa anajenga hoja?
 
Leo kulikuwa na tafrani bungeni baada ya naibu spika wa bunge kuita askari kuingia ndani ya ukumbi wa bunge kumtoa kiongozi wa upinzani kwa nguvu jambo lilozua fujo na kusababisha mbunge wa cuf moza abeid kuvuliwa hijab yake kinyume kabisa na miongozo ya dini ya kiislam. Je huu ni uungwana?
Miongozo ya dini haina nafasi bungeni mkuu. Mle wenyewe walijitungia kanuni, ingawa ndugai hawezi kuzitafsiri.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom