Mbowe asema hawamtaki Zitto Kabwe kwenye UKAWA

Mbowe asema hawamtaki Zitto Kabwe kwenye UKAWA

Kuna mambo mengine najiona mjinga kujadili lakini nalazimika. Hivi ZZK wakati anaanzisha kachama kake ka wasaliti hakuiona CUF, NCCR au hata NLD? kwa nini hakujiunga huko? badala yake aliona wote wajinga, leo anataka kuja UKAWA kufanyaje? aendeleze mradi wake kuua upinzani? Kwa sasa tunapigana na bondia aliyeko nje ya uringo hatuwezi kufanya kosa kumrudisha ulingoni
 
Chanzo:Mtanzania

My take;
Hivi wenye dhamana na UKAWA ni Chadema peke yao,? au Chadema walianzisha UKAWA baada ya anguko lao,sasa wakaona wajifiche chini ya kivuli cha UKAWA? Mbowe anashindwa kuweka hadharani hizo taarifa za siri alizowahi kutoa Zitto.

Zitto alijiona kuwa anajitosheleza na anajiweza peke yake ndio maana kaanzisha chama akiwa ndani ya chama kingine.

Akajiunga na ACT Tanzania nako akaona hakumfai kawakimbia wenzake waliokuwa wanakilea chama wakati wanamsubiri mwenye chama wamkabidhi chama chake.

Akaanzisha ACT wazalendo na Zitto hayuko tayari kuwa chini ya mtu,sasa UKAWA aje kufanya nini aje kuwa kiongozi mkuu wa UKAWA ili Lipumba na viongozi wengine wawe chini yake ili awe ana wapepeta kama ngano?.
 
Natamani siku moja lipigwe bonge moja la korabo kati ya cuf na act ikiwezekana hata nccr tena kipindi hiki cha kampeni hakika nitayaona mabadiloko ya kweli tz yanakuja
 
Sioni kitu cha ajabu hata kama Mh. Mbowe kasema hayo!!

UKAWA haijumuishi DP, UDP, TLP na vyama vingine vingi. Kuna sababu, hata kama si za msingi. Kama sababu hizo zinafanana au kushabihiana, Chadema kama mshirika katika UKAWA ana maamuzi yake. Na ni hayo iwe ni ya haki au si ya haki.

Je unafahamu kuwa ACT-Wazalendo watasimamisha wagombea ktk Uchaguzi ujao? Unafahamu kuwa UKAWA watasimamisha mgombea mwakilishi wa vyama vyao? Kama huwezi kuona kuwa hiyo ni tofauti kubwa sana, basi unawakilisha aina ya watanzania ambao kazi yao ni kulaumu na kulalamika tu - bila kujua haki na wajibu wao. Aibu!!

Mleta mada, ningetegemea umhoji Mh. Mbowe kwanini UDP na TLP si sehemu ya UKAWA. Otherwise waache waamue mambo yao. Hapa hakuna haki ya yeyote iliyovunjwa na kila mtu/chama kina haki ya kuamua wapendalo.
 
Chanzo: Mtanzania

My take;
Hivi wenye dhamana na UKAWA ni Chadema peke yao,? au Chadema walianzisha UKAWA baada ya anguko lao,sasa wakaona wajifiche chini ya kivuli cha UKAWA? Mbowe anashindwa kuweka hadharani hizo taarifa za siri alizowahi kutoa Zitto.

Mbowe sio mwendawazimu mpaka afikie hatua ya kuzugumza aneno kama hayo. kwa nini unaleta uzushi?
 
mbona na wewe una malaria inakusumbua na hujitambui?
-mbowe kasema zito *yuda* no ukawa sasa nawe eti maoni yako kwani wewe mwanachadema?

Biblia inasema Yuda alisaliti vipande thelathini vya fedha,ushahidi upo kwenye maandiko ya Mungu.Sasa Chadema watuambie Kwa ushahidi Zitto alisaliti nini? ni vyema muambatanishe na ushahidi.
 
Msiwaamini wanasiasa awe mtawala wala upinzani maneno ya zito kabwe. Maneno anayosema mbowe changanya na yako.
 
Chanzo: Mtanzania

My take;
Hivi wenye dhamana na UKAWA ni Chadema peke yao,? au Chadema walianzisha UKAWA baada ya anguko lao,sasa wakaona wajifiche chini ya kivuli cha UKAWA? Mbowe anashindwa kuweka hadharani hizo taarifa za siri alizowahi kutoa Zitto.

Acha uongo! Walianguka lini?

Si ndio naona CDM imeshinda mitaa mingi na imezidi kupendwa na kuimalika; ww unaongea vise versa!!!
 
Acha uongo! Walianguka lini?

Si ndio naona CDM imeshinda mitaa mingi na imezidi kupendwa na kuimalika; ww unaongea vise versa!!!

CDM unaipenda wewe unayeburuzwa
Huoni chopa 3 kata 3 kuwa ni anguko,kumbe wewe ni zwazwa.
 
Huu ni mpango maalumu wa Zitto kuwavuruga ukawa, hapo anachofanya ni kuwagombanisha cuf na CHADEMA...ataenda kufanya kikao na cuf, cuf watakubali Zitto ajiunge ukawa wakati CHADEMA hawamtaki....

Fikiria disco litakalotokea hapo???

CCM ni wajanja/wahuni sana!
 
Kwa mtazamo huo kumbe Chadema wanashirikiana na CCM.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom