dj hawezi kuunga mkono zitto kuingia ukawa anajua kabisa ikiwa hivyo zitto atakuwa mshindani wake ndani ya ukawa na kama dunia ijuavyo (japo wengi roho inawauma) dj atabwagwa chini kama kiroba!
Huu ni mpango maalumu wa Zitto kuwavuruga ukawa, hapo anachofanya ni kuwagombanisha cuf na CHADEMA...ataenda kufanya kikao na cuf, cuf watakubali Zitto ajiunge ukawa wakati CHADEMA hawamtaki....
Fikiria disco litakalotokea hapo???
CCM ni wajanja/wahuni sana!
Umekosa hoja vipi na uproff wako ni wa kichina nini coz hata kutetea hoja yako unashindwa
Unafiki wa Zitto ni upi au umekata kamba
Kwa mtazamo huo kumbe Chadema wanashirikiana na CCM.
Kwamba ww umeona mbele, haya ushauri wako
biblia inasema yuda alisaliti vipande thelathini vya fedha,ushahidi upo kwenye maandiko ya mungu.sasa chadema watuambie kwa ushahidi zitto alisaliti nini? Ni vyema muambatanishe na ushahidi.
kama amesema hivyo then Mbowe is wrong
Zitto is one small element in the whole upinzani team, na kumkataa ni kuhatarisha UKAWA in general... na lengo la ZItto litakua limetimia
CDM unaipenda wewe unayeburuzwa
Huoni chopa 3 kata 3 kuwa ni anguko,kumbe wewe ni zwazwa.
Chanzo: Mtanzania
My take;
Hivi wenye dhamana na UKAWA ni Chadema peke yao,? au Chadema walianzisha UKAWA baada ya anguko lao,sasa wakaona wajifiche chini ya kivuli cha UKAWA? Mbowe anashindwa kuweka hadharani hizo taarifa za siri alizowahi kutoa Zitto.
Chanzo: Mtanzania
My take;
Hivi wenye dhamana na UKAWA ni Chadema peke yao,? au Chadema walianzisha UKAWA baada ya anguko lao,sasa wakaona wajifiche chini ya kivuli cha UKAWA? Mbowe anashindwa kuweka hadharani hizo taarifa za siri alizowahi kutoa Zitto.