Mbowe asalimu amri kwa Lowassa

Mbowe asalimu amri kwa Lowassa

Wasalaam;

TokeaEL kkujiungana Chadema july,2015 ili kugombea uraisi baada ya kkukatwa na CCM kufuatia upotofu wa maadili,ujio huo wa Lowasa ulitajwa kuambatana na "deal" kubwa la bilioni 10 kati yake na Mbowe baada ya uteuzi wa Katibu mkuu mpya jana fafuatayo yanadhihirisha Chadema mpya ya Lowasa inasukwa;
1.imedhihirika kwamba kwa mara kadhaa Lissu,Mnyika nk majina yao yalikatwa ofisi za mikocheni kutokana na siasa zao zilizoendeleza kumtusi EL hata baada ya makubaliano baina ya Mbowe na EL kutochafuliwa mwaka 2011...ikumbukwe kwamba mpango wa EL/Mbowe ulianza 2011.

2.Ukiukwaji wa protokali...Mbowe na viongozi wakuu kumpokea EL kwa kutamalaki angali ni mjumbe wa kawaida hili linaonyesha kuwa "mwenyekiti" ni EL.

3.Agizo lake kuharakisha uchaguzi 2018 badala ya 2019 limepita,hii itawezesha kundi lake kuingia na kudhibiti chama kuelekea uchaguzi 2020 na hivyo kuwaacha vijana wengi nje wakiwa wamekata tamaa.

4.Imethibitika kwamba Mt.Kilimanjaro mafia ndani na nje ya chama Vicent sio chaguo lao hivyo kuna msuguano na huenda wakamuunga mkono Mbatia kama mbadala wa harakati zao japo Mbowe yeye hajali huku akiamini malengo yake hayataathirika,kapata alichokitaka.

5.EL kaagiza vijana wote waliomtukana mitandaoni na kuzima ndoto zake akiwa CCM wasipewe nafasi yoyote huku akiamini yeye ndiye mwenye wapiga kura wengi kuliko chadema...katika kikao binafsi mikocheni amesema katika kura milioni 6 zilizopigwa zake binafsi ni milioni 4 hivyo wote waliomdhalilisha mlango upo wazi.

Tuendelee kusubiri huku tukiweka akiba ya maneno huku tukijenga hoja badala ya matusi.
HIVI Ndio Mnalipwa Kwa Kufanya Kazi Za KIPUUZI Hivi!!!!?? Hata Ulichokiandika Hakieleweki!!!
 
Uongo mwingine huu ,Lowasa tokea lini akaamini kura hizo milioni sita ?,wakati yeye anaamini uchaguzi alishinda kwa kura milioni kumi
 
Uongo mwingine huu ,Lowasa tokea lini akaamini kura hizo milioni sita ?,wakati yeye anaamini uchaguzi alishinda kwa kura milioni kumi
Milioni kumi?..ndio maana kaapishwa kuwa raisi wa chadema.
 
Hakika Lowassa ni political giant maana aliitesa ccm akiwa ccm na nje ya ccm.naamini wapo lumumba timu wanakesha kumuombea mabaya mh lowassa ili angalau wapate usingizi.lumumba hawajawahi kupata usingiz murua tangu july mwaka jana.
Lowasa keshatolewa sumu...!
 
Hata kama ni hivyo, najua unalalamika kwa kuwa mmekosa mikakati yake lowassa mtu makini. Hiyo ni propaganda isiyokuwa na mashiko.
Ni makini kuzidi chadema amewabalisha wote mnampigia zumari na mapambio.
 
Sijui kwanini Lowassa anapenda sana kuabudiwa???
 
Hivi hizi post zingine huwa ni za kulala au kuamka?
Muda ukifika utajua tu, yaliyoandikwa hapo ni ya kweli ndiyo maana jana mbowe alisema migogoro ya chadema haitatatuliwa kwenye mitandao akimaanisha walompinga kumleta lowassa ndani ya chama. Hapa haitapita wiki mgawanyiko unakuja.
 
Dua la tembo halimpati katibu mkuu
 
Muda ukifika utajua tu, yaliyoandikwa hapo ni ya kweli ndiyo maana jana mbowe alisema migogoro ya chadema haitatatuliwa kwenye mitandao akimaanisha walompinga kumleta lowassa ndani ya chama. Hapa haitapita wiki mgawanyiko unakuja.
Wassira si alisema hivyo hivyo yuko wap sa hivi?
 
Back
Top Bottom