Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,505
- 16,005
- Thread starter
- #41
Mkuu hilo nimelifananisha na Abramovich huwa havai sare ya Chelsea..ndivyo ilivyo kwa Lowassa.Eduadi lowasa ananikela jambo moja tu ukumbi mzm wamevaa uniform za cdm na kofia yeye havai hata kitambaa cha cdm mkononi.. Yeye anaingia kama alivyo na anatoka kama alivyo.... Hilo kiukweli linanikela sana..
