Mbowe apewe heshima yake anayostahili!!

Mbowe apewe heshima yake anayostahili!!

Mbowe alikamatwa kwa ugaidi, Lissu akiwa hoi hospitali hakukaa kimya. Mdude labda maeshauawa, Mbowe hajali.

Leo Lissu anataka kunyongwa makengeza utafikiri kafa, hasemi chochote. Kwahiyo kutetea haki siku hizi mpaka uwe na cheo???

Genge lake limepora mpaka akaunti za mitandao ya kijamii ya chama, yuko kimya na makengeneza yake.

Mbowe ni tapeli na alikuwa anaendesha CDM kama kampuni yake binafsi, na huko aliko anatamani kabisa Chama kife ionekane bila yeye mambo hayaendi.

Tapeli la kimachame
Uzi ufungwe
"You can fool some people sometime,but you cant fool all the people all the time"
 
Freeman Aikaeli Mbowe ni mwanasiasa ambaye huwezi kuzungumzia siasa za Tanzania bila ya kutaja jina lake.

Lakini naona Baada ya uchaguzi wa Januari 21 mwaka 2025, Kuna baadhi ya watu wanapambana kwa kila Hali kuonesha kuwa Mbowe alikuwa mamluki ndani ya CHADEMA na alikitumia chama kwa faida yake.

Mimi nakubaliana na wale wanaosema kuwa baada ya Mbowe kukaa madarakani CHADEMA kwa zaidi ya miaka 20, Kuna mambo alianza kutoyapa umuhimu na umakini wake kwenye kusimamia mambo ya msingi ulipungua.

Lakini ukweli lazima usemwe, CHADEMA hii ya sasa ina mchango mkubwa sana wa juhudi za Mbowe kuifanya iwe imara.

Wengine tunaomfahamu Mbowe tangu mwaka 2004 tunajua ni kwa kiasi gani amepambana kuifanya CHADEMA iwe hivi ilivyo.

Pamoja na mitizamo yetu dhidi yake, lakini tumheshimu yeye kama binadamu na mtu aliyechangia sana uimara wa CHADEMA hii ambayo sote ni wafuasi wake!

Kama tunaona Mbowe hakuna jema alilolifanya ndani ya CHADEMA, Iko siku na Lissu naye tutamdharau hivi hivi tunavyomdharau Mbowe.

Tukubaliane tu kwamba ni watu wachache sana waliopambana kama Mbowe ndani ya CHADEMA wakati akiwa kiongozi. Mbowe apewe heshima yake!
Wanaomdharau Mbowe ukiwauliza Lissu alikuwa chama gani kipindi hicho, unaambulia matusi.
Wanachama wa CHADEMA wanahitaji kujua historia ya chama chako vizuri waache mihemko.
 
Pamoja na mitizamo yetu dhidi yake, lakini tumheshimu yeye kama binadamu na mtu aliyechangia sana uimara wa CHADEMA hii ambayo sote ni wafuasi wake!
Sidhani kama watu wanamsema Mbowe kama mtu binafsi, anajadiliwa kama mwanasiasa, kiongozi wa chama na yaliyojiri akiwa kiongozi na baada ya uongozi.

Huwezi kiongozi mwenye sauti na ushawishi kwa umma ukakaa kimya chama, viongozi na wanachama wenzako wakipitia madhira makubwa.
 
Freeman Aikaeli Mbowe ni mwanasiasa ambaye huwezi kuzungumzia siasa za Tanzania bila ya kutaja jina lake.

Lakini naona Baada ya uchaguzi wa Januari 21 mwaka 2025, Kuna baadhi ya watu wanapambana kwa kila Hali kuonesha kuwa Mbowe alikuwa mamluki ndani ya CHADEMA na alikitumia chama kwa faida yake.

Mimi nakubaliana na wale wanaosema kuwa baada ya Mbowe kukaa madarakani CHADEMA kwa zaidi ya miaka 20, Kuna mambo alianza kutoyapa umuhimu na umakini wake kwenye kusimamia mambo ya msingi ulipungua.

Lakini ukweli lazima usemwe, CHADEMA hii ya sasa ina mchango mkubwa sana wa juhudi za Mbowe kuifanya iwe imara.

Wengine tunaomfahamu Mbowe tangu mwaka 2004 tunajua ni kwa kiasi gani amepambana kuifanya CHADEMA iwe hivi ilivyo.

Pamoja na mitizamo yetu dhidi yake, lakini tumheshimu yeye kama binadamu na mtu aliyechangia sana uimara wa CHADEMA hii ambayo sote ni waf
Mbowe anafeli wapi ujue?
Ameacha au kususa kufanya uongozi mpya ujipambanie bila yeye kusaidia.

Yeye akiwa ndani viongozi wenzake walipambana huku nje
Hii ndio failure kubwa aliyofanya baada ya uchaguzi, aliamua kukimbia mapambano pamoja na yeye kuwa mjumbe wakudumu wa kamati kuu ya chama, amekuwa sehemu ya kuhamasisha watu waliokuwa wanamSupport kususa pia shughuli za chama.

Pamoja na mema yote na ujenzi imara wa taasisi, ameamua kumaliza vibaya, uchaguzi umembomoa kabisa.
 
Hii ndio failure kubwa aliyofanya baada ya uchaguzi, aliamua kukimbia mapambano pamoja na yeye kuwa mjumbe wakudumu wa kamati kuu ya chama, amekuwa sehemu ya watu waliokuwa wanamSupport kususa oia shughuli za chama.

Pamoja na mema yote na ujenzi imara wa taasisi, ameamua kumaliza vibaya, uchaguzi umembomoa kabisa.
Well said,
isingekua rahisi Mandela kuwa gerezani na watu kumpigia kura kuwa rais,alisacrifice na watu waliopo nje hawakumuacha peke yake.

Nakumbuka Lisu alianza kupambania chadema akiwa hana hata cheo.

Why Mbowe.
 
Amethibitisha kama ilivyoonekana kwa wengine, bila cheo hawezi toa mchango wowote kwa chama. Haiko sawa chama kiko kwenye kampeni muhimu zaidi katika ujenzi wa demokrasia TZ na unaamua kususa.
 
Freeman Aikaeli Mbowe ni mwanasiasa ambaye huwezi kuzungumzia siasa za Tanzania bila ya kutaja jina lake.

Lakini naona Baada ya uchaguzi wa Januari 21 mwaka 2025, Kuna baadhi ya watu wanapambana kwa kila Hali kuonesha kuwa Mbowe alikuwa mamluki ndani ya CHADEMA na alikitumia chama kwa faida yake.

Mimi nakubaliana na wale wanaosema kuwa baada ya Mbowe kukaa madarakani CHADEMA kwa zaidi ya miaka 20, Kuna mambo alianza kutoyapa umuhimu na umakini wake kwenye kusimamia mambo ya msingi ulipungua.

Lakini ukweli lazima usemwe, CHADEMA hii ya sasa ina mchango mkubwa sana wa juhudi za Mbowe kuifanya iwe imara.

Wengine tunaomfahamu Mbowe tangu mwaka 2004 tunajua ni kwa kiasi gani amepambana kuifanya CHADEMA iwe hivi ilivyo.

Pamoja na mitizamo yetu dhidi yake, lakini tumheshimu yeye kama binadamu na mtu aliyechangia sana uimara wa CHADEMA hii ambayo sote ni wafuasi wake!

Kama tunaona Mbowe hakuna jema alilolifanya ndani ya CHADEMA, Iko siku na Lissu naye tutamdharau hivi hivi tunavyomdharau Mbowe.

Tukubaliane tu kwamba ni watu wachache sana waliopambana kama Mbowe ndani ya CHADEMA wakati akiwa kiongozi. Mbowe apewe heshima yake!
Naunga Mkono hoja yako, wachambuzi wa Kisiasa wanaamini kwamba ni Watanzania watatu tu wenye ushawishi wa kisiasa uliotukuka.

Hawa hapa

Screenshot_2025-05-07-22-38-13-1.png
 
Freeman Aikaeli Mbowe ni mwanasiasa ambaye huwezi kuzungumzia siasa za Tanzania bila ya kutaja jina lake.

Lakini naona Baada ya uchaguzi wa Januari 21 mwaka 2025, Kuna baadhi ya watu wanapambana kwa kila Hali kuonesha kuwa Mbowe alikuwa mamluki ndani ya CHADEMA na alikitumia chama kwa faida yake.

Mimi nakubaliana na wale wanaosema kuwa baada ya Mbowe kukaa madarakani CHADEMA kwa zaidi ya miaka 20, Kuna mambo alianza kutoyapa umuhimu na umakini wake kwenye kusimamia mambo ya msingi ulipungua.

Lakini ukweli lazima usemwe, CHADEMA hii ya sasa ina mchango mkubwa sana wa juhudi za Mbowe kuifanya iwe imara.

Wengine tunaomfahamu Mbowe tangu mwaka 2004 tunajua ni kwa kiasi gani amepambana kuifanya CHADEMA iwe hivi ilivyo.

Pamoja na mitizamo yetu dhidi yake, lakini tumheshimu yeye kama binadamu na mtu aliyechangia sana uimara wa CHADEMA hii ambayo sote ni wafuasi wake!

Kama tunaona Mbowe hakuna jema alilolifanya ndani ya CHADEMA, Iko siku na Lissu naye tutamdharau hivi hivi tunavyomdharau Mbowe.

Tukubaliane tu kwamba ni watu wachache sana w
Subscribed threads
aliopambana kama Mbowe ndani ya CHADEMA wakati akiwa kiongozi. Mbowe apewe heshima yake!
Dah! Kumbe huwa una akili na kuzungumza pwenti? 👍👍👍👍
 
Freeman Aikaeli Mbowe ni mwanasiasa ambaye huwezi kuzungumzia siasa za Tanzania bila ya kutaja jina lake.

Lakini naona Baada ya uchaguzi wa Januari 21 mwaka 2025, Kuna baadhi ya watu wanapambana kwa kila Hali kuonesha kuwa Mbowe alikuwa mamluki ndani ya CHADEMA na alikitumia chama kwa faida yake.

Mimi nakubaliana na wale wanaosema kuwa baada ya Mbowe kukaa madarakani CHADEMA kwa zaidi ya miaka 20, Kuna mambo alianza kutoyapa umuhimu na umakini wake kwenye kusimamia mambo ya msingi ulipungua.

Lakini ukweli lazima usemwe, CHADEMA hii ya sasa ina mchango mkubwa sana wa juhudi za Mbowe kuifanya iwe imara.

Wengine tunaomfahamu Mbowe tangu mwaka 2004 tunajua ni kwa kiasi gani amepambana kuifanya CHADEMA iwe hivi ilivyo.

Pamoja na mitizamo yetu dhidi yake, lakini tumheshimu yeye kama binadamu na mtu aliyechangia sana uimara wa CHADEMA hii ambayo sote ni wafuasi wake!

Kama tunaona Mbowe hakuna jema alilolifanya ndani ya CHADEMA, Iko siku na Lissu naye tutamdharau hivi hivi tunavyomdharau Mbowe.

Tukubaliane tu kwamba ni watu wachache sana waliopambana kama Mbowe ndani ya CHADEMA wakati akiwa kiongozi. Mbowe apewe heshima yake!
Lakini cha ajabu ni kuwa, sasa yuko kwenye harakati za chini kwa chini kuidhoofisha CHADEMA chini ya uongozi mpya wa Tundu Lissu na wenzake...

Ukimya wake ktk wakati huu ambapo chama unachodai kuwa alikijenga kwa jasho na damu, kinapitia ktk wakati mgumu wa mashambulizi kutoka pande zote; i.e CCM na serikalI yao pamoja na taasisi zake kama polisi, TISS, Msajili wa vyama vya siasa, mahakama na kutoka ndani ya chama chenyewe kwa waliokuwa chawa wake wakati wa uchaguzi wakisaidiwa na CCM kumtaka aendelee ni uthibitisho wa wazi sana kuwa, yuko kwenye harakati za kumdhoofisha mwenzake (Tundu Lissu) ionekane hawezi kuongoza chama kama alivyokaa yeye miaka 22 asijue kuwa isingekuwa kina Lissu hawahawa, asingekaa muda mrefu hivyo...

Mimi badala ya kumheshimu, nimemdharau kabisa na namuona kama mtu mwenye ego na ubinafsi. Na hii ni udhihirisho kuwa, alijenga chama ambacho yeye na baadhi wenzake walikigeuza kama mradi wa kisiasa kufanyia deal zao za kifedha kutoka kwa CCM na serikali yao...

Kuona kuwa kitega uchumi chao sasa kiko chini ya viongozi wengine tena waadilifu wasiojihusisha na bishara za kisiasa kwa CCM na wanausafisha uchafu waliouficha miaka mingi ndani ya chama, inawauma na kuibua vita mpya dhidi ya uongozi mpya kwa msaada wa waliokuwa wanafanya nao biashara ya kisiasa yaani CCM na serikali yao ovu...
 
Freeman Aikaeli Mbowe ni mwanasiasa ambaye huwezi kuzungumzia siasa za Tanzania bila ya kutaja jina lake.

Lakini naona Baada ya uchaguzi wa Januari 21 mwaka 2025, Kuna baadhi ya watu wanapambana kwa kila Hali kuonesha kuwa Mbowe alikuwa mamluki ndani ya CHADEMA na alikitumia chama kwa faida yake.

Mimi nakubaliana na wale wanaosema kuwa baada ya Mbowe kukaa madarakani CHADEMA kwa zaidi ya miaka 20, Kuna mambo alianza kutoyapa umuhimu na umakini wake kwenye kusimamia mambo ya msingi ulipungua.

Lakini ukweli lazima usemwe, CHADEMA hii ya sasa ina mchango mkubwa sana wa juhudi za Mbowe kuifanya iwe imara.

Wengine tunaomfahamu Mbowe tangu mwaka 2004 tunajua ni kwa kiasi gani amepambana kuifanya CHADEMA iwe hivi ilivyo.

Pamoja na mitizamo yetu dhidi yake, lakini tumheshimu yeye kama binadamu na mtu aliyechangia sana uimara wa CHADEMA hii ambayo sote ni wafuasi wake!

Kama tunaona Mbowe hakuna jema alilolifanya ndani ya CHADEMA, Iko siku na Lissu naye tutamdharau hivi hivi tunavyomdharau Mbowe.

Tukubaliane tu kwamba ni watu wachache sana waliopambana kama Mbowe ndani ya CHADEMA wakati akiwa kiongozi. Mbowe apewe heshima yake!
Ivi mwaka flan mkoa wa iringa ..wilaya ya kilolo kata ya ILOLE ukumbi wa bwana DUMA ulikuja kutoa semina pale ya chadema au warsha ni nan ali sponsor ile event maaana na mm nilikula wali ule ...samahan lkn bwana ALLEN
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom