Dkt Kilembwe
Senior Member
- Apr 25, 2015
- 154
- 102
- Thread starter
- #141
UKAWA ilizaliwa siku wapinzani walipotoka bungeni kususia katiba ya CCM, na walipoibatiza CCM kuwa ni Intarahamwe ambapo Zitto na wasaliti wenzie waliendelea kubaki bungeni!
Zitto aliwaita na kuwabatiza UKAWA ni WASAKATONGE, sasa iweje mzalendo naye akasake tonge?
ACT inafadhiliwa na kuratibiwa na CCM, alafu leo iweje kuwa chama pinzani? Wapinzani wote ambao sio wasaliti wameshabambikiziwa kesi na ama kuswekwa ndani, lini Zitto alishawahi kuswekwa ndani au kubambikiziwa kesi? Hawezi kuwa treated kama wapinzani wengine kwakuwa ni mtoto kipenzi wa CCM anayeishi nyumba ya jirani!
MBOWE yupo sahihi, kumkaribisha Zitto katika UKAWA ni sawa na kukaribisha nyoka chumbani kwako!
Kamanda unatapika pasipo kuonyesha ushahidi wowote, kumbe ni wewe ambaye mke wako alibakwa na jirani yako Yule muuza duka.