Mbowe apewe heshima yake anayostahili!!

Mbowe apewe heshima yake anayostahili!!

Inategemea mizani unayopimia hayo "mema"na "mabaya" ina calibration gani.

Kwa mfano, jengea nyumba watu 100 kisha kata kichwa cha mtu mmoja aliyekuita mpumbavu. Halafu tarajia watu waseme: japo alikata kichwa cha mtu lakini alikuwa na "mema" mengi. Hakuna binadamu asiye na mapungufu.
Hakuna binadam perfect na hakuna binadamu asiye na chochote cha kumsaidia yeyote. Jifunze kuona mema ya mtu ili upate cha kukufaa maishan. Ukiwa maisha yako ni kuona mabaya mtu utakuwa mbali na tunu Mungu alizoweka kwa watu.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Freeman Aikaeli Mbowe ni mwanasiasa ambaye huwezi kuzungumzia siasa za Tanzania bila ya kutaja jina lake.

Lakini naona Baada ya uchaguzi wa Januari 21 mwaka 2025, Kuna baadhi ya watu wanapambana kwa kila Hali kuonesha kuwa Mbowe alikuwa mamluki ndani ya CHADEMA na alikitumia chama kwa faida yake.

Mimi nakubaliana na wale wanaosema kuwa baada ya Mbowe kukaa madarakani CHADEMA kwa zaidi ya miaka 20, Kuna mambo alianza kutoyapa umuhimu na umakini wake kwenye kusimamia mambo ya msingi ulipungua.

Lakini ukweli lazima usemwe, CHADEMA hii ya sasa ina mchango mkubwa sana wa juhudi za Mbowe kuifanya iwe imara.

Wengine tunaomfahamu Mbowe tangu mwaka 2004 tunajua ni kwa kiasi gani amepambana kuifanya CHADEMA iwe hivi ilivyo.

Pamoja na mitizamo yetu dhidi yake, lakini tumheshimu yeye kama binadamu na mtu aliyechangia sana uimara wa CHADEMA hii ambayo sote ni wafuasi wake!

Kama tunaona Mbowe hakuna jema alilolifanya ndani ya CHADEMA, Iko siku na Lissu naye tutamdharau hivi hivi tunavyomdharau Mbowe.

Tukubaliane tu kwamba ni watu wachache sana waliopambana kama Mbowe ndani ya CHADEMA wakati akiwa kiongozi. Mbowe apewe heshima yake!
Acha ujinga, Mbowe alijimaliza mwenyewe kwa kukubali kutawaliwa na sektarieti yake kwa wake zoa waliokuwepo bungeni kama Covid19

Wale Covid19 walikuwa lazima waludi Chadema na wapewe nafasi za kugombea ubunge tena ila kulikuwa na tatizo

Tatuzo lenyewe ni Msigwa, Lissu, Heche na Lemawasingekjbalkana naye ktk jmbo hilo na yeye bila kufikilia vizuri akaingizwa mkenge na sektaeti yake mwenyewe na nfio likawa shimo lake
 
Hakuna mtu anamlilia Mbowe.

Wanaomlilia Mbowe ninwafuasi wake.

Sis siyo hata wanaCHADEMA, ila ni wapemda haki tu.

Wala huhitaji kuwa mfuasi wa CHADEMA kuona uovu aliofanyiwa Lissu au Mdude. Hizp siyo siasa.

Ila Mbowe haoni shida, ni haki ipi alikiwa anapogania??
Kama hamumlilii kwa nini ham muachi apumzike? Wafuasi wake wanataka uamuzi wake wa kupumzika uheshimiwe lakini nyinyi mashabiki wa CDM ndio kila kukicha mnamzushia jambo.

Unasema kuwa Mbowe haoni shida katika haya yanayoendelea kwa sababu tu hajasimama jukwaani kuyakemea? Yeye sasa hivi sio public figure na halazimishwi kuwafahamisha kuhusu kila analo fanya. Akifanya hivyo mtasema hajakubali kushindwa na anataka kuwafunika viongozi wake.

Kama Heche na Lissu wanamuhitaji wanajua namna ya kumpata. Ukiona wako kimya juu yake maana yake ni kuwa wamejitosheleza na mpambano huu ni saizi yao. Tumeona jinsi walivyo wa handle wale walioonyesha kutofautiana nao. Hata baada ya kujitoa wanaendelea kuwaandama kwa kejeli na maneno ya ovyo. Kitawazuia nini kumfanyia Mbowe hivyo hivyo kama atadiriki kuingilia mambo yanayo wahusu?

Amandla...
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
Hakuna binadam perfect na hakuna binadamu asiye na chochote cha kumsaidia yeyote. Jifunze kuona mema ya mtu ili upate cha kukufaa maishan. Ukiwa maisha yako ni kuona mabaya mtu utakuwa mbali na tunu Mungu alizoweka kwa watu.
Hata Hitler wa Ujerumani na Mussolini wa Italia kama binadamu wote walikuwa na “mema” na “mabaya”. Bila shaka unafahamu wanavyokumbukwa duniani hadi leo.
 
Respect is earned not given wandugu, that's an emotion, you have no decisions to how you feel about anybody, it comes through perceptions. Five senses zinafanya kazi hapo!
 
Hata Hitler wa Ujerumani na Mussolini wa Italia kama binadamu wote walikuwa na “mema” na “mabaya”. Bila shaka unafahamu wanavyokumbukwa duniani hadi leo.
Nenda kasome kitabu aliachoandika Hitler chief. Wenzio kuna aya kule zinatumika mpaka leo. Wewe ndio umekaririshwa ubaya wake na maadui zake lakin hujawah kufikir kama Hitler na ujeruman yake wangeshinda kungekuwepo na hiz story.
 
Freeman Aikaeli Mbowe ni mwanasiasa ambaye huwezi kuzungumzia siasa za Tanzania bila ya kutaja jina lake.

Lakini naona Baada ya uchaguzi wa Januari 21 mwaka 2025, Kuna baadhi ya watu wanapambana kwa kila Hali kuonesha kuwa Mbowe alikuwa mamluki ndani ya CHADEMA na alikitumia chama kwa faida yake.

Mimi nakubaliana na wale wanaosema kuwa baada ya Mbowe kukaa madarakani CHADEMA kwa zaidi ya miaka 20, Kuna mambo alianza kutoyapa umuhimu na umakini wake kwenye kusimamia mambo ya msingi ulipungua.

Lakini ukweli lazima usemwe, CHADEMA hii ya sasa ina mchango mkubwa sana wa juhudi za Mbowe kuifanya iwe imara.

Wengine tunaomfahamu Mbowe tangu mwaka 2004 tunajua ni kwa kiasi gani amepambana kuifanya CHADEMA iwe hivi ilivyo.

Pamoja na mitizamo yetu dhidi yake, lakini tumheshimu yeye kama binadamu na mtu aliyechangia sana uimara wa CHADEMA hii ambayo sote ni wafuasi wake!

Kama tunaona Mbowe hakuna jema alilolifanya ndani ya CHADEMA, Iko siku na Lissu naye tutamdharau hivi hivi tunavyomdharau Mbowe.

Tukubaliane tu kwamba ni watu wachache sana waliopambana kama Mbowe ndani ya CHADEMA wakati akiwa kiongozi. Mbowe apewe heshima yake!
Asali na Heshima havikai pamoja
 
Kama hamumlilii kwa nini ham muachi apumzike? Wafuasi wake wanataka uamuzi wake wa kupumzika uheshimiwe lakini nyinyi mashabiki wa CDM ndio kila kukicha mnamzushia jambo.
Mimimsio.mfuasi.wa chama.wala.mwanasiasa yoyoye, ioa Mbowe tunamtaja kwasababu amekuwa tapeli.

Yaani waingereza wanasema LONG CON.

Alikuwa anajifanya anatetea haki za binadamu, bila tapeli la kisiasa tu, linataka pesa tu.

Hilo lazima tuseme
Unasema kuwa Mbowe haoni shida katika haya yanayoendelea kwa sababu tu hajasimama jukwaani kuyakemea? Yeye sasa hivi sio public figure na halazimishwi kuwafahamisha kuhusu kila analo fanya. Akifanya hivyo mtasema hajakubali kushindwa na anataka kuwafunika viongozi wake.
Ameyakemea wapi?

Hajakemea majukwaani, kakemea wapi, wewe msukule wa Mbowe.
Kama Heche na Lissu wanamuhitaji wanajua namna ya kumpata. Ukiona wako kimya juu yake maana yake ni kuwa wamejitosheleza na mpambano huu ni saizi yao. Tumeona jinsi walivyo wa handle wale walioonyesha kutofautiana nao. Hata baada ya kujitoa wanaendelea kuwaandama kwa kejeli na maneno ya ovyo. Kitawazuia nini kumfanyia Mbowe hivyo hivyo kama atadiriki kuingilia mambo yanayo wahusu?

Amandla...
Heche sijui.

Lissue tlyuko jela kwa uonevu.

Hapa sizungumzi kama.mfuasi msukule kama wewe.

Nazungumza kama binadamu fu asiyependa unafiki, utapeli wa kisiasa na mauaji kwa jina la siasa.

Mbowe ni tapeli la kisiasa lenye makengeza
 
Nenda kasome kitabu aliachoandika Hitler chief. Wenzio kuna aya kule zinatumika mpaka leo. Wewe ndio umekaririshwa ubaya wake na maadui zake lakin hujawah kufikir kama Hitler na ujeruman yake wangeshinda kungekuwepo na hiz story.
Mein Kampf? Umekisoma?
 
Mimimsio.mfuasi.wa chama.wala.mwanasiasa yoyoye, ioa Mbowe tunamtaja kwasababu amekuwa tapeli.

Yaani waingereza wanasema LONG CON.

Alikuwa anajifanya anatetea haki za binadamu, bila tapeli la kisiasa tu, linataka pesa tu.

Hilo lazima tuseme

Ameyakemea wapi?

Hajakemea majukwaani, kakemea wapi, wewe msukule wa Mbowe.

Heche sijui.

Lissue tlyuko jela kwa uonevu.

Hapa sizungumzi kama.mfuasi msukule kama wewe.

Nazungumza kama binadamu fu asiyependa unafiki, utapeli wa kisiasa na mauaji kwa jina la siasa.

Mbowe ni tapeli la kisiasa lenye makengeza
Matusi na kejeli zinakusaidia nini? Kama kweli umeumizwa na yanayoendelea dhidi ya Lissu na Mdude, kwa nini haupambani na unaoamini waliohusika. Tatizo la watu kama nyinyi mnaona kuwa wengine ndio wana wajibu wa kuwapigania badala ya kujipigania wenyewe. Hopeless kabisa.

Unataka nipambane vipi?

Mapambano yanaanza na kukemea matapeli kama makengeza Mbowe.
 
Umeshindwa kabisa kutofautisha kati ya mtu anayestahili heshima anapaswa aweje?

Anaye mdharau Mh Mbowe atakuwa hajielewi, hata hivyo, heshima ya Mbowe itategemea na anavyoenenda tokea aache kukiongoza chama

Mtu uongeze genge la kuharibu ulichojenga, utahitaji heshima ya nani zaidi ya kudharaulika

Heshima haiombwi mkuu
Una ushahidi pasipo shaka?
 
Unataka nipambane vipi?

Mapambano yanaanza na kukemea matapeli kama makengeza Mbowe.
Kwa kuonekana mtaani ukiyapinga yanayoendelea. Kushirikiana wenzako kuhakikisha kuwa haki inatendeka. Au unadhani ujasiri wako wa kujificha mtandaoni unawanyima usingizi hao wabaya wenu? Watu kama nyie hamna ubavu wa kusema haya mnayosema mkiwa face to face na mnaemsema. Wanafik na wazandik wakubwa nyie.

Kwa kuonekana mtaani wapi?

Na kina nani??

Unasema najificha mtandaoni unanijua??

Nanhapa mimi sijasema natetea wananchi wala slili ruzuku, kodi wala mchango wa mlalahoi.kwa kujifanya natetea hakimza binadamu.

Kwahiyo, sidaiwi na mtu.

Ila makengeneza mbowe limekula sana ruzuku za watu, likijifanya linatetea watu kumbe tapeli la kisiasa
 
Sawa mpiganaji mzalendo. Bila shaka Mbowe amekusikia na huko aliko anajutia matendo yake.

Amandla...
 
Mbowe anafeli wapi ujue?
Ameacha au kususa kufanya uongozi mpya ujipambanie bila yeye kusaidia.

Yeye akiwa ndani viongozi wenzake walipambana huku nje
Shida ilianza kwa akina LEMA kusambaza taarifa nyingi za uongo na kumchafua MBOWE!!!

Ikiwa MBOWE ataongea ni TATIZO
Ikiwa MBOWE atakaa kimya ni TATIZO

Sasa Bora ajikalie kimya.....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom