cabsul3
Member
- Jul 11, 2015
- 92
- 22
Yeyote anaedai kukihama CHADEMA kisa eti Lowassa kakaribishwa basi huyo hajui siasa. Chama ni mali ya watanzania. Chama kina haki ya kupokea au kumtoa mtu yeyote kwa kufuata kanuni na taratibu za chama. Pia mnaosema kuwa Lowassa ni mwizi mnaweza kuleta ushahidi wa wizi wake? Walioiba walipelekwa mahakamani na hukumu ikatolewa.
Ikumbukwe kuwa Lowassa alifanyika tu mbuzi wa kafara. Mchezo wa Richmond aliucheza jeykey na ndiyealiyemtuma. Baada ya mlipuko Lowassa akaamua ajiuzulu ili kumnusuru jeykey pamoja na chama. Kosa la Lowassa hapa liko wapi? Msikurupuke tu kutoa majibu kabla ya kufanya upembuzi yakinifu.
Kwa melezo yako naona unauhakika na m2 uliemtaja kua mhusika mkuu wa sakata la Richmond nikuombe unipe ushahidi ili jamaa aweze kuchkukuliwa hatua zakisheria..
Ahsante