Mbowe asalimu amri kwa Lowassa

Mbowe asalimu amri kwa Lowassa

Endelea kuota hivyo hivyo...
Ila ombeni sana Magu utumbuaji wake usifike hadi kwenye kufumua katiba ya JMT make akituwekea ya Warioba tu, basi hamtakuwa na pakutokea.
Jikite kwenye mada kwa hoja yakinifu...ndio mnavyodanganyana kwamba katiba inawazuiwa kushinda?
 
Najisemea kilasiku
Kuishabikia CDM
Unapaswa kwanza uwe na Akili za popo
Maana ukitafakali mambo ya Kiongozi wao Mbowe na
Hali inavyo kwenda
Unapata taabu kujua hawa wafuasi ni vibogoyo wa Akili au!!

Chama kimeshikwa na watu 2
Mmiliki kawa Lowassa
 
baada ya kuisoma namba na kutumbuliwa majipu mleta mada kama kijipu upele umeleta pumba zako hapa na kujikumbusha Lowasa alivyowatesa majimboni kwa kutumbuliwa na wananchi bado unaleta takataka hapa
 
Wasalaam;

TokeaEL kkujiungana Chadema july,2015 ili kugombea uraisi baada ya kkukatwa na CCM kufuatia upotofu wa maadili,ujio huo wa Lowasa ulitajwa kuambatana na "deal" kubwa la bilioni 10 kati yake na Mbowe baada ya uteuzi wa Katibu mkuu mpya jana fafuatayo yanadhihirisha Chadema mpya ya Lowasa inasukwa;
1.imedhihirika kwamba kwa mara kadhaa Lissu,Mnyika nk majina yao yalikatwa ofisi za mikocheni kutokana na siasa zao zilizoendeleza kumtusi EL hata baada ya makubaliano baina ya Mbowe na EL kutochafuliwa mwaka 2011...ikumbukwe kwamba mpango wa EL/Mbowe ulianza 2011.

2.Ukiukwaji wa protokali...Mbowe na viongozi wakuu kumpokea EL kwa kutamalaki angali ni mjumbe wa kawaida hili linaonyesha kuwa "mwenyekiti" ni EL.

3.Agizo lake kuharakisha uchaguzi 2018 badala ya 2019 limepita,hii itawezesha kundi lake kuingia na kudhibiti chama kuelekea uchaguzi 2020 na hivyo kuwaacha vijana wengi nje wakiwa wamekata tamaa.

4.Imethibitika kwamba Mt.Kilimanjaro mafia ndani na nje ya chama Vicent sio chaguo lao hivyo kuna msuguano na huenda wakamuunga mkono Mbatia kama mbadala wa harakati zao japo Mbowe yeye hajali huku akiamini malengo yake hayataathirika,kapata alichokitaka.

5.EL kaagiza vijana wote waliomtukana mitandaoni na kuzima ndoto zake akiwa CCM wasipewe nafasi yoyote huku akiamini yeye ndiye mwenye wapiga kura wengi kuliko chadema...katika kikao binafsi mikocheni amesema katika kura milioni 6 zilizopigwa zake binafsi ni milioni 4 hivyo wote waliomdhalilisha mlango upo wazi.

Tuendelee kusubiri huku tukiweka akiba ya maneno huku tukijenga hoja badala ya matusi.
Sawa
 
Back
Top Bottom