vipik2
JF-Expert Member
- Nov 24, 2011
- 2,853
- 2,270
Hapa ndipo tunapokosa uzalendo wa kweli kwa Taifa la Tanzania, Katiba bora ni kwa manufaa yetu wote na vizazi vijavyo
CCM wanafanya mambo kama watoto, wanafanya mambo bilakujuwa kunakesho na keshokutwa, siku hazigandi na Tanzania si mali ya ccm.
Katiba kwa maana moja au nyingine ndiyo kiungo na tiba ya majeraha mbalimbali ya kisiasa, kiuchumi na kijamii.
CCM ni kama wamerogwa na ukitathimini kwa undani zaidi utagunduwa kashifa za ufisadi, matumizi mabaya ya madaraka,
Madawa ya kulevya na utesaji ni jinamizi linalowaogopesha sana katika kuunda katiba. Matokeo yake wanaharibu
matumain yawatanzania kwamba katiba itatoa majibu ya utata na kuweka misingi mizuri ya utawalabora.
Hatuna jinsi zaidi ya kuhamasisha watu kwa wingi waikatae CCM basi...ngoja niendi kijijini kwetu nianze kazi leo hii