Mbowe asema hawamtaki Zitto Kabwe kwenye UKAWA

Wana siasa na kauli za kuji contradict......sio Mbowe aliyesema Zitto akitaka kujiunga ukawa afuate taratibu za Ukawa....leo hii hamtaki tena.....!aisee....
 
Mbowe hajawahi kusema hivyo siku yoyote ,mahali popote...toa ushahidi
 
Chanzo: Mtanzania

My take;
Hivi wenye dhamana na UKAWA ni Chadema peke yao,? au Chadema walianzisha UKAWA baada ya anguko lao,sasa wakaona wajifiche chini ya kivuli cha UKAWA? Mbowe anashindwa kuweka hadharani hizo taarifa za siri alizowahi kutoa Zitto.

my take yako ya kipuuzi, unadhani cuf wanaweza waruhusu adc waingie ukawa ili hamadi rashid aachiwe jimbo la wawi?
 
Chanzo: Mtanzania

My take;
Hivi wenye dhamana na UKAWA ni Chadema peke yao,? au Chadema walianzisha UKAWA baada ya anguko lao,sasa wakaona wajifiche chini ya kivuli cha UKAWA? Mbowe anashindwa kuweka hadharani hizo taarifa za siri alizowahi kutoa Zitto.
Nliwahi kusema mahali humu, kuwa Mhe. Mbowe ni mwana harakati, hata akiuhutubia unamsikia akiongea kiuanaharakati na sio kiutawala!, ameishafanya kazi kubwa na kazi nzuri kwa Chadema kutoka pale alipoitoa Chadema, hadi hapa alipoifikisha sasa, ila uwezo wake ndio hapa ulipoishia. Amefikia optimum yake, hana tena uwezo zaidi wa kuondoa Chadema kama chama cha kiunaharakati hadi kugeuka chama tawala, hivyo majaaliwa ya UKAWA kuchukua nchi kwa upande wa utawala, yamebebwa na uwepo wa CUF, wakati diplomacy na compromise imebebwa na NCCR!.

UKAWA sio Mbowe, hivyo Mhe. Mbowe yeye kama yeye, hana mamlaka ya kuamua nani ajiunge UKAWA au nani asijiunge!, trend of events ndio determinant kuwa UKAWA itamuhitaji Zitto ili upinzani usimame as one kuibwaga CCM, au UKAWA ujiridhishe hata bila ACT unaweza kuibwaga CCM, then Zitto na ACT yake ata split kura za UKAWA hivyo kuipa faida CCM!.

Ile 2010 niliwazungukia Makatibu wakuu wa Chadema, CUF na NCCR ajenda kuu ikiwa ni kusimamisha mgombea mmoja, nikiwaeleza humu Chadema walisema nini kuhusu CUF au CUF walisema nini kuhusu Chadema, leo huwezi kuamini hawa watu sasa wamekaa pamoja ndani ya UKAWA, mind well zile hoja ambazo kila mmoja alizitoa dhidi ya mwenzake, mpaka kesho they are still valid, ila wamezifungia macho na kukubali kushirikiana against a common enemy.

Kiukweli kwa mahitaji ya siasa zetu kule tunakokwenda, hata hawa viongozi wa vyama, wanapaswa kuwa na viwango fulani vya elimu, vinavyoweza kuwapa uelewa mpana zaidi jinsi coalitions zinavyoendeshwa, kama ufunguo wa determinant ya UKAWA kuingia IKULU, umeshikwa na ACT, then Mbowe hana option, ni either akubali kushirikiana na ACT ndipo waingie ikulu pamoja, au kuendelea kuvimbisha vichwa na sio tuu kuisahau, bali Chadema ikishindwa this time, Mbowe will be kicked out hata kama chama ni cha Ba Mkwe, unless kama Chadema ni mazuzu wa kustahimili kuwa ni chama cha upinzani cha kudumu!.

Hakuna kitu kizuri kama kiongozi kujitathmini kuwe umefikia optimum yako, unapisha wengine!. Hii ni price ya mwanzo ya Chadema to pay kukinyofoa kinyemela kile kipengele cha ukomo wa uongozi!.

Pasco
 
Yani akijamba mbowe ata kama ushuzi unanauka tuseme ni harufu ya pilau kisa kajamba mwenyeketi?Huu ni ujinga wa ukawa.
 
Hivi kabla Mbowe hajasema hivyo, ulikuwa unafikiri kabisa kwamba UKAWA wanaweza wakamkaribisha Zitto ?! UKAWA kwa namna yeyote hawawezi kumkaribisha mpuuzi kama Zitto !
Yes,

NIlitegemea kwamba Lipumba angeweza kumanage situation vizuri tu, kijana angeingia kwenye coalition lakini asingepewa umuhimu wowote na huo ndio ungekua mwisho wake, kwasbabu kama kawa angeamua kujitoa na kuanza kulaumu... which would be the best conclusion to his political career kwamba ni mgumu kuishi nae

Kumtenga kunampa freeride ya kuharibu upinzani
 
Sikio la kufa halisikii dawa. MBOWE hajui kuwa CHADEMA ilishakufa na sasa inatembelea kwenye kivuli cha UKAWA.

Siku mbeleko ya ukawa ikikatika ndio watakapogundua hilo
Natamani kuwaona wana.cuf wakikataa kuburuzwa na kuwa na msimamo kuwa lazima lipumba agombee uraisi.
Jambo ambalo sioni kama wanachadema wako tayari kulikubali kwani tayari wana mgombea wao.
 
Sioni ulazima wowote wa ACT kushirimiana na UKAWA mbona kuna vyama vingi na havijajiunga na UKAWA? lengo hasa la kuanzisha vyama vingi vya siasa siyo tu kuiondoa CCM bali pia ni kuwapa wananchi wigo mpana zaidi wa kupata chama wanachokihitaji sasa tukisema vyama vyote viungane tutakuwa kama kama tunarudi kule kule kwenye mfumo wa chama kimoja maana mwananchi atakuwa na machaguo mawili tu UKAWA na CCM basi nashauri kila chama kijiendeshe chenyewe kinavyoona inafaa halafu wananchi wataamua kulingana na ubora wa sera za chama husika
 
kama amesema hivyo then Mbowe is wrong

Zitto is one small element in the whole upinzani team, na kumkataa ni kuhatarisha UKAWA in general... na lengo la ZItto litakua limetimia

UKAWA ilizaliwa siku wapinzani walipotoka bungeni kususia katiba ya CCM, na walipoibatiza CCM kuwa ni Intarahamwe ambapo Zitto na wasaliti wenzie waliendelea kubaki bungeni!

Zitto aliwaita na kuwabatiza UKAWA ni WASAKATONGE, sasa iweje mzalendo naye akasake tonge?

ACT inafadhiliwa na kuratibiwa na CCM, alafu leo iweje kuwa chama pinzani? Wapinzani wote ambao sio wasaliti wameshabambikiziwa kesi na ama kuswekwa ndani, lini Zitto alishawahi kuswekwa ndani au kubambikiziwa kesi? Hawezi kuwa treated kama wapinzani wengine kwakuwa ni mtoto kipenzi wa CCM anayeishi nyumba ya jirani!

MBOWE yupo sahihi, kumkaribisha Zitto katika UKAWA ni sawa na kukaribisha nyoka chumbani kwako!
 
Umeongea kana kwamba umecopy na kupaste kilicho kichwani mwangu.Great.
Kumkaribisha Zito ukawa ni sawa na kumkaribisha Hamad Rashid. Wote hawaaminiwi na vyama walivyofukuzwa. Zito na Hamad wote wana watu nyuma yao na lengo lao kuu ni kudhoofisha chadema and cuf, period. Hakuna upinzani wa kweli hapa.
 
CHADEMA mmetumia propagqnda ya kijinga sana kwa zitto, kweli elimu ni kitu muhimu sana, hivi kweli MBOWE anafikri kufanya hivgo watamdhoofisha ZITTO kweli? Naiona CCM hiyo ikishinda kwa kishindo tena Mwaka huu. ACT wanaweza kuwa wa pili kwenye uchaguzi mkuu.

Hiyo ni kwa hisani ya VIROBA vya Konyagi au?????.
 
Nliwahi kusema mahali humu, kuwa Mhe. Mbowe ni mwana harakati, hata akiuhutubia unamsikia akiongea kiuanaharakati na sio kiutawala!, ameishafanya kazi kubwa na kazi nzuri kwa Chadema kutoka pale alipoitoa Chadema, hadi hapa alipoifikisha sasa, ila uwezo wake ndio hapa ulipoishia. Amefikia optimum yake, hana tena uwezo zaidi wa kuondoa Chadema kama chama cha kiunaharakati hadi kugeuka chama tawala, hivyo majaaliwa ya UKAWA kuchukua nchi kwa upande wa utawala, yamebebwa na uwepo wa CUF, wakati diplomacy na compromise imebebwa na NCCR!.

UKAWA sio Mbowe, hivyo Mhe. Mbowe yeye kama yeye, hana mamlaka ya kuamua nani ajiunge UKAWA au nani asijiunge!, trend of events ndio determinant kuwa UKAWA itamuhitaji Zitto ili upinzani usimame as one kuibwaga CCM, au UKAWA ujiridhishe hata bila ACT unaweza kuibwaga CCM, then Zitto na ACT yake ata split kura za UKAWA hivyo kuipa faida CCM!.

Ile 2010 niliwazungukia Makatibu wakuu wa Chadema, CUF na NCCR ajenda kuu ikiwa ni kusimamisha mgombea mmoja, nikiwaeleza humu Chadema walisema nini kuhusu CUF au CUF walisema nini kuhusu Chadema, leo huwezi kuamini hawa watu sasa wamekaa pamoja ndani ya UKAWA, mind well zile hoja ambazo kila mmoja alizitoa dhidi ya mwenzake, mpaka kesho they are still valid, ila wamezifungia macho na kukubali kushirikiana against a common enemy.

Kiukweli kwa mahitaji ya siasa zetu kule tunakokwenda, hata hawa viongozi wa vyama, wanapaswa kuwa na viwango fulani vya elimu, vinavyoweza kuwapa uelewa mpana zaidi jinsi coalitions zinavyoendeshwa, kama ufunguo wa determinant ya UKAWA kuingia IKULU, umeshikwa na ACT, then Mbowe hana option, ni either akubali kushirikiana na ACT ndipo waingie ikulu pamoja, au kuendelea kuvimbisha vichwa na sio tuu kuisahau, bali Chadema ikishindwa this time, Mbowe will be kicked out hata kama chama ni cha Ba Mkwe, unless kama Chadema ni mazuzu wa kustahimili kuwa ni chama cha upinzani cha kudumu!.

Hakuna kitu kizuri kama kiongozi kujitathmini kuwe umefikia optimum yako, unapisha wengine!. Hii ni price ya mwanzo ya Chadema to pay kukinyofoa kinyemela kile kipengele cha ukomo wa uongozi!.

Pasco

Kama hana mamlaka mwambie apeleke maombi kama yatakubalika! Mnataka kuleta kirusi chenu ndani ya ukawa tena?

Hata hadhi ya kujadiliwa kujiunga na ukawa

Zito mfano wake ni sawa na mwanamke anayetoa siri bwana/nyumbani mwake kwa majirani au watu back.

Sasa talaka amepewa kwa makosa yake anataka kurudi kwa namna nyingine
Mwambien agombee hukohuko na aishie hukohuko na unafki wake
 
UKAWA ilizaliwa siku wapinzani walipotoka bungeni kususia katiba ya CCM, na walipoibatiza CCM kuwa ni Intarahamwe ambapo Zitto na wasaliti wenzie waliendelea kubaki bungeni!

Zitto aliwaita na kuwabatiza UKAWA ni WASAKATONGE, sasa iweje mzalendo naye akasake tonge?

ACT inafadhiliwa na kuratibiwa na CCM, alafu leo iweje kuwa chama pinzani? Wapinzani wote ambao sio wasaliti wameshabambikiziwa kesi na ama kuswekwa ndani, lini Zitto alishawahi kuswekwa ndani au kubambikiziwa kesi? Hawezi kuwa treated kama wapinzani wengine kwakuwa ni mtoto kipenzi wa CCM anayeishi nyumba ya jirani!

MBOWE yupo sahihi, kumkaribisha Zitto katika UKAWA ni sawa na kukaribisha nyoka chumbani kwako!

Thanks mkuu nimekusoma
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom