Mbowe apewe heshima yake anayostahili!!

Mbowe apewe heshima yake anayostahili!!

Wafuasi wa CDM na siasa za Tanzania kwa ujumla zina utoto mwingi.

Vinginevyo kwa etiquette za siasa, kiongozi unapotaka madarakani hasa kwa kushindwa uchaguzi au kumaliza muda wako.

Busara ni kukaa kimya na kuwacha uongozi mpya wa establish mandate yao ya dira ya chama; na namna moja ya kufanya hivyo ni kujizima data. Unapotea kwenye public life, ufanyi interview za kuongelea mambo ya chama na kuishi private life.

Mbowe kaonyesha uelewa mkubwa wa siasa baada ya kustaafu/kushindwa uchaguzi. Kawaachia uongozi mpya wafanye kazi yao. Mpaka sasa hajatia mdomo wake yuko kimya ndio inavyotakiwa kuwa.

Shida sasa ni mapoyoyo aliyo yaachia chama na wafuasi wao, wasioelewa mantiki ya Mbowe kujizima data ni kutoingilia dira ya uongozi mpya.

Yeye aliingia kimya-kimya tu kulipia BAWACHA wafanye shughuli yao bila ya kujitangaza.

Wafuasi wa Lissu wana utoto mwingi sana na hawajui siasa.
 
Wafuasi wa CDM na siasa za Tanzania kwa ujumla zina utoto mwingi.

Vinginevyo kwa etiquette za siasa, kiongozi unapotaka madarakani hasa kwa kushindwa uchaguzi au kumaliza muda wako.

Busara ni kukaa kimya na kuwacha uongozi mpya wa establish mandate yao ya dira ya chama; na namna moja ya kufanya hivyo ni kujizima data. Unapotea kwenye public, ufanyi interview za kuongelea mambo ya chama na kuishi private life.

Mbowe kaonyesha uelewa mkubwa wa siasa baada ya kustaafu, kuachia uongozi mpya wafanye kazi yao. Mpaka sasa hajatia mdomo wake yuko kimya ndio inavyotakiwa kuwa.

Shida sasa ni mapoyoyo aliyo yaachia chama na wafuasi wao, wasioelewa mantiki ya Mbowe kujizima data ni kutoingilia dira ya uongozi.

Yeye aliingia kimya-kimya tu kulipia BAWACHA wafanye shughuli yao bila ya kujitangaza.

Wafuasi wa Lissu wana utoto mwingi sana na hawajui siasa.
Mbowe ni mwanademokrasia halisi. Hana Mambo mengi ila alinyamaza hata kabla ya 21/01 na watu tulimshawishi asiache kugombea nafasi ya uenyekiti wa chama. Asije TAL kupita bila kupingwa. Ni siasa nzuri ya ushindani.
 
Ameonyesha ukomavu zaidi ya baada ya kushindwa uchaguzi.

Baadhi ya wafuasi wa CDM (maana sio wote) badała ya kumsifu ukomavu wake wa kukaa kimya. Hizo ni busara za kuheshimu matokeo ya uchaguzi na kuachia uongozi wa Lissu na team yake kuji-establish kuna new sheriff in town.

Sasa aina maana Mbowe na Lissu walikuwa wanaona eye-to-eye kwenye dira ya chama. Ilimradi Lissu alishinda wacha afanye yake kwa njia anazojua yeye.

Utoto wa wafuasi wa Lissu sasa, kila mtu anatakiwa asapoti njia za Lissu, hasa ni watu wanaolaumu wasanii, ‘Simba na Yanga’, kutukana watanzania hawana akili wasio jema lao ni lipi na kila kitu; isipokuwa wao wenyewe hawana mbinu za ushawishi.

Mbowe kaonyesha ukomavu mkubwa sana toka uchaguzi uishe, kuelewa ukomavu wale wa siasa inabidi na siasa zenyewe uzijue.

Ukubwa jalala
 
Mbowe Hana makuu, ni mwanademokrasia halisi. Atarudi kwenye jukwaa akitaka. Je, paka akiwaachisha wale nyau wadogo si anajua wamekomaa kumkamata panya? Uongozi jalala ndugu.
 
Ameonyesha ukomavu zaidi ya baada ya kushindwa uchaguzi.

Baadhi ya wafuasi wa CDM (maana sio wote) badała ya kumsifu ukomavu wake wa kukaa kimya. Hizo ni busara za kuheshimu matokeo ya uchaguzi na kuachia uongozi wa Lissu na team yake kuji-establish kuna new sheriff in town.

Sasa aina maana Mbowe na Lissu walikuwa wanaona eye-to-eye kwenye dira ya chama. Ilimradi Lissu alishinda wacha afanye yake kwa njia anazojua yeye.

Utoto wa wafuasi wa Lissu sasa, kila mtu anatakiwa asapoti njia za Lissu, hasa ni watu wanaolaumu wasanii, ‘Simba na Yanga’, kutukana watanzania hawana akili wasio jema lao ni lipi na kila kitu; isipokuwa wao wenyewe hawana mbinu za ushawishi.

Mbowe kaonyesha ukomavu mkubwa sana toka uchaguzi uishe, kuelewa ukomavu wale wa siasa inabidi na siasa zenyewe uzijue.

Ukubwa jalala
Kwa kweli chadema imevamiwa na vilaza na tena washamba wa huko maporini, wamekuja mjini na kukutana na hizi pilikapilika za lissu wanadhani ndio ushindi wenyewe
Hizi siasa za vyama vingi ziko mjini zaidi ya miaka 30, huko walikotoka ilikuwa ni ccm hata upinzani haujulikani, sasa wamekuta haya miji mikubwa wanaona kama ndio lissu atashinda uraisi.
Baada ya uchaguzi watajifunza kuwa wapole, na hapo sijui kama chadema itakuwa na uwezo kujisimamia....
 
Ni kweli kabisa. Sasa ni vyema kuangazia siasa za vijijini zaidi. Watu wa miji wanafaidika na siasa za upinzani. Tujisahihishe!
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Kuna muda mtu anaweza kujitengenezea mazingila ya kudharaulika.Huyu mwamba anayatengeza hayo mazingila.
 
Mojawapo ya madai yaliyokuwa yakisemwa sana Mbowe akiwa Mwenyekiti ni kwamba aachie ngazi akampumzike.Akaingia kwenye uchaguzi akashindwa kwa kura thelathini na ushee.Akakubali kushindwa. Akaenda kupumzika.
Wenyewe mlidai mnajitosheleza kawaachia Chama mnamlaumu?
You cannot have your cake and eat it too
Hapo mwisho ni , you can not eat your cake and still have it
 
Kama Lisu na nyie mlisema yeye ndio mharibifu,huyo mharibifu na tapeli mnamtaka wa nini sasa hivi.Mbowe kanyamaza ila kila siku mnamtaja kuliko mnavyomtaja Mungu.Hapo yuko Kimya siku akiongea si ndio mtazimia na hao viongozi wenu watatu Heche,Lema na Lisu.Kwanza Lema kashafunga mdomo baada ya kujua upumbavu aliiofanya.
Mimi siyo CDM, wala siyo mfuasi wa mwanasiasa.

Hoja yangu ni kuwa, kutetea haki za watu ni lazima Mbowe awe na cheo??
 
Mimi CDM, wala siyo mfuasi wa mwanasiasa.

Na haki inatakiwa kutetewa na Mbowe peke yake? Bila Mbowe hamna wa kuitetea?

Btw, bado ni mjumbe wa kudumu wa Kamati Kuu ya CHADEMA kwa hiyo cheo hakihusiki katika uamuzi wake.

Amandla...
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Na haki inatakiwa kutetewa na Mbowe peke yake? Bila Mbowe hamna wa kuitetea?
Nani kasema anatakiwa kutetea Mbowe peke yake??

Jambo la msingi ni kila mtu kajua Makengeza ni TAPELI
Btw, bado ni mjumbe wa kudumu wa Kamati Kuu ya CHADEMA kwa hiyo cheo hakihusiki katika uamuzi wake.

Amandla...
Hata huo ujumbe angejiuzulu tu, maana hana msaada wa hicho chama kwasasa.

Saana ataenda kusikiliza agenda za chama na kwenda kuzisema kwa Abdul.

Watakiwa wajinga sana kumwamini kwa sasa
 
Freeman Aikaeli Mbowe ni mwanasiasa ambaye huwezi kuzungumzia siasa za Tanzania bila ya kutaja jina lake.

Lakini naona Baada ya uchaguzi wa Januari 21 mwaka 2025, Kuna baadhi ya watu wanapambana kwa kila Hali kuonesha kuwa Mbowe alikuwa mamluki ndani ya CHADEMA na alikitumia chama kwa faida yake.

Mimi nakubaliana na wale wanaosema kuwa baada ya Mbowe kukaa madarakani CHADEMA kwa zaidi ya miaka 20, Kuna mambo alianza kutoyapa umuhimu na umakini wake kwenye kusimamia mambo ya msingi ulipungua.

Lakini ukweli lazima usemwe, CHADEMA hii ya sasa ina mchango mkubwa sana wa juhudi za Mbowe kuifanya iwe imara.

Wengine tunaomfahamu Mbowe tangu mwaka 2004 tunajua ni kwa kiasi gani amepambana kuifanya CHADEMA iwe hivi ilivyo.

Pamoja na mitizamo yetu dhidi yake, lakini tumheshimu yeye kama binadamu na mtu aliyechangia sana uimara wa CHADEMA hii ambayo sote ni wafuasi wake!

Kama tunaona Mbowe hakuna jema alilolifanya ndani ya CHADEMA, Iko siku na Lissu naye tutamdharau hivi hivi tunavyomdharau Mbowe.

Tukubaliane tu kwamba ni watu wachache sana waliopambana kama Mbowe ndani ya CHADEMA wakati akiwa kiongozi. Mbowe apewe heshima yake!
Huyu mpuuzi hastahili heshima yoyote, inabidi akamatwe tu na kushitakiwa kwa wizi wa hela za ruzuku, inakuwaje chama hakina hela, kazipeleka wapi?
 
Nani kasema anatakiwa kutetea Mbowe peke yake??

Jambo la msingi ni kila mtu kajua Makengeza ni TAPELI

Hata huo ujumbe angejiuzulu tu, maana hana msaada wa hicho chama kwasasa.

Saana ataenda kusikiliza agenda za chama na kwenda kuzisema kwa Abdul.

Watakiwa wajinga sana kumwamini kwa sasa
Naona niishie hapa maana chuki yako dhidi ya Mbowe imekupofusha. Nakutakia siku njema.

Amandla...
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Sio lazima na hana cheo ila mnamsakama kama vile yeye ndie anawapa pumzi
Mimi CDM, wala siyo mfuasi wa mwanasiasa.

Hoja yangu ni kuwa, kutetea haki za watu ni lazima Mbowe awe na cheo??
 
Sio lazima na hana cheo ila mnamsakama kama vile yeye ndie anawapa pumzi
Siyo lazima kwasababu ni TAPELI.

Limeshakula ruzuku, ambazo ni kodi za walalahoi, sasa hivi linacheua tu makengeza juu.

KIna mdude wameuawa hata udiwani hawajapata
 
Freeman Aikaeli Mbowe ni mwanasiasa ambaye huwezi kuzungumzia siasa za Tanzania bila ya kutaja jina lake.

Lakini naona Baada ya uchaguzi wa Januari 21 mwaka 2025, Kuna baadhi ya watu wanapambana kwa kila Hali kuonesha kuwa Mbowe alikuwa mamluki ndani ya CHADEMA na alikitumia chama kwa faida yake.

Mimi nakubaliana na wale wanaosema kuwa baada ya Mbowe kukaa madarakani CHADEMA kwa zaidi ya miaka 20, Kuna mambo alianza kutoyapa umuhimu na umakini wake kwenye kusimamia mambo ya msingi ulipungua.

Lakini ukweli lazima usemwe, CHADEMA hii ya sasa ina mchango mkubwa sana wa juhudi za Mbowe kuifanya iwe imara.

Wengine tunaomfahamu Mbowe tangu mwaka 2004 tunajua ni kwa kiasi gani amepambana kuifanya CHADEMA iwe hivi ilivyo.

Pamoja na mitizamo yetu dhidi yake, lakini tumheshimu yeye kama binadamu na mtu aliyechangia sana uimara wa CHADEMA hii ambayo sote ni wafuasi wake!

Kama tunaona Mbowe hakuna jema alilolifanya ndani ya CHADEMA, Iko siku na Lissu naye tutamdharau hivi hivi tunavyomdharau Mbowe.

Tukubaliane tu kwamba ni watu wachache sana waliopambana kama Mbowe ndani ya CHADEMA wakati akiwa kiongozi. Mbowe apewe heshima yake!

Lakini Mbowe kuondoka chadema tumuelewejee?
Ina maana yeye alikuwa chadema kwa ajili ya madaraka pekee? Nje ya madaraka yeye hawi chadema?
 
Siyo lazima kwasababu ni TAPELI.

Limeshakula ruzuku, ambazo ni kodi za walalahoi, sasa hivi linacheua tu makengeza juu.

KIna mdude wameuawa hata udiwani hawajapata
Basi wewe utapata ubunge msimu huu na nitakupongeza walah tena.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom