Mbowe arejesha Shangingi la Kiongozi wa Upinzani Bungeni

HAHAHAHA yaani haya makaburi ya Chadema ni kiboko. Hivi huwa hawana kumbukumbu?
 
Mbowe ni mnafiki sana. Ukiyauza mashangingi ukatoa mikopo ya magari, allawansi za dereva, matengenezo na mafuta gharama si imerudi palepale au ni nafasi kwa Mheshimiwa kubana masurufu? Halafu ukiyauza magari kila baada ya miaka mitano kuyanunua tena kwa mkopo. Mikopo yenyewe haina riba au kodi na siyo lazima hata wayanunue magari yenyewe. Hesabu zimekaaje

Pili ukiondoa posho za vikao unamkomoa nani? Huo ni motisha viongozi wakutane badala ya kusafiri. Kusafiri ni ulaji kukaa ofisini hakuna motisha.
Kumbe unamfahamu vilivyo
 
Wadau,

Hivi Zitto bado anarudisha bungeni zile posho za vikao?

Nakumbuka enzi hizo aliwahi kupost picha kabisa ya hundi ya posho akiwa ameikataa na kuirudisha bungeni.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom