Mbowe asalimu amri kwa Lowassa

Mbowe asalimu amri kwa Lowassa

Dah nsiwe muongo, sijailewa hii thread, hebu mmoja anifafanulie kwa ufupi...!
 
Wasalaam;

TokeaEL kkujiungana Chadema july,2015 ili kugombea uraisi baada ya kkukatwa na CCM kufuatia upotofu wa maadili,ujio huo wa Lowasa ulitajwa kuambatana na "deal" kubwa la bilioni 10 kati yake na Mbowe baada ya uteuzi wa Katibu mkuu mpya jana fafuatayo yanadhihirisha Chadema mpya ya Lowasa inasukwa;
1.imedhihirika kwamba kwa mara kadhaa Lissu,Mnyika nk majina yao yalikatwa ofisi za mikocheni kutokana na siasa zao zilizoendeleza kumtusi EL hata baada ya makubaliano baina ya Mbowe na EL kutochafuliwa mwaka 2011...ikumbukwe kwamba mpango wa EL/Mbowe ulianza 2011.

2.Ukiukwaji wa protokali...Mbowe na viongozi wakuu kumpokea EL kwa kutamalaki angali ni mjumbe wa kawaida hili linaonyesha kuwa "mwenyekiti" ni EL.

3.Agizo lake kuharakisha uchaguzi 2018 badala ya 2019 limepita,hii itawezesha kundi lake kuingia na kudhibiti chama kuelekea uchaguzi 2020 na hivyo kuwaacha vijana wengi nje wakiwa wamekata tamaa.

4.Imethibitika kwamba Mt.Kilimanjaro mafia ndani na nje ya chama Vicent sio chaguo lao hivyo kuna msuguano na huenda wakamuunga mkono Mbatia kama mbadala wa harakati zao japo Mbowe yeye hajali huku akiamini malengo yake hayataathirika,kapata alichokitaka.

5.EL kaagiza vijana wote waliomtukana mitandaoni na kuzima ndoto zake akiwa CCM wasipewe nafasi yoyote huku akiamini yeye ndiye mwenye wapiga kura wengi kuliko chadema...katika kikao binafsi mikocheni amesema katika kura milioni 6 zilizopigwa zake binafsi ni milioni 4 hivyo wote waliomdhalilisha mlango upo wazi.

Tuendelee kusubiri huku tukiweka akiba ya maneno huku tukijenga hoja badala ya matusi.
Propaganda nyepesi sana hii!
Ile hoja isiyo na mashiko kuwa CDM ni cha kaskazini naona imekufa kibudu;ccm lazima ijiandae kufanya siasa za kujenga hoja nzito badala ya siasa za fitna na uzushi ilizozizoea!
 
Kwa kumuweka mamluki asiye na maamuzi ni kama Prof.Safari kawekwa kuweka taswira ya uislamu....muda ni jibu sahihi.
 
Wasalaam;

TokeaEL kkujiungana Chadema july,2015 ili kugombea uraisi baada ya kkukatwa na CCM kufuatia upotofu wa maadili,ujio huo wa Lowasa ulitajwa kuambatana na "deal" kubwa la bilioni 10 kati yake na Mbowe baada ya uteuzi wa Katibu mkuu mpya jana fafuatayo yanadhihirisha Chadema mpya ya Lowasa inasukwa;
1.imedhihirika kwamba kwa mara kadhaa Lissu,Mnyika nk majina yao yalikatwa ofisi za mikocheni kutokana na siasa zao zilizoendeleza kumtusi EL hata baada ya makubaliano baina ya Mbowe na EL kutochafuliwa mwaka 2011...ikumbukwe kwamba mpango wa EL/Mbowe ulianza 2011.

2.Ukiukwaji wa protokali...Mbowe na viongozi wakuu kumpokea EL kwa kutamalaki angali ni mjumbe wa kawaida hili linaonyesha kuwa "mwenyekiti" ni EL.

3.Agizo lake kuharakisha uchaguzi 2018 badala ya 2019 limepita,hii itawezesha kundi lake kuingia na kudhibiti chama kuelekea uchaguzi 2020 na hivyo kuwaacha vijana wengi nje wakiwa wamekata tamaa.

4.Imethibitika kwamba Mt.Kilimanjaro mafia ndani na nje ya chama Vicent sio chaguo lao hivyo kuna msuguano na huenda wakamuunga mkono Mbatia kama mbadala wa harakati zao japo Mbowe yeye hajali huku akiamini malengo yake hayataathirika,kapata alichokitaka.

5.EL kaagiza vijana wote waliomtukana mitandaoni na kuzima ndoto zake akiwa CCM wasipewe nafasi yoyote huku akiamini yeye ndiye mwenye wapiga kura wengi kuliko chadema...katika kikao binafsi mikocheni amesema katika kura milioni 6 zilizopigwa zake binafsi ni milioni 4 hivyo wote waliomdhalilisha mlango upo wazi.

Tuendelee kusubiri huku tukiweka akiba ya maneno huku tukijenga hoja badala ya matusi.
CCM HAWAJUI SIASA WALA MAANA YA SIAS.. WANAFIKIRI SIASA NA MABAVU....NDIO MAANA WANATUMIA VYOMBO VYA DOLA, NA UTAWALA WA MABAVU BILA HUTASHI WA WANANCHI..WAJINGA WATAPINGA, ILA MFANO MDOGO NI UMEYA DAR NA UCHAGUZI WA ZANZIBAR...WANANCHI WAMEWAKATAA NA WAMEWACHOKA SANA LAKINI WANATUMIA VYOMBO VYA DOLA KUKANDAMIZA UTASHI WA WANANCHI,NDIO MAANA TUNAONA WAKUU WA POLISI WALIOSTAFU WAKIKIRIMIA NAFASI ZA UONGOZI KAMA KIINUA MGONGO NA PONGEZI YA KAZI WALIOFANYA KUWANYANYASA WAPINZANI.
 
Hii mada haihusiani na unayoyasema,jikite kwenye mada kijana!
 
Wasalaam;

TokeaEL kkujiungana Chadema july,2015 ili kugombea uraisi baada ya kkukatwa na CCM kufuatia upotofu wa maadili,ujio huo wa Lowasa ulitajwa kuambatana na "deal" kubwa la bilioni 10 kati yake na Mbowe baada ya uteuzi wa Katibu mkuu mpya jana fafuatayo yanadhihirisha Chadema mpya ya Lowasa inasukwa;
1.imedhihirika kwamba kwa mara kadhaa Lissu,Mnyika nk majina yao yalikatwa ofisi za mikocheni kutokana na siasa zao zilizoendeleza kumtusi EL hata baada ya makubaliano baina ya Mbowe na EL kutochafuliwa mwaka 2011...ikumbukwe kwamba mpango wa EL/Mbowe ulianza 2011.

2.Ukiukwaji wa protokali...Mbowe na viongozi wakuu kumpokea EL kwa kutamalaki angali ni mjumbe wa kawaida hili linaonyesha kuwa "mwenyekiti" ni EL.

3.Agizo lake kuharakisha uchaguzi 2018 badala ya 2019 limepita,hii itawezesha kundi lake kuingia na kudhibiti chama kuelekea uchaguzi 2020 na hivyo kuwaacha vijana wengi nje wakiwa wamekata tamaa.

4.Imethibitika kwamba Mt.Kilimanjaro mafia ndani na nje ya chama Vicent sio chaguo lao hivyo kuna msuguano na huenda wakamuunga mkono Mbatia kama mbadala wa harakati zao japo Mbowe yeye hajali huku akiamini malengo yake hayataathirika,kapata alichokitaka.

5.EL kaagiza vijana wote waliomtukana mitandaoni na kuzima ndoto zake akiwa CCM wasipewe nafasi yoyote huku akiamini yeye ndiye mwenye wapiga kura wengi kuliko chadema...katika kikao binafsi mikocheni amesema katika kura milioni 6 zilizopigwa zake binafsi ni milioni 4 hivyo wote waliomdhalilisha mlango upo wazi.

Tuendelee kusubiri huku tukiweka akiba ya maneno huku tukijenga hoja badala ya matusi.

Naona lile jini la UKANDA na UKABILA limepasuliwa bila ganzi,pole sana.Yale majina yenu mliyojipangia na kuwateulia CDM ili mpate cha kuongea yameishia Dodoma.

Pole sana sana.Mwambie aliyekutuma kwamba umechoka kutumika kama pampas
 
Kijana tunakufungua..usije kujuta!
 
Mkuu tunaweka kumbukumbu sawa kwa vizazi vijavyo ili visipotoshwe.

Mmeishiwa na sera; bado kivuli cha LOWASA na SUMAYE kinaitesa CCM.

Na bado hizo ni mvua za rasha rasha subirini EL NINO inakuja.

Mlikuwa mkisema kuwa LOWASA amefuata URAIS kule CHADEMA na siyo uanachama na endapo akishindwa uchaguzi ule ni kwamba atajiondoa ndani ya CHADEMA kwa sababu siyo Mpenzi wa CDM. mmepatwa na aibu ya mwaka baadaya kuona LOWASA anaendelea na mnamshuhudia katika vikao kule MwaNza VYa CDM.

Baada ya uchaguzi mlisema ooooohh!! LOWASA anapewa cheo cha Mwenyekiti na SUMAYE atakuwa katibu Mkuu wa CDM. Mmepata aibu baada ya kuona kuwa Katibu Mkuu ameshachaguliwa na siyo mliodhania.

Mlisema Ooooooohhh! CHADEMA ni chama cha kaskazini. Mmepatwa na aibu kushuhudia kuwa katibu wake Mkuu ni Msukuma.

Mlisema oooooooohhhhhh!!!! UKAWA itakufa baada ya uchaguzi 2015, mmebaki na aibu hakuna aliyejitoa ndani ya UKAWA wote wanajenga vyama na UKAWA kwa ujumla.

CCM maji taka.jpg

Bora Ukimwi kuliko CCM.jpg

AIBU YENU MILELELELELELELELELELELELELELEEEEEE!!!!!
TAFUTENI MENGINE YA KUSEMA SISI TUPO NGANGARI KINOMA TUNADUNDA KUJIANDAA NA CHAGUZI MBALIMBALI ZINZOFUATA MOTOT MTUNDO!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom