CDM inaweza kugeuka chama cha mafisadi ghafla!
Kama Chadema itaamua Dkt Slaa ampishe Lowasa itakuwa na athari mbaya katika Falsafa yao ya Muda mrefu ya kupambana na Ufisadi, pia inaweza kumpa Kick na Platform murua Zitto Kabwe na ACT yake. Pia itakuwa ndo Mwisho wa kisiasa wa Slaa kama Upinzan utashindwa kwa kuwa 2025 hatutegemei Slaa atakuwa na nguvu za kufanya siasa. Chadema hawapaswi kubadili itikadi yao ya Chama ya miaka 23 kwa kuwa tu Kamati kuu ya Ccm ilugeuzwa Muhuri wa Kamati ya Maadili.
Tulia dawa ikuingie masaburini! Ukipata nafuu rudi ulikotoka!
Watanzania wako very desperate, kwa hakika hawajui ni nini hasa wakitakacho and they can fall for anything. Kwa haya ni bora tu "kitengo" wawachagulie rais!!!!!
Kweli CDM mume bugi step kabisa kwa hili. Kamwe hamtaaminika tena kwa wananchi
Kama Chadema itaamua Dkt Slaa ampishe Lowasa itakuwa na athari mbaya katika Falsafa yao ya Muda mrefu ya kupambana na Ufisadi, pia inaweza kumpa Kick na Platform murua Zitto Kabwe na ACT yake. Pia itakuwa ndo Mwisho wa kisiasa wa Slaa kama Upinzan utashindwa kwa kuwa 2025 hatutegemei Slaa atakuwa na nguvu za kufanya siasa. Chadema hawapaswi kubadili itikadi yao ya Chama ya miaka 23 kwa kuwa tu Kamati kuu ya Ccm ilugeuzwa Muhuri wa Kamati ya Maadili.
CDM inaweza kugeuka chama cha mafisadi ghafla!
Huu ujinga sasa!
Akikatwa!Na kupachikwa fisadi lowasa,ntarudisha kadi ya chadema asubuhi saa 1.na ntaacha kufuatilia siasa za bongo!
Akiondoka nami nitamfuata aendapo
tetesi wapi ameambiwa na mtei kama hataki aondoke ,
wewe unaweza kubisha kwenye saccoss ya mtu na mkwe wake ,masikini SLAA amekaa kimia ,unacheza na njaa ni mbaya?
Ndugu wanajamii,
Nimesoma kwa tahadhali sana maandiko juu ya kumkaribisha Lowasa Chadema ambayo yamemnukuu Mr.Mbowe na wabunge kadhaa ndani ya chama. Binafsi nimestushwa kwani sifikirii kama chama kitatueleza nini wafuasi wa dr.slaa juu ya posibility kwamba atakuwa replaced na lowasa....
Natahadhalisha kwamba maamuzi yakifikia huko then tufanye referendum ndani ya chama kujua upepo unaendaje. Haiwezekani mtu akatwe ccm asababishe kukatwa kwa mlezi tegemeo wa chama. pia natahadhalisha isije ikawa ni gabachovu wa ccm kaja kama mtengwa kumbe ni longterm plan yao kutuvuruga.
Msiseme sijasema.
Sitamani chochoye kinachohusiana na siasa
Tatzo unatuma sms ukiwa umepakatwa ndo maana.Lazma ukawa uwapakate mwaka huu
Siku zote nayakubali maamuzi na busara za mzee Slaa..
Kauli mbiu ya chama nivita dhidi ya ufisadi..
Hakuna zambi isiyosameheka tumuache lowasa aje chadema
Uko sahihi mkuu....akija itamlazimu kunana na beat tu hata km hataki.
Kwanza jamaa ni mtendaji mzuri...Kuliko wanaofumbia Escrow
Mkuu upo dah kitambo sana
Lowasa atasaidia sn kuitoa ccm madalakani