Mbowe asema hawamtaki Zitto Kabwe kwenye UKAWA

Mbowe asema hawamtaki Zitto Kabwe kwenye UKAWA

Hatuwezi kukikaribisha chama cha wasaliti ACT ndani ya Ukawa labda Act wakaungane na ccm .

wajiunge na ccm mara ngapi?? haina haja! ACT wanasubir mkesha wa siku ya kupiga kura kiongozi mkuu atangaze kujitoa kwa wagombea wote wa ACT na kudeclare kuwaunga mkono wagombea wa ccem.

mwaka 2010 akiwa cdm YUDA bila consent ya KAMATI KUU siku 4 kabla ya uchaguz alimuandikia barua kinyemela mwenyekiti NEC kwamba cdm wamewaondoa wagombea wa cdm kwa pinder na tanga kule na singida wagombea wa ccm wakapita bila kupingwa sembuse wa ACT wanaofadhiliwa na ccm!!!!!
 
"UKAWA ni wasakatonge" ha ha ZK anatakiwa kuwa makini na kauli zake hasa kipindi hiki ambacho anafikiri chini ya kiwango.
 
Inashangaza kwamba Baadhi ya watanzania akili zao zimefubaa hata ukiwaelewesha vipi hawaelewi. Nirudie kusema hivi; zitto ni CCM na ziara zake zinagharimiwa na CCM ili kuibomoa Chadema.Wanadhani watafanikiwa lakini hawawezi kamwe. Wanaoipinga Chadema humu na kuunga mkono ACT ni wanachama wa CCM waliokuwa wamepandikizwa na CCM ndani ya Chadema. Wanachofanya sasa ni kurudi CCM walikotoka wakitumia jina la ACT. Kusema ACT ijiunge na Ukawa ni sawasawa na kusema CCM ijiunge Ukawa,wote ni dugu moja.
 
Huyu Mbowe asitukokote bhana! Ugomvi wake na Zitto asitulee kwenye chama.

Ni siri zipi zilizo vujishwa na Zitto!
 
Yes, CHADEMA ndio UKAWA na UKAWA ndio CHADEMA. Tutasikia mambo mengi mwaka huu. Twende kazini.
 


Chanzo: Mtanzania


My take;
Hivi wenye dhamana na UKAWA ni Chadema peke yao,? au Chadema walianzisha UKAWA baada ya anguko lao,sasa wakaona wajifiche chini ya kivuli cha UKAWA? Mbowe anashindwa kuweka hadharani hizo taarifa za siri alizowahi kutoa Zitto.

Chadema wana dhamana ya Ukawa peke yao?

Chadema WALIANZISHA Ukawa...

Nimeamini ukawa "imeziminya" zote mbili na haitaki kuziachia!! Kudadadeki.....Na bado!!
 
Huo usaliti alioufanya huyo msaliti mbona umewekwa hadharani mara chungu nzima!? CHADEMA haianguki kesho wala kesho kutwa mtasubiri sana anguko la CHADEMA. CHADEMA inakubalika hata na viongozi wengine wa juu wa CUF na NCCR na ndio sababu hawakuona tatizo kumpa Kamanda Mbowe nafasi ya juu ya uongozi ndani ya UKAWA.



Chanzo: Mtanzania


My take;
Hivi wenye dhamana na UKAWA ni Chadema peke yao,? au Chadema walianzisha UKAWA baada ya anguko lao,sasa wakaona wajifiche chini ya kivuli cha UKAWA? Mbowe anashindwa kuweka hadharani hizo taarifa za siri alizowahi kutoa Zitto.
 
Sikio la kufa halisikii dawa. MBOWE hajui kuwa CHADEMA ilishakufa na sasa inatembelea kwenye kivuli cha UKAWA.

Ikishakufa…. halafu inatembelea Ukawa!!!
ndio nini sasa umeandika!?. Nyambaffffff!!!!!!!!!!!!!.
 
MBOWE uwezo wake ni mdogo sana,hivi anataka WATU kama akina Lissu ili aendelee kuwaburuza

Bro wewe ni mpuuzi tena upuuzwe sana , umekuja na hoja ili umtukane Mbowe? Kubaliana nao bro na ACT we can start our own alliance with TLP ,UDP nk what is the problem ?
 
CHADEMA mmetumia propagqnda ya kijinga sana kwa zitto, kweli elimu ni kitu muhimu sana, hivi kweli MBOWE anafikri kufanya hivgo watamdhoofisha ZITTO kweli? Naiona CCM hiyo ikishinda kwa kishindo tena Mwaka huu. ACT wanaweza kuwa wa pili kwenye uchaguzi mkuu.

Dada si mumchukue kwenye chama chenu,tulieni dawa iwaingie taratiibu.
 
nadhani ni muda muafaka kwa CUF na NCCR kuchukua tahadhari juu ya hiki chama. maana hakieleweki.



Chanzo: Mtanzania


My take;
Hivi wenye dhamana na UKAWA ni Chadema peke yao,? au Chadema walianzisha UKAWA baada ya anguko lao,sasa wakaona wajifiche chini ya kivuli cha UKAWA? Mbowe anashindwa kuweka hadharani hizo taarifa za siri alizowahi kutoa Zitto.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom