Hakikwanza
JF-Expert Member
- Dec 11, 2010
- 4,055
- 1,024
Tehe tehe tehe....janja ya nyani kula indi bichi....? mimi kwisha jua....! 48 masaa ni taratibu za kisheria kabisa kuwa asipopelekwa mahakamani basi aachiwe huru...MTU YEYOTE ASHIKILIWAYE NA POLISI na si SHINIKIZO kama walivyoliita....! Shinikizo can be TWO HOURS FROM NOW.... na sio hiyo janja
KWA HIYO KUTOKUHESHIMU MAHAKAMA MNATUFUNDISHA NINI SISI JAMII AMBAO SI VIONGOZI WA KISISA?
Chombeza hiyo!!! Funga safari ukashiriki.
Na kwanini hasa ashindane na mahakama kwani anaogopa nini wakati anajuwa hana makosa? Huku kuidharau mahakama hakuna maana na badala yake unajikuta kwenye matatizo bure. CHADEMA ina mahelkopta kwanini asiende alikoitwa kwa kutumia helkopta?
Kila kitu duniani huwa kina mwisho wake na hata uonevu huwa una mwisho kwa Mheshimiwa Freeman Mbowe kukamatwa nadhani sasa serikali inavuka mipaka na imekosea maana mbowe siyo kibaka na aache kuhudhuria mahakamani kama muhuni vile alitoa taarifa kupitia wanasheria lakini mahakama imeng'ang'ania kumkamata na wamefanya hivyo kwa utashi wao wenyewe bila kujali vurugu na athari zilizoko na ambazo zitajitokeza wakati hata tarime hapajapoa!
Ni hivi Jeshi la polisi pamoja na wambea wengine pamoja wanojiita wana intelligencia magamba watakuwa wamepata habari na kuweka ulinzi mahakamani na polisi arusha utadhani wanalinda gaidi! Tunajikusanya na kila mtu na rafiki zake tutakutana j3 mahakamani na vyombo vya dola mmezoea kuonea watu safari hii tutajiandaa na tunawasubiri kwa hamu halafu tutajua hii nchi ni ya wananchi au ya baadhi ya makundi ya watu wachache.
Kwa wakazi wa arusha kila aliyesikia habari hii amjulishe na mwenzake tukutane mahakamani jumatatu.mahakamani na tuhakikishe kuwa Mbowe anatolewa na kuachiwa huru maana yeye ni mwanasiasa tena mtanzania wa halali hata angekwenda ulaya bado angerudi tu tanzania kujibu tuhuma zinazomkabili hapakuwa na sababu ya kumwandama kama jambazi mpigania haki za wanyonge.
Tumechoka na polisi wameua watu Arusha na tarime na walimkamata Tundu Lissu na leo wamemkamata Zitto kwa madai ya kuzidisha muda wa mkutano na sasa mwenyekiti Mbowe!
Am lost control on this! Subira haina thamani tena kwangu.
Hakuna aliye juu ya mahakama. Tusiwe vipofu wa sheria. Mbowe ni mtanzania kama wengine wote,, anapokiuka amri ya mahakama, sheria inachukua mkondo kama kawaida. Yeye ni nani aidharau mahakama? Mbowe yuko salama, na kila kitu kitafanyika kufuata sheria, wewe unayewashauri wenzako, utajikuta peke yako mahakamani. Watanzania si mbumbumbu wa sheria siku hizi.
Tehe tehe tehe....janja ya nyani kula indi bichi....? mimi kwisha jua....! 48 masaa ni taratibu za kisheria kabisa kuwa asipopelekwa mahakamani basi aachiwe huru...MTU YEYOTE ASHIKILIWAYE NA POLISI na si SHINIKIZO kama walivyoliita....! Shinikizo can be TWO HOURS FROM NOW.... na sio hiyo janja
KWA HIYO KUTOKUHESHIMU MAHAKAMA MNATUFUNDISHA NINI SISI JAMII AMBAO SI VIONGOZI WA KISISA? [/QUOTE
Wrong calculation
Miezi mingapi mama, 5 au 8? Juzi ilikuwa issue hii mahakamani! Nakutahadharisha kutii mahakama, MBOWE hajaonewa kabisa, alikuwa anadhani sasa ameshakuwa above the law! Watamuachia J3, ila atakuwa amepata fundisho.wapambanaji wote wakati umefika.ngoja ngoja wanatuona maboya.sasa tuwe tayari kujitoa,hata mimi pamoja na hali yangu nitajua lakufanya.asante JK na IGP kwa kutupa kibali.
Hakuna hatudanganyiki kuandamana kwa ajili ya faida ya Mbowe na familia yake acha akanyee debe halafu masela wa mahabusu watifue tig.....akitoka atakuwa amejifunza vya kutosha.
:fencing:
Halafu mbona wana JF hatuwaoni kwenye hayo maandamano?au mnaandamana kwenye key boards zenu?:majani7::confused2::mwaaah:
nafikiri kuna kitu hapo kinajihusisha na bunge lijalo labda asipate kabisa nafasi ya kuwepo bungeni
haya bana!
Saa 48 zinaanzia saa ngapi au tunakula timing mpaka j3 tuseme kauli yetu imefanya kazi atakapoachiwa!
Pipozzzzzzzzzzz pawaaaaaaaar
Tunasubiri tamko la CDM tu,ttulio tayari kwa ukombozi tuzame street kwa ukombozi.kwani
"ni bora ufe ukipigania ukombozi,kwani hata usipojitokeza utakufa kinyonge kwa malaria,kipindupindu au ajali za barabarani"
kukubali kuishi chini ya magamba ni sawa kabisa na ku opt kifo,kwani watanzania wengi wameshakufa wakiwa hai kutokana na ufisadi na udhalimu wa magamba na taasisi zake kandamizi.
hivi we mlevi wa gongo Tanzania kuna mahakama au picha ya mahakama?
Mimi najiuliza, Dhamana hiyo apewe na nani iwapo dhamana inatolewa mahakamani au polisi. Polisi wameshaamriwa wamkamate kwa kukiuka dhamana na mahakama haifanyi kazi siku hiyo, sijui lawama zinakujaje? Hapa kuna mambo mawili, moja ni sheria zetu tulizoziweka na la pili ni uamuzi wake mwenyewe Mbowe kuidharau mahakama kwa sababu anazozijuwa mwenyewe. Nafikiri ingekuwa busara tukangojea utetezi wake mahakamani kwani ni yeye anaeelewa kwanini alifanya alivyofanya.