Mbowe asalimu amri kwa Lowassa

Mbowe asalimu amri kwa Lowassa

Kijana unapenda posho sana?..njoo huku mwanza nina hela kuwalipa wataodeki barabara.
Ukinihakikishia na wewe dada angu utakua umeinama unapiga deki, mi hata Posho sitaki ntapiga deki nyuma yako bureee dada angu
 
Ukinihakikishia na wewe dada angu utakua umeinama unapiga deki, mi hata Posho sitaki ntapiga deki nyuma yako bureee dada angu
Ndio akili za vijana wa chadema kama kamanda wa anga kujaza mahawara viti maalum.
 
Mada za kitoto,anyway jitahidi tu,sishangai mana JF umejiunga juzi tu mwezi wa pili,
 
Ulishawahi kumuona kubenea wakiongea au kusalimiana na EL?


Ikiwa hawawezi kuongea au kusalimiana sasa watafanyaje kazi? Ikizingatiwa kuwa nguzo kuu ya utendaji katika chama chochote ni Wabunge.
 
Wasalaam;

TokeaEL kkujiungana Chadema july,2015 ili kugombea uraisi baada ya kkukatwa na CCM kufuatia upotofu wa maadili,ujio huo wa Lowasa ulitajwa kuambatana na "deal" kubwa la bilioni 10 kati yake na Mbowe baada ya uteuzi wa Katibu mkuu mpya jana fafuatayo yanadhihirisha Chadema mpya ya Lowasa inasukwa;
1.imedhihirika kwamba kwa mara kadhaa Lissu,Mnyika nk majina yao yalikatwa ofisi za mikocheni kutokana na siasa zao zilizoendeleza kumtusi EL hata baada ya makubaliano baina ya Mbowe na EL kutochafuliwa mwaka 2011...ikumbukwe kwamba mpango wa EL/Mbowe ulianza 2011.

2.Ukiukwaji wa protokali...Mbowe na viongozi wakuu kumpokea EL kwa kutamalaki angali ni mjumbe wa kawaida hili linaonyesha kuwa "mwenyekiti" ni EL.

3.Agizo lake kuharakisha uchaguzi 2018 badala ya 2019 limepita,hii itawezesha kundi lake kuingia na kudhibiti chama kuelekea uchaguzi 2020 na hivyo kuwaacha vijana wengi nje wakiwa wamekata tamaa.

4.Imethibitika kwamba Mt.Kilimanjaro mafia ndani na nje ya chama Vicent sio chaguo lao hivyo kuna msuguano na huenda wakamuunga mkono Mbatia kama mbadala wa harakati zao japo Mbowe yeye hajali huku akiamini malengo yake hayataathirika,kapata alichokitaka.

5.EL kaagiza vijana wote waliomtukana mitandaoni na kuzima ndoto zake akiwa CCM wasipewe nafasi yoyote huku akiamini yeye ndiye mwenye wapiga kura wengi kuliko chadema...katika kikao binafsi mikocheni amesema katika kura milioni 6 zilizopigwa zake binafsi ni milioni 4 hivyo wote waliomdhalilisha mlango upo wazi.

Tuendelee kusubiri huku tukiweka akiba ya maneno huku tukijenga hoja badala ya matusi.
Wewe ndiyo msemaji mkuu wa Chadema?
 
Duh! Inaonekana EL kawaharibia sn mipango yenu. Bado mnaweweseka hadi sasa!
 
Back
Top Bottom