Mbowe arejesha Shangingi la Kiongozi wa Upinzani Bungeni

Hamna ubunifu babuwee, vitendo vya kukataa gari kavianza Pinda. HeEeeeee! Ishakuwa sera kwenu?
Hata kama alivianzisha Rostam who cares???, cha maana ni kwamba hii ni gesture ya kunusuru kodi zetu.., au wewe mwenzetu ulipi kodi au hauna machungu na hili taifa??..., Honestly sioni kwanini mtu atetee huu ufajaji unless na yeye anafaidika na huo ufajaji...
 
Kwanza angerudisha fedha alizokopa NSSF zilizomfanya anunulie Vogue (namkumbuka brazamen). Huyu brazamen ni katika wana JF wa zamani na kuna siku aliweka nyuzi humu JF iliyoonesha kuwa jigari analotumia Mbowe ni la wizi huko Uingereza, akataja mpaka waliomuuzia. Sijui brazamen yuko wapi siku hizi? Atupe ma data ya uhakika.

Kukopa ni ruhusa kabisa au kukopa ni dhambi??

Tanzania inadaiwa trillion 16, na deni limeongezeka maradufu katika kipindi cha JK na waziri wa madeni Mkulo

Mbowe anawajali watanzania masikini, ili watoto wa watanzania wasome. Kwani walimu,polisi,manesi wanapata posho gani wanapokuwa kazini??

CCM wanajali matumbo yao tuuuu, angalia Kenya wana katiba na wabunge kenya wanalipa kodi
 
Kwanza angerudisha fedha alizokopa NSSF zilizomfanya anunulie Vogue (namkumbuka brazamen). Huyu brazamen ni katika wana JF wa zamani na kuna siku aliweka nyuzi humu JF iliyoonesha kuwa jigari analotumia Mbowe ni la wizi huko Uingereza, akataja mpaka waliomuuzia. Sijui brazamen yuko wapi siku hizi? Atupe ma data ya uhakika.
jukumu

Acha upuuzi, mwenye jukumu la kudai ninani?
 
Huyo si anamuiga Pinda? Au hamjui Pinda toka lini kalikataa VX? Mnanshangaza!
Pinda alipiga marufu ya sinunuliwe matokeo yake yakanunuliwa tena ya bei mbaya, alipo pewa akalikataa wakachukua watu wake wa chini yaani kama alivyo fanya Mbowe ang'e mwachia Zitto alitumie...sasa hapo utakuwa umesaidia nini...
 
Bao la Kisigino lakini nilikwisha Kuwaonya CC kule kwenye Facebook kwamba January Makamba aliwarahisishia sana alipowakumbusha kwamba hilu suala lipo kwenye Action Plan lakini wajaziba Pamba Masikioni
 
nina mashaka na utendaji kazi wa ubongo wako inaonesha bongo zako zoote zime freez
 
Mbowe bwana anaponda mashangingi wakati kachukuwa milioni 90 kwa ajili ya gari, kachakuwa tena mkopo wa milioni 200 benki mdhamini wake ni ofisi ya katibu mkuu wa bunge, acha usanii bwana
ndiyo maana hata hao maofisa wengine tunataka kuwakopesha wawe na ya kwao na mafuta yao.
 
Anatafuta uraisi 2015 kwa kila njia! Ameona Zitto kamzidi kete kwa kukataa posho! Anata na yeye aonekane bora
Naona unanitafutia ban tena hapa kwa huu uharo!!!
Ngoja ninyamaze tu!
 
Anatafuta uraisi 2015 kwa kila njia! Ameona Zitto kamzidi kete kwa kukataa posho! Anata na yeye aonekane bora
sura ya avatar yako inafanana na uwezo wako wa kufikiri, mlikuwa mnapiga kelele kwamba asiongee tu bali aonyeshe kwa vitendo, amefanya hivyo mnaanza kusema anatafuta umaarufu, hivi mbona binadamu hamna shukurani?
 
Enheee, ile pale paliopo Bilicans zamani Mbowe, nani anekumbuka palikuwa nini pale?

Chips kuku za kwanza Dar zilikuwa pale zikiitwa Sekela na palikuwa maarufu kwa Fish n chips, nai anakumbuka jina lake orijino? Kabla ya baba'ke Mbowe kufanya ufisadi?
 
Mbowe is my choice for uwaziri mkuu come 2015!!

Challenge me!

And as for you Dr Slaa (the prez in waiting)...make sure this popular wish is duly granted. Na hili si ombi!
 
Enheee, ile pale paliopo Bilicans zamani Mbowe, nani anekumbuka palikuwa nini pale?

Chips kuku za kwanza Dar zilikuwa pale zikiitwa Sekela na palikuwa maarufu kwa Fish n chips, nai anakumbuka jina lake orijino? Kabla ya baba'ke Mbowe kufanya ufisadi?

CDM 3 Magamba 0
 
Huyo si anamuiga Pinda? Au hamjui Pinda toka lini kalikataa VX? Mnanshangaza!

Heee Pinda ni waziri mkuu au mesenger wa JK?

Waziri mkuu hana maamuzi kazi yake kulia lia tuuu

Kama waziri mkuu walirudisha je mbona asiwanyang'anye mawaziri na walio chini yake

Waziri mkuu kibogoyo ,,hahaaaa eti mtoto wa mkulima

Ccm mnamtumia Pinda kusafisha njia ya kufanya ufisadi ....
 
Kwanza angerudisha fedha alizokopa NSSF zilizomfanya anunulie Vogue (namkumbuka brazamen). Huyu brazamen ni katika wana JF wa zamani na kuna siku aliweka nyuzi humu JF iliyoonesha kuwa jigari analotumia Mbowe ni la wizi huko Uingereza, akataja mpaka waliomuuzia. Sijui brazamen yuko wapi siku hizi? Atupe ma data ya uhakika.
Kumbe alikopa, vipi wakati wanakopeshana mashariti yalikuwaje kama akishindwa kulipa....Gari la wizi, vipi polisi hawana tarifa au polisi wako kwaajiri ya kuuwa watanzania wasio na hatia...
 
Enheee, ile pale paliopo Bilicans zamani Mbowe, nani anekumbuka palikuwa nini pale?Chips kuku za kwanza Dar zilikuwa pale zikiitwa Sekela na palikuwa maarufu kwa Fish n chips, nai anakumbuka jina lake orijino? Kabla ya baba'ke Mbowe kufanya ufisadi?
du FF inaelekea wewe ni ajuza stori zako za long time sana henzi za mkolon na kibanga.kalee vitukuu !
 
Back
Top Bottom