Chanzo: Mtanzania
My take;
Hivi wenye dhamana na UKAWA ni Chadema peke yao,? au Chadema walianzisha UKAWA baada ya anguko lao,sasa wakaona wajifiche chini ya kivuli cha UKAWA? Mbowe anashindwa kuweka hadharani hizo taarifa za siri alizowahi kutoa Zitto.
Sikio la kufa halisikii dawa. MBOWE hajui kuwa CHADEMA ilishakufa na sasa inatembelea kwenye kivuli cha UKAWA.
CHADEMA mmetumia propagqnda ya kijinga sana kwa zitto, kweli elimu ni kitu muhimu sana, hivi kweli MBOWE anafikri kufanya hivgo watamdhoofisha ZITTO kweli? Naiona CCM hiyo ikishinda kwa kishindo tena Mwaka huu. ACT wanaweza kuwa wa pili kwenye uchaguzi mkuu.

Hatuwez kubadili uongozi wetu kwa ushaur wa ccm and companyHivi hawa CDM hawawezi kuendelea na siasa zao bila kumtaja Zitto? Alichokisema zitto ni kaulimbiu ya chama tawala cha wakati huo 'Umoja ni nguvu utengano ni udhaifu' sasa ooh hatumtaki zitto Ndo maana nawashauri CDM wafikirie upya inawwezekana Mwenyekiti wao hana jipya kaishiwa.hana sera tena ndo maana anabwabwaja tu. Fikirienikubadilisha uongozi wa cdm ilichama kisonge mbele
mbowe anaongea bila kufikiri ubabe anaofanya chadema anauleta ukawa
CHADEMA mmetumia propagqnda ya kijinga sana kwa zitto, kweli elimu ni kitu muhimu sana, hivi kweli MBOWE anafikri kufanya hivgo watamdhoofisha ZITTO kweli? Naiona CCM hiyo ikishinda kwa kishindo tena Mwaka huu. ACT wanaweza kuwa wa pili kwenye uchaguzi mkuu.
Nliwahi kusema mahali humu, kuwa Mhe. Mbowe ni mwana harakati, hata akiuhutubia unamsikia akiongea kiuanaharakati na sio kiutawala!, ameishafanya kazi kubwa na kazi nzuri kwa Chadema kutoka pale alipoitoa Chadema, hadi hapa alipoifikisha sasa, ila uwezo wake ndio hapa ulipoishia. Amefikia optimum yake, hana tena uwezo zaidi wa kuondoa Chadema kama chama cha kiunaharakati hadi kugeuka chama tawala, hivyo majaaliwa ya UKAWA kuchukua nchi kwa upande wa utawala, yamebebwa na uwepo wa CUF, wakati diplomacy na compromise imebebwa na NCCR!.
UKAWA sio Mbowe, hivyo Mhe. Mbowe yeye kama yeye, hana mamlaka ya kuamua nani ajiunge UKAWA au nani asijiunge!, trend of events ndio determinant kuwa UKAWA itamuhitaji Zitto ili upinzani usimame as one kuibwaga CCM, au UKAWA ujiridhishe hata bila ACT unaweza kuibwaga CCM, then Zitto na ACT yake ata split kura za UKAWA hivyo kuipa faida CCM!.
Ile 2010 niliwazungukia Makatibu wakuu wa Chadema, CUF na NCCR ajenda kuu ikiwa ni kusimamisha mgombea mmoja, nikiwaeleza humu Chadema walisema nini kuhusu CUF au CUF walisema nini kuhusu Chadema, leo huwezi kuamini hawa watu sasa wamekaa pamoja ndani ya UKAWA, mind well zile hoja ambazo kila mmoja alizitoa dhidi ya mwenzake, mpaka kesho they are still valid, ila wamezifungia macho na kukubali kushirikiana against a common enemy.
Kiukweli kwa mahitaji ya siasa zetu kule tunakokwenda, hata hawa viongozi wa vyama, wanapaswa kuwa na viwango fulani vya elimu, vinavyoweza kuwapa uelewa mpana zaidi jinsi coalitions zinavyoendeshwa, kama ufunguo wa determinant ya UKAWA kuingia IKULU, umeshikwa na ACT, then Mbowe hana option, ni either akubali kushirikiana na ACT ndipo waingie ikulu pamoja, au kuendelea kuvimbisha vichwa na sio tuu kuisahau, bali Chadema ikishindwa this time, Mbowe will be kicked out hata kama chama ni cha Ba Mkwe, unless kama Chadema ni mazuzu wa kustahimili kuwa ni chama cha upinzani cha kudumu!.
Hakuna kitu kizuri kama kiongozi kujitathmini kuwe umefikia optimum yako, unapisha wengine!. Hii ni price ya mwanzo ya Chadema to pay kukinyofoa kinyemela kile kipengele cha ukomo wa uongozi!.
Pasco
Kada wa CHADEMA aliwahi kusema akili nfogo haiwezi kuongoza akili kubwa.
Chanzo: Mtanzania
My take;
Hivi wenye dhamana na UKAWA ni Chadema peke yao,? au Chadema walianzisha UKAWA baada ya anguko lao,sasa wakaona wajifiche chini ya kivuli cha UKAWA? Mbowe anashindwa kuweka hadharani hizo taarifa za siri alizowahi kutoa Zitto.
Unataka tujadili nini hapa?
Maana unajiuliza na kujijibu mwenyewe, unajitekenya na kucheka.
Mnafik Mkuu ZZZK hatakiwi ukawa na mbinguni.