Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,505
- 16,005
- Thread starter
- #201
Mambo ya kuishiwa pumzi muulize Kingunge,Sumaye alishapiga goti kwa Magufuli alivyolazwa Muhimbili,Lowassa baada ya hasira kwa sasa ni "project"Mmeishiwa na sera; bado kivuli cha LOWASA na SUMAYE kinaitesa CCM.
Na bado hizo ni mvua za rasha rasha subirini EL NINO inakuja.