Mbowe apewe heshima yake anayostahili!!

Mbowe apewe heshima yake anayostahili!!

Freeman Aikaeli Mbowe ni mwanasiasa ambaye huwezi kuzungumzia siasa za Tanzania bila ya kutaja jina lake.

Lakini naona Baada ya uchaguzi wa Januari 21 mwaka 2025, Kuna baadhi ya watu wanapambana kwa kila Hali kuonesha kuwa Mbowe alikuwa mamluki ndani ya CHADEMA na alikitumia chama kwa faida yake.

Mimi nakubaliana na wale wanaosema kuwa baada ya Mbowe kukaa madarakani CHADEMA kwa zaidi ya miaka 20, Kuna mambo alianza kutoyapa umuhimu na umakini wake kwenye kusimamia mambo ya msingi ulipungua.

Lakini ukweli lazima usemwe, CHADEMA hii ya sasa ina mchango mkubwa sana wa juhudi za Mbowe kuifanya iwe imara.

Wengine tunaomfahamu Mbowe tangu mwaka 2004 tunajua ni kwa kiasi gani amepambana kuifanya CHADEMA iwe hivi ilivyo.

Pamoja na mitizamo yetu dhidi yake, lakini tumheshimu yeye kama binadamu na mtu aliyechangia sana uimara wa CHADEMA hii ambayo sote ni wafuasi wake!

Kama tunaona Mbowe hakuna jema alilolifanya ndani ya CHADEMA, Iko siku na Lissu naye tutamdharau hivi hivi tunavyomdharau Mbowe.

Tukubaliane tu kwamba ni watu wachache sana waliopambana kama Mbowe ndani ya CHADEMA wakati akiwa kiongozi. Mbowe apewe heshima yake!
Ni kweli. Hata kama Mheshimiwa Mbowe kafanya makosa aendelee kuheshimiwa kama mtu aliyeijenga CHADEMA kwa nguvu na gharama kubwa. Aheshimiwe na waache kumsema vibaya!
 
Hapa umemshambulia Lissu kibinafsi (Personal attack). Kutengeneza watu kukoje na wewe hebu toa mfano wa watu unaojua wewe kuwa walitengenezwa na walitengenezwaje?
Usijifanye unajua sheria hapa,akina Zito,Mnyika,Heche na wengineo ambao hata serikali iliwaona ni wa muhimu ikawapa hadi uwaziri na ukuu wa wilaya.Tukisema ukweli mnajifanya wakali,ila mjue ushahidi ni zaidi ya maneno 1000.
 
Hao uliowataja walitengenezwaje na unajuaje kama Lissu si mmoja wa watengenezaji wa watu hao!?
 
Kwa kinacho endelea Chadema na Mbowe kukaa kimya, Kuna kaubinafsi Fulani.
 
Freeman Aikaeli Mbowe ni mwanasiasa ambaye huwezi kuzungumzia siasa za Tanzania bila ya kutaja jina lake.

Lakini naona Baada ya uchaguzi wa Januari 21 mwaka 2025, Kuna baadhi ya watu wanapambana kwa kila Hali kuonesha kuwa Mbowe alikuwa mamluki ndani ya CHADEMA na alikitumia chama kwa faida yake.

Mimi nakubaliana na wale wanaosema kuwa baada ya Mbowe kukaa madarakani CHADEMA kwa zaidi ya miaka 20, Kuna mambo alianza kutoyapa umuhimu na umakini wake kwenye kusimamia mambo ya msingi ulipungua.

Lakini ukweli lazima usemwe, CHADEMA hii ya sasa ina mchango mkubwa sana wa juhudi za Mbowe kuifanya iwe imara.

Wengine tunaomfahamu Mbowe tangu mwaka 2004 tunajua ni kwa kiasi gani amepambana kuifanya CHADEMA iwe hivi ilivyo.

Pamoja na mitizamo yetu dhidi yake, lakini tumheshimu yeye kama binadamu na mtu aliyechangia sana uimara wa CHADEMA hii ambayo sote ni wafuasi wake!

Kama tunaona Mbowe hakuna jema alilolifanya ndani ya CHADEMA, Iko siku na Lissu naye tutamdharau hivi hivi tunavyomdharau Mbowe.

Tukubaliane tu kwamba ni watu wachache sana waliopambana kama Mbowe ndani ya CHADEMA wakati akiwa kiongozi. Mbowe apewe heshima yake!
Lissu ni mwendawazimu na mbinafsi sana.
Mtu wa visasi asiye na shukrani.
Najiuliza tu hivi wanaomwona shujaa wanaangalia vigezo gani?

Ni huyu huyu alimsuta Magufuli kwamba anawasumbua wazungu wa dhahabu atapelekwa mahakama za kimataifa.
Ni huyu huyu aliyemponda sana Magu.
Sasa unajiuliza huyu yeye ni nani kwake aliye mwema?
Huyu Rais anayemtukana ndiye amekuwa muungwana kumwacha arudi afanye siasa nchini kwake,lakini kama vile haitoshi ni huyu mama akiwa makamu wa Rais alikwenda kumwona akiwa hospitality Nairobi.
Kinachotokea sasa,ni Lissu kutumika na watu wachache wa ccm wasiomtaka mama kwa tamaa zao za madaraka na bila shaka wanaweza kuwa na mpango wa siri wa kutuuza kwa wazungu.Kwa nini wazungu wampiganie Lissu na washindwe kupigania Wacongo wanaouwawa na kufa kwa maradhi kwa sababu ya vita visivyo vya lazima?
 
Samahani sipendi kabisa matendo ya sisiem ila ukweli Lisu hana shukrani,kwa jinsi alivyomtukana na kumchafua Mbowe,na huyo aliyekuja kumuona hospital Nairobi haki ya nani huenda jamaa ana shida na ni mgumu kukumbuka alikotoka.
 
Halafu siku hizi ukiokosoa tu chadema, unakula matusi mazito mazito, haikuwa hivi zamani, sijui wametokea wapi hawa
 
Lissu ni mwendawazimu na mbinafsi sana.
Mtu wa visasi asiye na shukrani.
Najiuliza tu hivi wanaomwona shujaa wanaangalia vigezo gani?
Kwani sifa za shujaa ni zipi?
Ni huyu huyu alimsuta Magufuli kwamba anawasumbua wazungu wa dhahabu atapelekwa mahakama za kimataifa.
Kwani hatujapelekwa mahakamani. Wewe yale mambo ya makinikia unajua yaliishaje?
Ni huyu huyu aliyemponda sana Magu.
Sasa unajiuliza huyu yeye ni nani kwake aliye mwema?
Wema kwako unautafsirije. Ili mtu awe mwema kwako anatakiwa awaje?
Huyu Rais anayemtukana ndiye amekuwa muungwana kumwacha
Uungwana hapa umetumia kigezo gani kusema kuwa ni uungwana. Jee Lissu kuwa kwenye nchi yake akiwa huru inatakiwa iwe hisani!
mama akiwa makamu wa Rais alikwenda kumwona akiwa hospitality Nairobi.
Unajua ni kwa nini alikwenda kumuona. Unataka kusema alikwenda kumuona bila ya ruhusa ya Magufuli?
 
Freeman Aikaeli Mbowe ni mwanasiasa ambaye huwezi kuzungumzia siasa za Tanzania bila ya kutaja jina lake.

Lakini naona Baada ya uchaguzi wa Januari 21 mwaka 2025, Kuna baadhi ya watu wanapambana kwa kila Hali kuonesha kuwa Mbowe alikuwa mamluki ndani ya CHADEMA na alikitumia chama kwa faida yake.

Mimi nakubaliana na wale wanaosema kuwa baada ya Mbowe kukaa madarakani CHADEMA kwa zaidi ya miaka 20, Kuna mambo alianza kutoyapa umuhimu na umakini wake kwenye kusimamia mambo ya msingi ulipungua.

Lakini ukweli lazima usemwe, CHADEMA hii ya sasa ina mchango mkubwa sana wa juhudi za Mbowe kuifanya iwe imara.

Wengine tunaomfahamu Mbowe tangu mwaka 2004 tunajua ni kwa kiasi gani amepambana kuifanya CHADEMA iwe hivi ilivyo.

Pamoja na mitizamo yetu dhidi yake, lakini tumheshimu yeye kama binadamu na mtu aliyechangia sana uimara wa CHADEMA hii ambayo sote ni wafuasi wake!

Kama tunaona Mbowe hakuna jema alilolifanya ndani ya CHADEMA, Iko siku na Lissu naye tutamdharau hivi hivi tunavyomdharau Mbowe.

Tukubaliane tu kwamba ni watu wachache sana waliopambana kama Mbowe ndani ya CHADEMA wakati akiwa kiongozi. Mbowe apewe heshima yake!
Nakubaliana, ingefaa watukanwe machawa na sio Mbowe
 
Una sound kama CCM.

Binafsi najua kabisa hawawezi kuzuia uchaguzi.

Lakini pamoja na kuwa hawana effect na ni harmless, unadhani kwanini Lissu anashitakiwa kwa uhaini na watu wanapigwa kila siku kwa kwenda mahakamani tu.

Lakini pia, kwanini ushiriki kitu ambacho unajua kabisa hutapata chochote.

Mlishiriki serikali za mitaa, mlipata nini??
CDM wasingeshiriki CCM wangeweza kusema kuwa wangeweza kushinda kama wangeshiriki. Kushiriki na kufanyiwa dhulma kunazidi kuongeza ushahidi wa umuhimu wa Katiba Mpya na mabadiliko katika utaratibu mzima wa uchaguzi pamoja na Tume ya uchaguzi. Na mwaka huu yakitokea yaleyale yataunganishwa katika ushahidi.

Amandla...
 
Hakika, maana wakati wa uchaguzi wa CHADEMA, zaidi ya 85% ya wana CCM (mitandaoni na nnje ya mitandao) wanaotumika kwa maelekezo, walikuwa wanampigania FAM ashinde.
Hivi unadhani wapi ni wengi, waliompigia kura Mbowe kwa sababu ya kupigiwa debe na CCM au waliompigia kura Lissu kwa sababu waliamini kuwa Mbowe amenunuliwa kutokana na CCM kumpigia debe?

Amandla...
 
CDM wasingeshiriki CCM wangeweza kusema kuwa wangeweza kushinda kama wangeshiriki. Kushiriki na kufanyiwa dhulma kunazidi kuongeza ushahidi wa umuhimu wa Katiba Mpya na mabadiliko katika utaratibu mzima wa uchaguzi pamoja na Tume ya uchaguzi. Na mwaka huu yakitokea yaleyale yataunganishwa katika ushahidi.

Amandla...
Yaani unataka watu wauawe, wateswe, uchaguzi uchafuliwe mara ngapi ili uone umuhimu wa mabadiliko ya Sheria za uchaguzi na Katiba?

Kama mtu una akili timamu kipi kinakuzuia kutambua kuwa kuanzia mwaka 2019, 2020,2024 uchaguzi uliharibiwa na huo ndiyo utakuwa muendelezo Kwa uchaguzi wa mwaka 2025?

Ni akili za aina gani zinazomfanya mtu kusubiri afanyiwe kosa Kwa zaidi ya mara ya tatu ndipo apambanie haki au utu wake!?
 
CDM wasingeshiriki CCM wangeweza kusema kuwa wangeweza kushinda kama wangeshiriki. Kushiriki na kufanyiwa dhulma kunazidi kuongeza ushahidi wa umuhimu wa Katiba Mpya na mabadiliko katika utaratibu mzima wa uchaguzi pamoja na Tume ya uchaguzi. Na mwaka huu yakitokea yaleyale yataunganishwa katika ushahidi.

Amandla...
Ushahidi wa 2020 umesaidia nini?

Ushahidi wa local govt, 2024 umesaidia nimi?

Huo ushahidi unapelekwa wapi?
 
Back
Top Bottom