Yeyote anaedai kukihama CHADEMA kisa eti Lowassa kakaribishwa basi huyo hajui siasa. Chama ni mali ya watanzania. Chama kina haki ya kupokea au kumtoa mtu yeyote kwa kufuata kanuni na taratibu za chama. Pia mnaosema kuwa Lowassa ni mwizi mnaweza kuleta ushahidi wa wizi wake? Walioiba walipelekwa mahakamani na hukumu ikatolewa.
Ikumbukwe kuwa Lowassa alifanyika tu mbuzi wa kafara. Mchezo wa Richmond aliucheza jeykey na ndiyealiyemtuma. Baada ya mlipuko Lowassa akaamua ajiuzulu ili kumnusuru jeykey pamoja na chama. Kosa la Lowassa hapa liko wapi? Msikurupuke tu kutoa majibu kabla ya kufanya upembuzi yakinifu.
Dr. Slaa anatosha kabisa
Kama Lowassa akija poa, akaribishwe.. na aje kuteuliwa ubunge apewe uwaziri apige kazi
Nimenasa mpango mzito wa siri wa kuhakikisha CCM inashinda uchaguzi mwaka huu kiulainii bila kutumia nguvu kuanzia ngazi ya udiwani, ubunge na Urais. Mpango wenyewe umeanza kutekelezwa kuanzia mwaka 2011 kwa mamluki wengi kupandikizwa chadema kuanzia ngazi ya mtaa mpaka taifa; Nawahakikishia kuwa CCM itashinda kata nyingi na majimbo mengi bila kupingwa baada ya mamluki kujitoa pindi watakapokuwa wamepitishwa na NEC; Katika nafac ya urais ndugu Magufuli anatarajia kushinda kiulaini baada ya mgombea wa chadema ambae anatarajiwa kuwa Lowasa kujitoa katika mbio hizo baada ya kuwa nae ameshapitishwa na Tume ya uchaguzi. Lowasa ni sehemu ya mpango huo wa kuhakikisha ccm inashinda kiulaini huwezi mtenganisha lowasa na ccm na Kikwete
Dr. Slaa anatosha kabisa
Kama Lowassa akija poa, akaribishwe.. na aje kuteuliwa ubunge apewe uwaziri apige kazi
Nikisikia jina la Lowasa napata kichefu chefu
Kama Chadema itaamua Dkt Slaa ampishe Lowasa itakuwa na athari mbaya katika Falsafa yao ya Muda mrefu ya kupambana na Ufisadi, pia inaweza kumpa Kick na Platform murua Zitto Kabwe na ACT yake. Pia itakuwa ndo Mwisho wa kisiasa wa Slaa kama Upinzan utashindwa kwa kuwa 2025 hatutegemei Slaa atakuwa na nguvu za kufanya siasa. Chadema hawapaswi kubadili itikadi yao ya Chama ya miaka 23 kwa kuwa tu Kamati kuu ya Ccm ilugeuzwa Muhuri wa Kamati ya Maadili.
Sioni ubaya wowote kwa EL kujoin CDM.chadema mbio zote leo ndio mmefikia hapa? Watanzania mtawaambia nini?
Viongozi CHADEMA msipuuze sauti za watu.... watu wanatoa ushauri wanatukanwa...
CHADEMA fanyeni utafiti kdg
Ni sawa Lowsa aingie CDM asaidie ushindi lakini sio kugombea... kama Rais
Dk. Slaa ndo anafaa
Nimenasa mpango mzito wa siri wa kuhakikisha CCM inashinda uchaguzi mwaka huu kiulainii bila kutumia nguvu kuanzia ngazi ya udiwani, ubunge na Urais. Mpango wenyewe umeanza kutekelezwa kuanzia mwaka 2011 kwa mamluki wengi kupandikizwa chadema kuanzia ngazi ya mtaa mpaka taifa; Nawahakikishia kuwa CCM itashinda kata nyingi na majimbo mengi bila kupingwa baada ya mamluki kujitoa pindi watakapokuwa wamepitishwa na NEC; Katika nafac ya urais ndugu Magufuli anatarajia kushinda kiulaini baada ya mgombea wa chadema ambae anatarajiwa kuwa Lowasa kujitoa katika mbio hizo baada ya kuwa nae ameshapitishwa na Tume ya uchaguzi. Lowasa ni sehemu ya mpango huo wa kuhakikisha ccm inashinda kiulaini huwezi mtenganisha lowasa na ccm na Kikwete
Nikisikia jina la Lowasa napata kichefu chefu
Acha umbea ww... umetoka kupigwa miti sasa hv nn... maana una harufu ya kondomu
Huyu katoka kupigwa pumbv sasa hv
Hahahahaaa
Eti fisadi lol
Ukiulizwa kaiba nini hujui....umekaririshwa tu mkuu.
Mfano Kama Lowassa akiwa rais na waziri Mkuuu akawa Slaa, Spika Lipumba, na mawaziri unawajua unadhani atapata mafasi ya kuiba hapo?
Itamlazimu kutenda kazi.
Btw we hamia kwa magufuli tu ni haki yako mkuu