Mbowe amkaribisha rasmi Lowassa CHADEMA

Mbowe amkaribisha rasmi Lowassa CHADEMA

Hahahah kama ni ukweli yasemwayo basi CDM wasakatonge2, yan leo huyo lowasa kawa msafi, sio mwiz, sio fisadi, hanuki rushwa hahaha daah bas hyo bodyspry muwape nakina chenge, mazafwantaz CDM amna upinzani wakweli Tz, ccm endleeni2 kukanyaga maftaaa tena wekeni tofari kam vp🙁😡
 
Hahahah kama ni ukweli yasemwayo basi CDM wasakatonge2, yan leo huyo lowasa kawa msafi, sio mwiz, sio fisadi, hanuki rushwa hahaha daah bas hyo bodyspry muwape nakina chenge, mazafwantaz CDM amna upinzani wakweli Tz, ccm endleeni2 kukanyaga maftaaa tena wekeni tofari kam vp🙁😡

CCM inashinda kilaini sana, hoja ya ufisadi imezikwa rasmi
 
CDM na inachoamini haviendani kabisa na Lowassa.....Yule ni fisadi na marafiki zake ni mafisadi !. Sioni problem ya yeye au mtu mwingine kujiunga na CDM kama mwanachama...

Kusema kwamba eti Lowassa atakuja CDM halafu apewe nafasi ya uongozi ni kujidanganya !. Si kwamba hilo haliwezekani, ila hata kulifikiria tu linatia kinyaa !

Ndugu Mh El, Watu wengi sana wa cdm wanafikiria sana kuhusu kashfa ya Richmond iliyosababisha wewe kuachia nafasi ya Uwaziri mkuu.

Kumekuwa na tetesi nyingi kuwa kashfa ile haikuwa yako bali ulijiuzulu ili kumlinda mh Jk na Serikali kwa ujumla.

Baada ya kuchukua hatua ya kujiuzulu Watanzania walio wengi wameendelea kuamini kuwa wewe ndie muhusika mkuu wa sakata lile.

Siku zote umekuwa kimya sana kuhusiana na ile kashfa na hujasema lolote hali ambayo inaendelea kuumiza vichwa vya mashabiki wako.

Sasa mh El nakushauri kabla hujajiunga na Cdm tuambie kuwa Richmond ni ya nani. Kama ni ya mkuu wa kaya mvalishe zigo lake ahangaike nalo.

Endapo utafuata ushauri wangu. Utakuwa umejipandisha chati na hakutakuwa tena na maswali na itakuwa mbele kwa mbele hadi ikulu.

Peoplessss
Powerrrrrrrr.
 
Mwenyekiti wa CHADEMA taifa mh. Freemam Mbowe amemkaribisha Lowassa kujiunga na CHADEMA hakibagui mtu ili mradi tu afuate kanuni na taratibu za chama.

Source: Tanzania Daima, Mwananchi

Nipo London hayo mambo yakoje?
 
Yeyote anaedai kukihama CHADEMA kisa eti Lowassa kakaribishwa basi huyo hajui siasa. Chama ni mali ya watanzania. Chama kina haki ya kupokea au kumtoa mtu yeyote kwa kufuata kanuni na taratibu za chama. Pia mnaosema kuwa Lowassa ni mwizi mnaweza kuleta ushahidi wa wizi wake? Walioiba walipelekwa mahakamani na hukumu ikatolewa.

Ikumbukwe kuwa Lowassa alifanyika tu mbuzi wa kafara. Mchezo wa Richmond aliucheza jeykey na ndiyealiyemtuma. Baada ya mlipuko Lowassa akaamua ajiuzulu ili kumnusuru jeykey pamoja na chama. Kosa la Lowassa hapa liko wapi? Msikurupuke tu kutoa majibu kabla ya kufanya upembuzi yakinifu.
 
Huu uongo haukubaliki. Nimefuatilia magazeti Star TV na ITV, hamna Habari ya Mbowe kumkaribisha Lowassa. Basi si ungetaja gazeti husika? Huu ni umbea wa asubuhi na mapema

Kasome Tanzania daima na mwananchi ya leo
 
Kila mtu ana haki ya kujiunga chama chochote akitakacho ili mradi akubaliaane na itikadi ya chama husika. Hivyo, hata Mhe. Lowasa akiamua kuahamia huko ni haki yake. lakini pia kwani yeye ana dhambi gani kubwa kuliko wengine mbona kila siku tu ndiye anasemwa fisadi wengine je?
 
Tetty

Hiyo list of shame ilisomwa lini na leo ni lini, karibu miaka kumi mtu habadiliki?

Kama unamuona Lowassa ni fisadi kwa kuangalia list ile basi Kikwete atakuwa mwalimu wake kwa vile Kikwete ni wa kwanza kwenye list.

Kila siku mnaambiwa aliye na ushahidi wa ufisadi wake atuletee au aende mahakamani.

Ushahidi wote anao Dr.Slaa
 
Last edited by a moderator:
Kishavuta bil[SUB][/SUB].10 , mbona inajulikana tangu siku nyingi.Slaa kubali matokeo uchaggani wewe ni kama karai la kubebea zege.

Hahaha!! Tata leo Dr slaa amekuwa lulu kwako? Ugambani hakukaliki mnaumwa uchungu bila ujauzito. Huyo ndo Lowassa mzee wa maamuzi magumu.
 
Hahahaha et chadema sasaiv wanaomba ushahid ku prov ufisadi wa lowasa, et leta ushahid kwamba lowasa nifisad mbona PCCB awamkamat, naamini lowasa angepitishwa na ccm chadema mwanzo mwisho wa kampen wangehubiri ufisad wa lowasa, SHKAMOO SIASA:banghead:
 
Huu uongo haukubaliki. Nimefuatilia magazeti Star TV na ITV, hamna Habari ya Mbowe kumkaribisha Lowassa. Basi si ungetaja gazeti husika? Huu ni umbea wa asubuhi na mapema

Wewe Gazeti la Chama Tanzania Daima ukurasa wa mbele kabisa ndio limeandika hii habari.
 
Habari wakuu,poleni na kazi,mimi nachojua ni kuwa Mheshimiwa Lowassa anakubalika sana na kashfa mnayodai kuwa anayo mimi sijaiona na nadhani naungana nae mkono kwa kauli yake ya kuwa mwenye uthibitisho kuwa yeye ni fisadi aweke hadharani.

Kwa swala utajiri mmi pia sioni tatizo kwani ni struggleing za mtu binafsi,after all angalia nchi zilizo endelea especially za kibepari kama mfumo tulionao tanzania kwa sasa.Ili mtu uwanie kiti cha urais kwanza inatakiwa huoneshe una nini au nguvu gani ya kiuchumi mwenyewe.

Mifano, Marekani ni lazima uwe senetor,na je hawa ni watu wa aina gani?.

Wanasema ndege wenye mbaawa zinazofanana,wanaruka pamoja.maana yake ni kuwa kama mtu ni Tajiri basi marafiki zake ni matajiri pia,na kama ni maskini basi navyo ni vivyohivyo.Tangu tumepata uhuru tulikuwa na mfumo wa kukubalika na viongozi wetu walikua ni familia za kawaida tuu na hatukua na sera kama hizi ni nini mwisho wake.

Nafikiri kama watu tunaweza kufikiri vyema,ili swala la ni tajiri si tatizo.kwani hao m\ambao hawakua matajiri wakati wanawania nyadhifa mbalimbali sasa hivi wapoje?.tujifunze kutokana na makosa jamani.tusiungane na baadhi ya watu kumkandamiza mtu mmoja.Hata nae ni binadamu kama tulivyo sisi tuweke Facts na sio Fisadi tuu na ikaishia hivyoo.

Asanteni
 
Lowasa ana uchu wa madaraka tu,, hana nia ya kuwakomboa wananchi!!! Anachotaka ni kutimiza ndoto zake bnafc kwmb aliwah kuwa rais!!
 
Aje Lowassa, hapa swala ni moja tu kuing'oa CCM madarakani na mizizi yake. issue siyo Lowassa ni kufuta CCM kwanza.
 
We unawaza kumeguka kwa chama, watu wameshapiga hesabu za mbali, kama Lowassa akija CDM, mtembea na sumu na kundi lake lazima wataneemeka. Hawatakisa gari na nyumba, kwa jinsi wanavyojua kujikomba.

Ukisema Lowassa asije utaitwa msaliti.
 
Nakuunga mkono lowasa atosha UKAWA lengo ni kuitoa ccm madarakani tupate nafasi ya kupitisha rasimu ya warioba na tuwe na katiba imara itakayo jenga taifa.
 
Back
Top Bottom