Mbowe asema hawamtaki Zitto Kabwe kwenye UKAWA

Mbowe asema hawamtaki Zitto Kabwe kwenye UKAWA

Mtoa mada mambo ya uchadema,na ukawa tuachie wenyew.zuzu kweli wee
 
mbowe anaogopa zzk akiingia ukawa atafichua maovu na ufisad wa cdm kwa vyama vingne km nccr na cuf wao wanapelekwa tu

We jamaa vipi? Kwani umekuwa bingwa wa kusahau? Huyo ZZK hakua cdm! Ni kitu gani hakifahamu kuhusu cdm?
 


Chanzo: Mtanzania


My take;
Hivi wenye dhamana na UKAWA ni Chadema peke yao,? au Chadema walianzisha UKAWA baada ya anguko lao,sasa wakaona wajifiche chini ya kivuli cha UKAWA? Mbowe anashindwa kuweka hadharani hizo taarifa za siri alizowahi kutoa Zitto.

waliokutuma waambie huo ndio msimamo wetu,hatutaki mamluki wala wambea si mmejiunga na ccm nyie nyau.
 
Zitto si alisema chama chake ni cha kijamaa...... CCM nao si wanasema wao Wajamaa...tena wa Nyerere haswaaaa!!!
Basi waunde umoja wao.

Napendekeza wauite Socialist and Patriotic Alliance... SPA

CCM act = SPA
 
chadema tutalindwa na Mungu japo sio wakamilifu,ila nyie mbwa waizi wa mali za umma mtataga mwaka huu
 
Nilimfahamu vuvuzela mmoja tu kutokea kusini mwa Tanzania kumbe kumbe liko vuvuzela dume lao kutokea Kasulu!!!
 
chadema tutalindwa na Mungu japo sio wakamilifu,ila nyie mbwa waizi wa mali za umma mtataga mwaka huu
Ni kweli ndiyo maana huyo Mungu kaamua muwe wapinzani miaka yote.
 
ImageUploadedByJamiiForums1430164076.937217.jpg
Makamanda wanapenda sana Jeshi,, tuwapelekeni Somalia kidogo
 
Naomba mtu mwenye ushahidi atuwekee hapa ili tuone usaliti wa Zitto,kwani chadema wako busy kusema Zitto ni msaliti pasipo kuonyesha nini alichokisaliti.
 


Chanzo: Mtanzania


My take;
Hivi wenye dhamana na UKAWA ni Chadema peke yao,? au Chadema walianzisha UKAWA baada ya anguko lao,sasa wakaona wajifiche chini ya kivuli cha UKAWA? Mbowe anashindwa kuweka hadharani hizo taarifa za siri alizowahi kutoa Zitto.

Kama inakuuma si mmkaribishe chamani kwenu kwani lazima aende ukawa tu????
 
kama amesema hivyo then Mbowe is wrong

Zitto is one small element in the whole upinzani team, na kumkataa ni kuhatarisha UKAWA in general... na lengo la ZItto litakua limetimia

Tangu lini wewe unapendezwa na ushindi wa UKAWA au CDM...??!
 
Unataka tujadili nini hapa?

Maana unajiuliza na kujijibu mwenyewe, unajitekenya na kucheka.


Mnafik Mkuu ZZZK hatakiwi ukawa na mbinguni.[/QUOTE
Mkuu hukum za mbiguni huna mamlaka nazo, ni vizuri usiziongelee maana mwenyewe huna uwakika kama unahitajika ama la..
 


Chanzo: Mtanzania


My take;
Hivi wenye dhamana na UKAWA ni Chadema peke yao,? au Chadema walianzisha UKAWA baada ya anguko lao,sasa wakaona wajifiche chini ya kivuli cha UKAWA? Mbowe anashindwa kuweka hadharani hizo taarifa za siri alizowahi kutoa Zitto.

zito anaugua ugojwa wa kusahau au ugojwa wa kupoteza kumbu kumbu
zito aliwahi kunukuliwa kuwa ukawa nia yao ni kugawana vyeo tu
sasa vipi tena anatamani kuungana na wagawana vyeo
au ni sinema ya rambo ya kutafuta huruma kwa baadhi ya watanzania madhoba?
 
Mbowe anapaswa kuelewa kuwa siasa siyo uadui, hawa wanaUKAWA wenza( CUF na NCCR-Mageuzi) ambao CHADEMA mliwaita CCM B leo hii mmeunganisha nao nguvu, ipo siku hata Zitto mtamhitaji tu
 
Kamanda unatapika pasipo kuonyesha ushahidi wowote, kumbe ni wewe ambaye mke wako alibakwa na jirani yako Yule muuza duka.

Ajira ulionayo inatokana na "kuletwa" au "kushikwa mkono" nje ya hapo, huna chembe ya akili ya hata kuwa mfagizi tu wa ofisi! Sijui huwa mnaokotwa wapi kikweli...!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom