michael western
JF-Expert Member
- May 7, 2014
- 544
- 259
DJ aliyekuwa akimpigia mama yako zilipendwa basi anafurahiiidj hawezi kuunga mkono zitto kuingia ukawa anajua kabisa ikiwa hivyo zitto atakuwa mshindani wake ndani ya ukawa na kama dunia ijuavyo (japo wengi roho inawauma) dj atabwagwa chini kama kiroba!