Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,184
kiongozi wa act-wasaliti ayatola zitto hatakiwi ukawa ni msaliti kwanza kabadili jina la chama kutoka act-tanzania hadi kuwa act-wasaliti. hatumtaki ukawa huyo mamluki wa ccm
Hatari sana kidato cha nne amekuwa Prof au anamuiga Prof Maji Marefu.Freeman Aikael Mbowe ni Professa wa Siasa
Mbowe ningemuona wa maana kama angetuambia cri alizokuwa anazitoa Zitto Kabwe.
Akili ya mbowe ndogo sana hawezi kuwa karibu na zitto anaogopa kufunikwa ndiyo maana anapenda wenye uwezo mdogo kama mnyika na Lisu ili awaburuze!
Nachokitaka ni kuiweka serikali nyingine madarakani
Mkuu unaweza kukausha na wengine wachangie?mana huna kipya unatia shombo tuMpango wa Mbowe ni CCM iendelee kuwa madarakani.
Kumbe Mbowe ana siasa za chuki
Wasaliti act waendelee kushirikiana na ccm na kama wanaulilia UKAWA basi waunde ukawa wao na mama yao ccm.
Akili ya mbowe ndogo sana hawezi kuwa karibu na zitto anaogopa kufunikwa ndiyo maana anapenda wenye uwezo mdogo kama mnyika na Lisu ili awaburuze!